Salamu zimefika Mkuu..Damn!!!!................hili cha leo mbona kifupi jamaa yangu!?
anyways,asante kutupia haya maujanja bure tu humu.
I will wait mpaka hiyo ijumaa.
Salimia cheupe wako@The Bold
noted mkuuumkuu chukua hii episode uicopy halafu ipestie sehemu, demu wako akija hiyo jpili wew unasoma halafu unapractice kwa gal wako. ila sasa bafuni kwako kuna bomba la mvua? isijekuwa choo ndio pia hutumika kama bafu!!
mkuuu the bold inabidi tufurahishane tu hata kwa maneno maana hamna namnaa,na hii tunaifanya makusudi ili wewe ujue kua tunakufatilia kwa karibuuu.mgeni wangu wangu kutoka koromije atapokuja hiyo jumapili akini ruhusu nitatupiamo ka picha kake humu jamvini.😵😵😵😵😵😵[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe jamaa umejua kunifurahisha.
Shukraan mkuu [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu huyo mrembo wa koromije shule alikuwa njema?mkuuu the bold inabidi tufurahishane tu hata kwa maneno maana hamna namnaa,na hii tunaifanya makusudi ili wewe ujue kua tunakufatilia kwa karibuuu.mgeni wangu wangu kutoka koromije atapokuja hiyo jumapili akini ruhusu nitatupiamo ka picha kake humu jamvini.😵😵😵😵😵😵
mkuu hilo la elimu yake sijalipa kipaumbele,nimezingatia zaidi umaarufu wa ghafla wa hicho kijiji maana tuendako chaweza kufanywa kua moja ya vivutio vya tanzania ya viwanda,hivyo nawahi nafasi mapemaaa ili kina gwajima na bashite wasije nitengaa😀😀😀😀😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu huyo mrembo wa koromije shule alikuwa njema?
Maana nasikia watu wa kule ni mabingwa wa kuzungusha hahahahaaaaaa
Mkuu,mimi kigezo changu kikuu kwa mwanaume ni akili...tena akili haswaaaa (nimewahi kulisema huku mara nyingi sana,hata kabla ya kuwa na The bold)
Sijui wanawake wenzangu wanawezaje kuwa na akina Bashite,mimi siwezi kabisa.
Kwanini nasema hayo yote? Ni vile nina furaha sasa nimempata mwanaume niliyekuwa namuhitaji na zaidi.
Huyu kijana ana akili hadi huwa nastaajabu.
Ujue ukikaa na mtu mwenye akili kuna mambo ya kawaida tu lakini yeye anayafanya tofauti hadi unashangaa.
Au jambo ambalo kiukawaida lingepaswa kuchua muda mrefu kufikiri ila yeye ni fastaaa na yuko sahihi.
Sijui nisemeje ila ni ana akili kuliko hii mnayoiona huku,he is gifted indeed.
Asante mkuu,ubarikiwe sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tokea lini ukanikumbusha?
Mechi ya marudiano huwa hatufungwi,ndio ujinga wetu Arsenal [emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu una karama ya uchekeshaji.mkuu hilo la elimu yake sijalipa kipaumbele,nimezingatia zaidi umaarufu wa ghafla wa hicho kijiji maana tuendako chaweza kufanywa kua moja ya vivutio vya tanzania ya viwanda,hivyo nawahi nafasi mapemaaa ili kina gwajima na bashite wasije nitengaa😀😀😀😀😀😀😀
Yeye tu kuwa na mume wa hovyohovyo namna ile amejikosesha heshima.Kwahili umemkosea heshima mke wa Bashite.
Yeye tu kuwa na mume wa hovyohovyo namna ile amejikosesha heshima.
Labda uniambie ni heshima gani niliyomkosea mkuu?
Yeye tu kuwa na mume wa hovyohovyo namna ile amejikosesha heshima.
Labda uniambie ni heshima gani niliyomkosea mkuu?
Naahidi kuwakumbuka katika ufalme wetu ujao wa koromije.maana zama hizo vyeti vya kidunia vya elimu itakua ni chukizo mbele ya ufalme wetu utakao tukuka mnoo.mniombee tuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu una karama ya uchekeshaji.
Yani kila post yako navunjika mbavu.
Kila la kheri ktk 'uwekezaji' wako mkuu,usisite kutushtua na wenzako ukiona fursa zaidi.
Hahahaaaaaa umeua vibaya cheupe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu huyo mrembo wa koromije shule alikuwa njema?
Maana nasikia watu wa kule ni mabingwa wa kuzungusha hahahahaaaaaa
Wana naooo...Mkuu,mimi kigezo changu kikuu kwa mwanaume ni akili...tena akili haswaaaa (nimewahi kulisema huku mara nyingi sana,hata kabla ya kuwa na The bold)