Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Staki ushabiki maandazi kaka kila mtu ana ufahamu wake wa kuchambua mambo so nina vigezo vingi vya kumpa U King the Bold hapa Tz so kama ujajua nasema nini hutojua pia nitasema nini
And..

Upo sahihi sana kusema hakuna The bold bila Nifah na hakuna Nifah bila The bold... Coz unajua wengi hawajui role kubwa anayo play Cheupe wangu mpaka simulizi na makala hizi murua zinakamilika..

She is simply a super woman! Am very lucky..
 
And..

Upo sahihi sana kusema hakuna The bold bila Nifah na hakuna Nifah bila The bold... Coz unajua wengi hawajui role kubwa anayo play Cheupe wangu mpaka simulizi na makala hizi murua zinakamilika..

She is simply a super woman! Am very lucky..
Ana Stahili u Super Woman Kwa kusababisha haya matamu yakatokea Haya Nifah Inama kwa Heshima Upewe Taji la Usuper Woman kwa kufanikisha Hili Teh Teh Teh The bold U made it Bob
 
Woooww!! [emoji87] [emoji87] [emoji87]

Nashindwa hata nisemeje mkuu.!!


Shukrani sana kwa kunitia moyo kiasi hiki.. Hakika najisikia deni niendelee kubaki kwenye ubora huu..


Salute Chief.!
Kuna Kitu Pia nilikwambia Usisahau kusubili Lee Super Suprise The bold na sasa hivi nimeongeza List akiwemo Nifah yani kila siku natamani kuifanya na kuiboresha hiyo kitu iweje iweje ila basi tu itatimia soon


Keep In Touch BOB
 
Hili swali huwa namuuliza sana,ukisikia wajuzi wa mambo ndio The bold sasa.

Halafu ukimuona huwezi kudhania kabisa,dah kuna watu wamebarikiwa akili bwana [emoji119]

Dah asee......hongera sana Nifah.

Atleast you know him personally, i wish i could meet such a gifted person at least once in a life time.
 
Mimi nakuwa mtazamaji ! Japo nimetokea kuwa mshauri wako mapema....!


Go mama! Get Nifah down if you can..!
Sina lengo la kumshusha Nifah,don get me wrong aseee[emoji30] [emoji31] [emoji30] [emoji31]

am in love with her husband that's all!
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Love her like E Queen ila *** her like E Bitch mother Fucker[emoji7] [emoji85] bola ningekuwa zamani nikajua hizi falsafa za haya mambo hii episod ni hatari nimeisoma leo huku napiga simu kwa Bae wangu hususani pale ulipochungulia bafuni nikajua Cheupe yuko na Murder[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sina lengo la kumshusha Nifah,don get me wrong aseee[emoji30] [emoji31] [emoji30] [emoji31]

am in love with her husband that's all!
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una shida gani wewe[emoji1]
 
Sasa utapendaje mme wa mtu wakat dummez tupo wengi humu mbaya zaid the bold hata hakupend. Usiforce kupendwa penda unapo pendwa kama kwangu
Jaman mbona unasema maneno ya kuchoma hivi? mweeeee.....[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]

Najua Nifah na The bold,mke na mume kwan mie kumpenda The bold kosa khaaaaaa!

weye kumbe dumezzzz!...ma heart belong to "kichwa jasiri"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jaman Nifah na ww pia ni sababu ya kumpenda Mumeo!

Nilianza kukupenda ww mwishoe mumeo daaaaah...too bad,,The bold umemnywesha "maziwa mabichi"
Hahahaaa! Nilishakwambia kuwa mtu kanyweshwa maziwa mabichi..

Tena kibuyu kizima! [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom