Cheupe + Kichwa Niffah Ni Cheupe na Kichwa ni The Bold
Nimeamua nitoboe siri Tu nyie watu ni hatari lakini salama nashindwa niwaelezee vipi ila naona mnaweza endesha hata ndege Boing 717 bila kupata mafunzo yoyote yale bila Niffah hakuna The Bold Bila The Bold Hakuna Niffah Na nimewahi kuwaza kitu flani Ety niko tayari kughalamia hii movie hadi nifilisike kuileta kwenye uhalisia ila nikapata maswali mengi tena kwenye akili yangu........... Nikiendelea sana nitaropoka siri nyingi zaidi haya bhana Ukweli usemwe tu
The bold Huna mpinzani kwenye Level za Uandishi hapa Tanzania Tumekaa tukaaminishwa kina E Sh: kumbe wapo Wengi Tu na kwa Humu JF Inabidi Tukutengee tu uishi pekee ako sio kwa kujua huku jamani
Salute