Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #3,941
Hahahahah!! Subira huvita kheri Mkuu..Usifanye hivo kichwa,utaniua na arosto mkuu,Ijumaa ni kama miaka 20 ijayo plz.
Hahahahah!! Subira huvita kheri Mkuu..Usifanye hivo kichwa,utaniua na arosto mkuu,Ijumaa ni kama miaka 20 ijayo plz.
Nifah katoa ya moyoni tu! maana hata huyo mke wa bashite kwa rekodi za tz alikuwa hajulikaniki kabisaaa! scandal hii imemfanya hovyoooo kabisaa[emoji31] [emoji30]Kwahili umemkosea heshima mke wa Bashite.
Ukimuona wiser1 anasema anampenda The bold nikutokana na sifa nyingi saana alizonazo mtu huyu!Yeye tu kuwa na mume wa hovyohovyo namna ile amejikosesha heshima.
Labda uniambie ni heshima gani niliyomkosea mkuu?
Ukimuona wiser1 anasema anampenda The bold nikutokana na sifa nyingi saana alizonazo mtu huyu!
Akili, ubunifu, jasiri,husimamia anacho amini, hapendi dhuluma, uvumilivu,mcha Mungu, muelewa, "hajanunua cheti cha mtu", anajikubali,....ila king'ang'anizi huyooo[emoji23] [emoji23] (joke) baadhi tu hzo
Nifah unahaki kabisa ya kufunguka haiwezekani mwanamke ukakubali tu mtu wa hovyo bhnaa! Nikujivunjia heshima!
Vipi mkuu maandalizi ya kumpokea mrembo kutoka Koromije yanaendeleaje?[emoji4]THanks the bold,ila najipongeza kwa uamuzi wangu wa kishujaa wa kuto isoma hii espodi mapema,nimeeisomaaa jionii hii ya alhamisi ili kesho ijumaa ni unganisheee.
Mkuu sinalala till now tangu SAA NNE usiku hadi sasa saa 11 alfajiri yani nimeanza moja hadi 20 ndio naimaliza hivi. Kesho ukiweka 21 mkuu ni tag. Salute Kichwaa
Hahahaha! That is very thoughtful..THanks the bold,ila najipongeza kwa uamuzi wangu wa kishujaa wa kuto isoma hii espodi mapema,nimeeisomaaa jionii hii ya alhamisi ili kesho ijumaa ni unganisheee.
Unataka ufanye umafia gani tena?? [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] Hii Nchi inà watu hatari sana alafu ni zaidi ya wazungu yani ile misdirect Tu ndio nimeipenda na nitaitumia
Leo twaingia ya 21..Tamu aiseee hii
Shukrani sana.. Tayari nimekuongeza kwenye taglist..Mkuu sinalala till now tangu SAA NNE usiku hadi sasa saa 11 alfajiri yani nimeanza moja hadi 20 ndio naimaliza hivi. Kesho ukiweka 21 mkuu ni tag. Salute Kichwaa
Nilikwambia kuna utafiti nafanya kuhusu watu flani? sasa naona kuna watu wananipanda kichwaniUnataka ufanye umafia gani tena?? [emoji23]
Nasubir hapa kwenye benchi nje, ulete nishushie na mtobe taratibuLeo twaingia ya 21..
Hahahah daahh huo utafiti kiboko aisee.. Mpaka umafia ndani [emoji23]Nilikwambia kuna utafiti nafanya kuhusu watu flani? sasa naona kuna watu wananipanda kichwani
Muda sirefu Vipepeo wanaruka..Nasubir hapa kwenye benchi nje, ulete nishushie na mtobe taratibu
Na hii ni one and only haaaahaaaHahahah daahh huo utafiti kiboko aisee.. Mpaka umafia ndani [emoji23]
Waachie mkuu nitawadaka na Neti hapa. Nishushie na dagaa wabichi wa kigomaMuda sirefu Vipepeo wanaruka..