Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Mkuu the bold naomba hilo group whatsapp lisiathiri chochote ratiba ya hapa, yani tuendelee kama kawaida... Ukiwa unaendelea kutafakari tuwekee kimoja cha j'mosi kama ulivyoahidi tafadhali maana wengi tumesubiri mpaka leo alafu hakuna kitu, HILI NI OMBI TU MKUU
 
nimerudi kuchungulia kama hata ameweka episode moja ya bye bye
 
Mkuu iyo ya WhatsApp group tena aaaah,.story ibaki hapa hapa bhana, hata kama episode moja per week tutakua na subira
 
Mkuu the bold naomba hilo group whatsapp lisiathiri chochote ratiba ya hapa, yani tuendelee kama kawaida... Ukiwa unaendelea kutafakari tuwekee kimoja cha j'mosi kama ulivyoahidi tafadhali maana wengi tumesubiri mpaka leo alafu hakuna kitu, HILI NI OMBI TU MKUU
Naheshimu mawazo yako Mkuu..

Ila group limeshaanza na kuna utaratibu unaendelea kule.. Kama nilivyosema hapa stori itasimama kwa wiki moja kisha baada ya hapo nitakuwa naweka episode moja per week
 
Kwa The bold!

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa story zako karibu zote.Wazo ulilotoa ni zuri lakini ni baya pia.

Nikweli unatumia muda wako kutuandalia vitu vizuri km hivi na nimuhimu upate juice/maji pamoja na bibie chaurembo wetu Nifah.

Mkuu The bold,ombi langu kwako punguza kiwango cha kuchangia kiwe japo elfu 3000 tsh ili hata tusio na ajira rasmi tuweze kuendelea kuburudika.

Nikiri wazi kuwa bandiko lako limeniumiza sana ndani ya nafsi maana tayari nilikuwa nimejiandaa kusoma VIPEPEO WEUSI...ghafla nakutana na bandiko ambalo kiukweli si zuri hata kidogo!..limeniumiza akili yangu.

The bold ulihaidi jmosi!..siku 2/3 kabla ya siku ya ahadi unakuja na bandiko hilo,jaman huoni km umenionea/kutuonea wapenzi wa story zako?...mimi siyo mtu wa kukomenti komenti sana japo ktk hili...aaah umenikwaza!

Itabidi niwe mpole nisubirie vitabu vikitoka ninunue hasa hichi ulichoniahidi na kunikata stim hapa jukwaani!

Asante!

wiser1
 
Mkuu na wewe unaomba episode, na Sie wenyewe tupo tunasubir HOFu kule tuendeleee, uctuambie na yenyewe unaktisha Mkuu! Ntazimia kwa uchungu[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu huku story haijakatishwa ila mtakuwa mnawekewa episode 1 kila wiki.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwa The bold!

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa story zako karibu zote.Wazo ulilotoa ni zuri lakini ni baya pia.

Nikweli unatumia muda wako kutuandalia vitu vizuri km hivi na nimuhimu upate juice/maji pamoja na bibie chaurembo wetu Nifah.

Mkuu The bold,ombi langu kwako punguza kiwango cha kuchangia kiwe japo elfu 3000 tsh ili hata tusio na ajira rasmi tuweze kuendelea kuburudika.

Nikiri wazi kuwa bandiko lako limeniumiza sana ndani ya nafsi maana tayari nilikuwa nimejiandaa kusoma VIPEPEO WEUSI...ghafla nakutana na bandiko ambalo kiukweli si zuri hata kidogo!..limeniumiza akili yangu.

The bold ulihaidi jmosi!..siku 2/3 kabla ya siku ya ahadi unakuja na bandiko hilo,jaman huoni km umenionea/kutuonea wapenzi wa story zako?...mimi siyo mtu wa kukomenti komenti sana japo ktk hili...aaah umenikwaza!

Itabidi niwe mpole nisubirie vitabu vikitoka ninunue hasa hichi ulichoniahidi na kunikata stim hapa jukwaani!

Asante!

wiser1
Pole sana mkuu,bandiko lako hili limeniumiza moyo wangu sana.
Ila simulizi itakuwa inawekwa hapa episode 1 kila wiki.

Kama haitoshi...nitakutafuta.
Usisikitike sana pls.
 
mh!!! mkuu the bold mmeacha kuweka link tena za kama mlivo weka namba nne na nyingine hzo tumezipata kwa urahisi vp mkuu fanya mmpango wa link hicho cha tano na zingine pia
 
Naheshimu mawazo yako Mkuu..

Ila group limeshaanza na kuna utaratibu unaendelea kule.. Kama nilivyosema hapa stori itasimama kwa wiki moja kisha baada ya hapo nitakuwa naweka episode moja per week
The bold hebu tafuta gazeti la The guardian la Leo nimepita sehemu na haraka nikakuta hii front page
e77f193b7903dd38c10bb6e86f242706.jpg
 
Nifah mfikishie ujumbe pls maana nimeona ni swala ziti kidogo. Sikufanikiwa kulinunua ila naamini akilichukua kuna kitu atatuosha nacho ufahamu juu ya tulifanyiwa.
 
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jilani yangu hapa katoka kazini kafika sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia!
Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji ya kunywa alipopewa akayanywa kisha akavua viatu mkewe akamtengea maji ya kuoga baada ya kuoga akajumuika na familia kula Chakula cha usiku
Asubuhi kaamka kaoga kavaa vizuri kaenda kazini kwa ujumla Yuko vizuri kiafya
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom