Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #2,801
Mkuu The bold naungana nawe kabisa upo sahihi ili pande zote wawezi kufurahia mabandiko yako. Napendekeza wale wanaoungana na wazo lako wawe wanatuma mwanzoni mwa mwezi na tunaanza kujisajili kabla ya kuanza kurusha ili uweze kupata mwitikio wa watu
Shukrani sana Mkuu..
Niwashukuru wewe pamoja na lee empire na johnsonmgaya kwa kuhakikisha napooza koo kwa juice na kuweka bando kabla hata sijaleta hili ombi la leo..
Mbarikiwe sana..