Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Mkuu kuna taarifa niliweka humu kuhusu muendelezo.! Tafadhaki naomba icheki nimeipandisha pale juu post # 1 mwanzoni kabisa utaona kichwa cha habari kina rangi nyekundu..

Wazo Zuri sana mkuu je kwa walioko nchi za nje? Vipi kuhusu hawa jamaa wanaotaka info za wachangiaji uku?
 
Kuhusu usalama nilijibu humu kuna post.. Niligusia vitu vingi lakini nikasisitiza zaidi itabidi tu tuaminiane maana hakuna namna..

Kama uko nje, tupeane tu taarifa si suala gumu kutuma hela kutoka nje kuja Tz
 
WAKUU GROUP LIMESHAANZA..

SASA TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUADD MEMBERS..

WHATSAPP YOUR NUMBER TO 0718 096 811
Ushauri
Kwanini tusiendelee na JF pekee .Kutoa namba za simu ina maana tunaji expose IDs zetu kuficha inakuwa haina maana na usalama unakuwa mdogo .Sasa hivi jamii forums inatafutwa sana na watawala .Ref:Kesi inayoendelea ya Max Mello.
 
Maadamu yeye ndie ametoa namba hakuna tatizo, kwa sababu utamfuata huko whatsapp bila hata yeye kujua kwamba wewe ndio Jackal wa jf, itafahamika tu kua wewe ni member wa jf lakini haitafahamika id yako ya Jf.
 
Mkuu tafadhari rejea bandiko nililoliweka humu na nimelipandisha pale juu mwanzoni kabisa post # 1 utaona kichwa cha habari chenye rangi nyekundu..
Mkuu na sisi Stuff tunalipia[emoji4] [emoji4] [emoji4] (jokes)

Ingawa usawa wa Magu unabana hakuna namna inabidi tukuunge tu mtu wetu na ni unafiq mtoto wa kiume kupenda vya bure kusubiria hapa JF mi nitakuja hukohuko ila kwa ghost number[emoji4] [emoji4] . Ila mkuu wasap situmiagi inabidi niweke tu kwa kuwa ni mchizi wangu(Ushauri wanawake wawe wengi kuliko wanaume maana si wengine ndio ulemavu wetu huo)[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Maadamu yeye ndie ametoa namba hakuna tatizo, kwa sababu utamfuata huko whatsapp bila hata yeye kujua kwamba wewe ndio Jackal wa jf, itafahamika tu kua wewe ni member wa jf lakini haitafahamika id yako ya Jf.
Jawabu sahihi kabisa! Nashukuru Mkuu..
 
Mkuu na sisi Stuff tunalipia[emoji4] [emoji4] [emoji4] (jokes)

Ingawa usawa wa Magu unabana hakuna namna inabidi tukuunge tu mtu wetu na ni unafiq mtoto wa kiume kupenda vya bure kusubiria hapa JF mi nitakuja hukohuko ila kwa ghost number[emoji4] [emoji4] . Ila mkuu wasap situmiagi inabidi niweke tu kwa kuwa ni mchizi wangu(Ushauri wanawake wawe wengi kuliko wanaume maana si wengine ndio ulemavu wetu huo)[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Shukrani comrade..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom