sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,741
safi sana uko faster zaidi ya bombardier[emoji23] [emoji23]Ninalo tayari mkuu!![]()

Town mkuu! Lakini pia kama kitu kinagusa maisha yako lazima uwe faster !safi sana uko faster zaidi ya bombardier[emoji23] [emoji23]
kweli mkuu kumbe jamaa kitambo walikuwa wametuvua nguo sisi tunachekelea[emoji57] [emoji57] Na bado wanaendelea fujo ni haya mafuta na gesi vilivyogundulika tutachezwa fit ina mpaka basi.Town mkuu! Lakini pia kama kitu kinagusa maisha yako lazima uwe faster !
Huyo Reporter ameficha vitu vingi sana!kweli mkuu kumbe jamaa kitambo walikuwa wametuvua nguo sisi tunachekelea[emoji57] [emoji57] Na bado wanaendelea fujo ni haya mafuta na gesi vilivyogundulika tutachezwa fit ina mpaka basi.
shukrani mkuu kwa kunimengenyulia hapo kidogo Mimi ndo nimeliagiza naletewa hapa nilipitiepitie na Mimi kidogo nijue yaliyopo pia.Huyo Reporter ameficha vitu vingi sana!
Wakati mwingine unatamani hii habari angeandika mtu mwenye A B C ya espionage !
Au hata mwenye uelewa juu ya Economic Warfares kati ya communists na capitalists! Angeweza akang'amua kitu kidogo na akachimba deep ...
Hizo zote millitary aids ni kushinda uchumi wa nchi ya dunia ya tatu hasa ukizingatia nchi kama Tz ni mteja wa vitu vinavyozalishwa na nchi za ulimwengu wa kwanza..
Sasa with that all efforts US was still beaten as far Nyerere was strong and a communist-believer...
Matokeao ya hiyo economic warfare ya 1960's unaona matokea yake leo...
Matokeo yake angalia china alivyoshika ●construction industry in Tz ,
● nguo zinatoka china
●Soko la simu kutoka china linatawala Tz
●Vifaa vingi vya jeshi vinatoka china na India(nchi zote ziko agaist us)
●Vifaa vya electronics na vifaa vya nyumbani
●UKienda kariakoo utakuta wachina wengi kuliko wamarekani( nahisi hata wamarekani hawapo)
NB:
Sidhani kama marekani waiishia hapo , probably walikuja na alternative ya kumshinda mchina , i mean plan B...inaweza kuwa plan B sio moja ya declassfied documents na ikawa inafocus miaka 30 ijayo labda 2050's .
Tz sasa hivi wanapata mafuta,gesi ,madini vitu ambavyo ni muhimu kwa Maisha ya sasa hivi...
Anyway Mwandishi kajitahidi kwa staili yake ! Nampongeza kwa hilo...labda THE BOLD atakuja kuwapa ubuyu kidogo..
Tony Mla Bata. [emoji41][emoji41][emoji41]
Tony mlabata jana cjaingia humu nasikitika hili gazeti nimeshindwa kulifatilia ckuwa na taarifa nalo hebu chana hicho kipande uniscanie utume kwa email mkuuHuyo Reporter ameficha vitu vingi sana!
Wakati mwingine unatamani hii habari angeandika mtu mwenye A B C ya espionage !
Au hata mwenye uelewa juu ya Economic Warfares kati ya communists na capitalists! Angeweza akang'amua kitu kidogo na akachimba deep ...
Hizo zote millitary aids ni kushinda uchumi wa nchi ya dunia ya tatu hasa ukizingatia nchi kama Tz ni mteja wa vitu vinavyozalishwa na nchi za ulimwengu wa kwanza..
Sasa with that all efforts US was still beaten as far Nyerere was strong and a communist-believer...
Matokeao ya hiyo economic warfare ya 1960's unaona matokea yake leo...
Matokeo yake angalia china alivyoshika ●construction industry in Tz ,
● nguo zinatoka china
●Soko la simu kutoka china linatawala Tz
●Vifaa vingi vya jeshi vinatoka china na India(nchi zote ziko agaist us)
●Vifaa vya electronics na vifaa vya nyumbani
●UKienda kariakoo utakuta wachina wengi kuliko wamarekani( nahisi hata wamarekani hawapo)
NB:
Sidhani kama marekani waiishia hapo , probably walikuja na alternative ya kumshinda mchina , i mean plan B...inaweza kuwa plan B sio moja ya declassfied documents na ikawa inafocus miaka 30 ijayo labda 2050's .
Tz sasa hivi wanapata mafuta,gesi ,madini vitu ambavyo ni muhimu kwa Maisha ya sasa hivi...
Anyway Mwandishi kajitahidi kwa staili yake ! Nampongeza kwa hilo...labda THE BOLD atakuja kuwapa ubuyu kidogo..
Tony Mla Bata. [emoji41][emoji41][emoji41]
Nadhani ungenunua gazeti ingekuwa vizuri zaidi...Tony mlabata jana cjaingia humu nasikitika hili gazeti nimeshindwa kulifatilia ckuwa na taarifa nalo hebu chana hicho kipande uniscanie utume kwa email mkuu
Pamoja mkuu! Nunua kuna mambo mengine utakuwa huko ! Kuna habari ya Putin kukutana na Trump , wanasema itakuchukua miezi kupanga hiyo meeting..shukrani mkuu kwa kunimengenyulia hapo kidogo Mimi ndo nimeliagiza naletewa hapa nilipitiepitie na Mimi kidogo nijue yaliyopo pia.
Hilo sini la juzi mkuu au ni la lini?Nadhani ungenunua gazeti ingekuwa vizuri zaidi...
Utakuwa comfortable zaidi...!
Pole mkuu umeandika kwa huruma kweli jamani hadi karoho kameniumaKwa The bold!
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa story zako karibu zote.Wazo ulilotoa ni zuri lakini ni baya pia.
Nikweli unatumia muda wako kutuandalia vitu vizuri km hivi na nimuhimu upate juice/maji pamoja na bibie chaurembo wetu Nifah.
Mkuu The bold,ombi langu kwako punguza kiwango cha kuchangia kiwe japo elfu 3000 tsh ili hata tusio na ajira rasmi tuweze kuendelea kuburudika.
Nikiri wazi kuwa bandiko lako limeniumiza sana ndani ya nafsi maana tayari nilikuwa nimejiandaa kusoma VIPEPEO WEUSI...ghafla nakutana na bandiko ambalo kiukweli si zuri hata kidogo!..limeniumiza akili yangu.
The bold ulihaidi jmosi!..siku 2/3 kabla ya siku ya ahadi unakuja na bandiko hilo,jaman huoni km umenionea/kutuonea wapenzi wa story zako?...mimi siyo mtu wa kukomenti komenti sana japo ktk hili...aaah umenikwaza!
Itabidi niwe mpole nisubirie vitabu vikitoka ninunue hasa hichi ulichoniahidi na kunikata stim hapa jukwaani!
Asante!
wiser1
Mai swthat hujamboHuyo Reporter ameficha vitu vingi sana!
Wakati mwingine unatamani hii habari angeandika mtu mwenye A B C ya espionage !
Au hata mwenye uelewa juu ya Economic Warfares kati ya communists na capitalists! Angeweza akang'amua kitu kidogo na akachimba deep ...
Hizo zote millitary aids ni kushinda uchumi wa nchi ya dunia ya tatu hasa ukizingatia nchi kama Tz ni mteja wa vitu vinavyozalishwa na nchi za ulimwengu wa kwanza..
Sasa with that all efforts US was still beaten as far Nyerere was strong and a communist-believer...
Matokeao ya hiyo economic warfare ya 1960's unaona matokea yake leo...
Matokeo yake angalia china alivyoshika ●construction industry in Tz ,
● nguo zinatoka china
●Soko la simu kutoka china linatawala Tz
●Vifaa vingi vya jeshi vinatoka china na India(nchi zote ziko agaist us)
●Vifaa vya electronics na vifaa vya nyumbani
●UKienda kariakoo utakuta wachina wengi kuliko wamarekani( nahisi hata wamarekani hawapo)
NB:
Sidhani kama marekani waiishia hapo , probably walikuja na alternative ya kumshinda mchina , i mean plan B...inaweza kuwa plan B sio moja ya declassfied documents na ikawa inafocus miaka 30 ijayo labda 2050's .
Tz sasa hivi wanapata mafuta,gesi ,madini vitu ambavyo ni muhimu kwa Maisha ya sasa hivi...
Anyway Mwandishi kajitahidi kwa staili yake ! Nampongeza kwa hilo...labda THE BOLD atakuja kuwapa ubuyu kidogo..
Tony Mla Bata. [emoji41][emoji41][emoji41]
Sijambo dear ! How have you been?Mai swthat hujambo
Nipo, sema tu npo npo sieleweki basi,Sijambo! How have you been?
Eeer! Toka nimchukue clkey umevurugwa eeh [emoji23][emoji23][emoji23]Hilo sini la juzi mkuu au ni la lini?
Hivi unajua naumwa macho?Nipo, sema tu npo npo sieleweki basi,
Anyway i want to c u
salute sana mkuu.Pamoja mkuu! Nunua kuna mambo mengine utakuwa huko ! Kuna habari ya Putin kukutana na Trump , wanasema itakuchukua miezi kupanga hiyo meeting..
Kuna habari za Yahya Jammeh na Adam Barrow...
Get you copy mkuu!
Hahahaha khaaaa Transcend mjinga kweli ww mie sitaki kucheka bwanaEeer! Toka nimchukue clkey umevurugwa eeh [emoji23][emoji23][emoji23]
La leo hilo mkuu! Si umeona nimepost ile page ya CIA files zilizokuwa released..
Baada ya kukwambia nataka kukuona ndo umeumwa ghafla ww mwanamme bwana khaaaHivi unajua naumwa macho?
No! Just ask me what i was told after medical examination..?Baada ya kukwambia nataka kukuona ndo umeumwa ghafla ww mwanamme bwana khaaa
Oooh sorryNo! Just ask me what i was told after medical examination..?