Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] all the best broh.
Mwisho wa hii simulizi make sure tunaendeleza ubabe [emoji123]
Si unaona mimi nimeshamuweka The bold kwa himaya? [emoji6]

Don't let me down pls.
Mnapeana moyo na kakaako nakwambia lol
 
Mahari sio tatizo kama kipato cha muoaji kitazingatiwa.
Ikiwa tofauti ndio inaleta shida na imagine mnapendana sana halafu wazee wamekomaa na mahari kubwa!
Noma sana [emoji17]
Unajisogeza tu,watabaki wanalalama wee mwisho wanakaa kimya
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] all the best broh.
Mwisho wa hii simulizi make sure tunaendeleza ubabe [emoji123]
Si unaona mimi nimeshamuweka The bold kwa himaya? [emoji6]

Don't let me down pls.
Mai wiii ww noma aisee,kakaangu katulia tulii kama co yy
 
Yaani hiyo episode ya 4 ilikuwa haina mambo ya kina kaka jambazi ila ni missions za hataree...! Afu sitofahamu kubwaa!

Sasa kupata episode ingine nikataka nifanye barter Trade ya Nifah na Episode..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hukawii namm kunigawa hata bure
 
Baby hii hapa! Iliponea chupu chupu nimtoea dada bureee...
45dbbfa4de336b66a1cf32e40065b87a.jpg
Yaani ww hufai kubattle na mm mtu mwenyewe hadi mwandiko unaremba !!![emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom