Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
[emoji8][emoji8]Asante mpendwa wangu [emoji8]
[emoji8][emoji8]Asante mpendwa wangu [emoji8]
We aknowledge u [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Acha tu mkuu,kumtag mtu mmojammoja sio kazi ya mchezo mchezo.
Asante sana.
Hahahahahaaaaa akija leo atafurahiiiiiiiiHahahaha umeona mai wiiiiii atakuja ss hv
Mm mwenyewe nliikubali aisee
Pana vichwa humu balaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you guys mna vituko sana.Wifi yangu wivu sina ila karoho kaliuma eti
Yesu na maria ! Dada unafanya nini tena!
Si unajua ukoo wetu unataka vitu kama kina clkey..
Hny nshaomba bwanaMimi nasema Omba tuu!!
Am listening baby
Hakika...sina jinsi.Polee! Ila ukipenda Ua penda la boga lake...
Hapo nadhani umenielewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mpendwa wanguSafi sana kumsaidia Mr na pole kwahyo kazi
Am humbled [emoji120]We aknowledge u [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Unajua yy hana mbwembwe na hashindani na wenzake kwa maneno ss hapa ndo atataka apate ujikoHahahahahaaaaa akija leo atafurahiiiiiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahhhaaaaaa! Loool!Anhaaaaaaaa unafikiri na mimi nimesahau eeeeh?
Wewe si ulimuambia The bold utaniozesha kwake kwa mahari ya kipande cha hadithi? (Episode)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
leo nami nimejibu mapigo kwa kumpigia chaguo Johnson [emoji12]
Mahari kipande ya hadithi hahaha huna kaka aiseeAnhaaaaaaaa unafikiri na mimi nimesahau eeeeh?
Wewe si ulimuambia The bold utaniozesha kwake kwa mahari ya kipande cha hadithi? (Episode)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
leo nami nimejibu mapigo kwa kumpigia chaguo Johnson [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tunafurahishana hapa tutoe stress za Sizonje wifi yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you guys mna vituko sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] tunafurahishana hapa tutoe stress za Sizonje wifi yangu
Zote zipo kwenye page ya kwanza jirani.Kuanzia episode ya sits hadi ya nane nitajieni post # na page # natumia simu jf app
Sikuzisoma wakuu
Cc The bold and jirani Nifah[emoji2]
Hahahhhaaaaaa! Loool!
Sasa wewe ungeambiwa umuache The Kichwa kwa kuwa ameshindwa kutoa mahari ungekubali....?
Speak your heart please!! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikuwa wapi hukuiona hiyo?Mahari kipande ya hadithi hahaha huna kaka aisee
Acha tu ukipata sehemu kama hii ya kutolea stress unashukuru maana kitaa hapakaliki pa motooo matumbo nayo ya moto.[emoji23] [emoji23] [emoji23] tunafurahishana hapa tutoe stress za Sizonje wifi yangu
Ooooh! Kumbe ni real Blood? Jokes come true!Kwakweli mimi The kichwa niko tayari hata bure anichukue lakini tatizo ni wale wazee wa kimasai [emoji24]
Na hivi Cheupe tena sijui itakuwaje jamani [emoji17]
Damu itachukua nafasi...from now onwards Clkey ni wetu.Ooooh! Kumbe ni real Blood? Jokes come true!
Aisee..! Clkey jiandae kuja kaskazini! Hapa Nifah hakuachi