Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Haki ya nani wifi ckuiona kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikuwa wapi hukuiona hiyo?
Acha tu.
Haki ya nani wifi ckuiona kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikuwa wapi hukuiona hiyo?
Acha tu.
Shukrani mama The bold[emoji3] [emoji119]Zote zipo kwenye page ya kwanza jirani.
Nenda kwenye post ya kwanza kabisa utakuta links za episodes zote kama unanawa.
Karibu [emoji4]
Msaidizi wa lubuva keshatia saini!Damu itachukua nafasi...from now onwards Clkey ni wetu.
Potelea pote [emoji4] [emoji135]
Acha tu,jana mie jirani yangu kapelekwa polisi anadaiwa yaani n shidaAcha tu ukipata sehemu kama hii ya kutolea stress unashukuru maana kitaa hapakaliki pa motooo matumbo nayo ya moto.
Unga hamna pesa tunanunulia bundle tu maana hakuna namna.
Heeee unaniaibisha hata hujui km namm niko kaskazini jaman mweeeOoooh! Kumbe ni real Blood? Jokes come true!
Aisee..! Clkey jiandae kuja kaskazini! Hapa Nifah hakuachi
Baby hii hapa! Iliponea chupu chupu nimtoea dada bureee...Haki ya nani wifi ckuiona kabisaaa
Hahahaha khaa ww mwehu kweli wwBaby hii hapa! Iliponea chupu chupu nimtoea dada bureee...![]()
Hilo nalo nenoHahahhhaaaaaa! Loool!
Sasa wewe ungeambiwa umuache The Kichwa kwa kuwa ameshindwa kutoa mahari ungekubali....?
Speak your heart please!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante wifi safi sana, ila kweli mara nyingi wazee wanakuwaga tatizo sana wao na mahari mahari na wao,wakati watt wamependana weiiii,kwanza nani aliyegunduaga mahari jamaniKwakweli mimi The kichwa niko tayari hata bure anichukue lakini tatizo ni wale wazee wa kimasai [emoji24]
Na hivi Cheupe tena sijui itakuwaje jamani [emoji17]
Tena ni neno la kubold kabisaHilo nalo neno
Indeed [emoji135]Msaidizi wa lubuva keshatia saini!
Probably Lubuva The kichwa will have no doubt
Jamaniiiiiii [emoji24]Acha tu,jana mie jirani yangu kapelekwa polisi anadaiwa yaani n shida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha pamoja na kunikumbusha machungu.Baby hii hapa! Iliponea chupu chupu nimtoea dada bureee...![]()
Yaani hiyo episode ya 4 ilikuwa haina mambo ya kina kaka jambazi ila ni missions za hataree...! Afu sitofahamu kubwaa!Hahahaha khaa ww mwehu kweli ww
Mahari sio tatizo kama kipato cha muoaji kitazingatiwa.Ahsante wifi safi sana, ila kweli mara nyingi wazee wanakuwaga tatizo sana wao na mahari mahari na wao,wakati watt wamependana weiiii,kwanza nani aliyegunduaga mahari jamani
Hapo nikipata 1% tuu baaasi! [emoji23][emoji23][emoji23]Indeed [emoji135]
Sisi tutakupa 50% iliyobakia fight mwenyewe [emoji12]
Yaani hiyo episode ya 4 ilikuwa haina mambo ya kina kaka jambazi ila ni missions za hataree...! Afu sitofahamu kubwaa!
Sasa kupata episode ingine nikataka nifanye barter Trade ya Nifah na Episode..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] all the best broh.Hapo nikipata 1% tuu baaasi! [emoji23][emoji23][emoji23]
sasa nawew ndo umeandika nini hapa au ulikuwa unatest keypads!! au ndo kuku mgeni eeh!!
Ngoja niangalie kama wewe ulietoa wazo kama hata utakumbukwa!Waorodheshe kabisa hapa