Straddler
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 722
- 193
Vipaji maalum maana yake nini?
Definition:
Kipaji maalum = uwe mtoto wa kigogo serikalini.
Vipaji maalum maana yake nini?
ushahidi....plz
Unadhana mtihani wa Temeke muslim waliopata zero wote haukua sawa na wa Kilakala au Ilboru?
fuatilia tamasha la young scientist lililofanyika dsm mshindi alikuwa nani na alitoka shule gani kwa ku present nini....Nyani ulisoma school gani ? Tatizo mnafuatilia matokeo ya Necta tu.....matamasha ya Malihai na uhifadhi wa mazingira watoto wa.afanya makubwa kule.
upo sawa kabisawatu ambao hawajasoma spesho utawajua tu!! wivu umewajaaa! Subirini matokeo ya 4m 6 mwezi wa 5 ndo mseme
Lol@ vipaji maalum vya NECTA.
Mi nilisoma Kinondoni Muslim
Hapa hakuna cha kipaji maalum wala nini....kwani mtu akifaulu kwa ndondokela au akiiba mitihani akafaulu vizuri hicho kitakuwa ni "kipaji maalum"? Kipaji maalum cha kuiba mitihani au nini? Hii dhana ya "ukipaji maalum" inapaswa kutazamwa upya...haina mashiko tena siku hizi. Tafakari, chukua hatua!
Tanzania ina Shule sita zinazojulikana kama Vipaji Maalum. Zipo nne za wavulana na mbili za wasichana. Shule hizo ni Mzumbe,Tabora Boys,Ilboru,na Kibaha(kwa wavulana). Kwa wasichana ni Kilakala na Msalato.
Katika matokeo ya Kidato cha Nne ya 2012 yaliyotangazwa leo,Shule hizo za vipaji maalum zimeboronga. Hakuna hata moja iliyo kwenye kumi bora. Zimeshindwa kujidhihirishia utofauti wao. Vipaji maalum sasa hakuna lolote,hakuna chochote.
Nafasi zao ni kama ifuatavyo: Mzumbe(17),Kibaha(18),Ilboru(31),Tabora Boys(44),Msalato(59) na Kilakala(63).
NOTE: Shule mpya ya Marian Boys ambayo ndio kwanza imeanza kutoa wahitimu wa kidato cha nne imeshika nafasi ya pili kitaifa. Hii ni Shule pacha ya Marian Girls (zote ziko Bagamoyo).Marian Girls imekamata nafasi ya nne nyuma ya Feza Boys(3) na vinara St. Francis Girls ya Mbeya.
Kwaheri vipaji maalum!
Wanachukua cream ya taifa one ya 14 na AAABottom line ni kwamba hayo mambo ya vipaji maalum ni hogwash!
Hizo shule si za vipaji maalum. At least mimi sijaona umaalum wala kipaji chochote kwa wanafunzi waliosoma kwenye hizo shule.
Kama wapo kweli na wanacho cha kuonyesha kuthibitisha umaalum wa vipaji vyao basi naomba mwenye hayo majina na accomplishments zao anipatie hapa.
Tanzania ina Shule sita zinazojulikana kama Vipaji Maalum. Zipo nne za wavulana na mbili za wasichana. Shule hizo ni Mzumbe,Tabora Boys,Ilboru,na Kibaha(kwa wavulana). Kwa wasichana ni Kilakala na Msalato.
Katika matokeo ya Kidato cha Nne ya 2012 yaliyotangazwa leo,Shule hizo za vipaji maalum zimeboronga. Hakuna hata moja iliyo kwenye kumi bora. Zimeshindwa kujidhihirishia utofauti wao. Vipaji maalum sasa hakuna lolote,hakuna chochote.
Nafasi zao ni kama ifuatavyo: Mzumbe(17),Kibaha(18),Ilboru(31),Tabora Boys(44),Msalato(59) na Kilakala(63).
NOTE: Shule mpya ya Marian Boys ambayo ndio kwanza imeanza kutoa wahitimu wa kidato cha nne imeshika nafasi ya pili kitaifa. Hii ni Shule pacha ya Marian Girls (zote ziko Bagamoyo).Marian Girls imekamata nafasi ya nne nyuma ya Feza Boys(3) na vinara St. Francis Girls ya Mbeya
Kwaheri vipaji maalum!
Mpaka leo sijapata jibu la swali langu!
Vipaji maalum maana yake nini na ni vigezo gani ambavyo waliamua kutumia kuamua huyu ana kipaji maalum na huyu hana?
Kwa sababu kupata alama za juu tu kwenye masomo haimaanishi kwamba una kipaji maalum.
Hao wanafunzi waliosoma kwenye hizo shule kuna hata mmoja aliyevumbua chochote cha kuboresha maisha ya mwanadamu?
Halafu, hao wanafunzi waliosoma kwenye hizo shule za vipaji maalum mbona tunawakimbiza sana huku uraiani.
Vipaji maalum maana yake nini?
Mkuu kuna vipaji maalum serikali na vipaji maalum binafsi. Na kutokana na ufundishaji mzuri wa vipaji maalum binafsi wanafunzi wengi "cream" wanaishia huko kwa akina St. Francis, Marian, etc. Wale ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuwalipia hizo karo kubwa ndo wanaenda huko Mzumbe, Ilboru na kwingineko. Kwahiyo na matokeo lazima yawe mazuri zaidi kwa vipaji maalum binafsi kwasababu pia huwa wanawachuja kila muhula.
mbona yakitoka ya 4m 6 huwa csikii hayo maneno?
mfumo wa elimu haivitambui vipaji vya uvumbuzi kwenye ngazi ya chini hivyo wanatumia kigezo cha ufaulu kama kipaji hebu niambie ni mtoto gani tanzania kavumbua kitu at std7Kwa nini unakimbilia kunyoosha kidole cha wivu badala ya kujibu swali lililoulizwa?
Vipaji maalum maana yake nini na ni vigezo gani wanatumia kuamua huyu mwanafunzi ana kipaji maalum na huyu hana?