Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,738
Next time usije na allegation zisizokuwa na msingi AdiosWewe huna kipaji maalum hivyo siwezi kuhangaika na wewe.
Next time usije na allegation zisizokuwa na msingi AdiosWewe huna kipaji maalum hivyo siwezi kuhangaika na wewe.
Next time usije na allegation zisizokuwa na msingi Adios
Sawa sawaHata hujui wapi pa kuweka herufi kubwa. Huna kipaji maalum.
Haya bana...hesabu za Marekani ni za kitoto na za Tanzania ndo za ukweli na za kikubwa:second:.
I agree, na sio hesabu tu, karibu sciences zote elimu ya Tanzania(au elimu ya muingereza tuliyorithi) ni ngumu. A-level sciences PCBM are as equivalent to first 1.5yrs to 2yrs science courses in an American college.
Kama unaamini hivyo basi hamna neno maana ni imani yako tu. Na hiyo imani yako pengine yaweza pia kuelezea kwa nini sisi ikija kwenye medani za kimataifa (katika nyanja yoyote ile) hatuko renowned for anything. Not sports, not academics, not science, not medicine, not engineering, not literature, and the list is endless.
Gabu wala hata tusihangaike we ulienda shule ya vipaji maalumu?
Ama ulipata alama za kutosha kwenda shule za vipaji maalumu?
If yes congratulations ... una kipaji maalum na sasa unajaribu kukitumia kuboresha system.
If not unadhani ni kwa nini? Je wale waliokushinda walikuwa na nini cha ziada ambacho wewe ulikosa?
Na kuna mahali umesema hicho tunachokiita "kipaji maalum" kwako wewe ni "ari, bidii, juhudi na akili za kawaida". Swali hapo ni hebu tuoneshe hivyo vipaji maalum unavyovikubali wewe ambavyo vimeweza kuonekana pasipo ari, bidii na juhudi.
Na hizo IQ unazozifagilia tuoneshe ni kina nani wanaoongoza kwa IQ na vipaji vyao maalum vimedhihirikaje. Tukienda kwa mfano wako wa ugunduzi na Nobel Prizes.
Vivyo hivyo wanasayansi wa Kitanzania ni bora zaidi kuliko wanasayansi wa Kimarekani. Lol.
Unataka tuwe renowned in science, engineering, medicine, etc wakati hatuna uwezo(kipesa) wa kuconduct research?
Ni kweli watanzania huwa wanafanya vizuri, lakini how is that even a valid comparison?
Why is not a valid comparison? Si wao wanasoma vitu vigumu na vilivyoendelea zaidi? Basi na matokeo inabidi yaakisi hicho wanachokisoma. Ukisoma vitu vyepesi maana yake na matokeo yako yatakuwa mepesi na unimpressive.
With your comparison, Tanzania tungekuwa matajiri sana, we have all the resources, right? It's not only about a factor or two, there's a lot to put into account before you draw that conclusion.
Watu wenye vipaji maalum mnashindwa vipi kuwa na pesa? Mimi nilidhani vipaji maalum ni pamoja na kuwa creative, innovative, na resourceful.....
Wewe unadhani Marekani wameshushiwa tu utajiri? Unadhani Wajerumani wameshushiwa tu pesa? Kipaji maalum ni pamoja na uwezo wa kutawala mazingira yako na kuyaboresha ili uweze kuishi vizuri zaidi ya hali uliyonayo.
Mkuu hivi unataka kutuaminisha hivi.... ?, Pia lazima ujue kwamba Test ya kuitwa special inafanyika either la saba au form IV (ili kuingia form six au form one).
Pia mkuu majibu ya mitihani huwa kila mtu anayesoma anakuwa nayo.., kama unajua syllabus na kila kinachoulizwa kinatoka kwenye hizo syllabus you should know the format of exams before hand..., na mitihani yote huwa ni the same (formulas na format..) kinachobadilika ni lugha tu (tusitake ku-complicate issue).., Na since mitahani ndio the only measurement huwezi kusema wanaoshinda hizo measurement hawafai labda cha muhimu ni kuangalia ni vipi kipimo kinaweza kubadilishwa / kuboreshwa...,
Ila huwezi kusema vijana wote wa Tanzania wanao uelewa sawa (hata maiti zinazidiana kunuka..) na since kwenye hizi shule inabidi waende (creme de la creme...., ingawa wengi wakichaguliwa huwa hawaendi huko..), basi kwa vigezo vya Tanzania hizi shule ndio zina Top Performers, (and since they are Top Performance hence they are special in comparison with their counterparts) Na hawa vijana kutokana na ukosefu wa waalimu na vitabu mwisho wa siku unaweza ukakuta wanaingia wakiwa wazuri na kutoka wakiwa wabovu... (lack of nurturing)[/QUOTE
yote ulioyosema upo sahihi,lakini kwa miaka yote ya nyuma usawa katika mitihani haukuwepo kwa sababu aliyespecial school licha ya uwezo alionao bado alipata boost kwa kupewa real exam 3 month before,wakati yule wa shule za kawaida anaingia kwenye mtihani kavu kavu,kwa iyo.mi binafsi nimesoma o level shule ya kawaida nimescore div 1;12,kwa jitihahada binafsi mwenyewe,nimeenda special school with PCB, nimescore div1;6(C,B,A) highest score ilikuwa div 1;3,lakini kiukweli bila mbinu za ufundi,tungefaulu lakini sio kwa kiasi hicho.
Mambo ya pesa wachumi wataeleza zaidi, ila najua there are very valid reasons why Tanzania(and Africa in general) tupo hapa tulipo. And it all goes back to the system.
Mkuu hivi unataka kutuaminisha hivi.... ?, Pia lazima ujue kwamba Test ya kuitwa special inafanyika either la saba au form IV (ili kuingia form six au form one).
Pia mkuu majibu ya mitihani huwa kila mtu anayesoma anakuwa nayo.., kama unajua syllabus na kila kinachoulizwa kinatoka kwenye hizo syllabus you should know the format of exams before hand..., na mitihani yote huwa ni the same (formulas na format..) kinachobadilika ni lugha tu (tusitake ku-complicate issue).., Na since mitahani ndio the only measurement huwezi kusema wanaoshinda hizo measurement hawafai labda cha muhimu ni kuangalia ni vipi kipimo kinaweza kubadilishwa / kuboreshwa...,
Ila huwezi kusema vijana wote wa Tanzania wanao uelewa sawa (hata maiti zinazidiana kunuka..) na since kwenye hizi shule inabidi waende (creme de la creme...., ingawa wengi wakichaguliwa huwa hawaendi huko..), basi kwa vigezo vya Tanzania hizi shule ndio zina Top Performers, (and since they are Top Performance hence they are special in comparison with their counterparts) Na hawa vijana kutokana na ukosefu wa waalimu na vitabu mwisho wa siku unaweza ukakuta wanaingia wakiwa wazuri na kutoka wakiwa wabovu... (lack of nurturing)
As of 2008, about 60% of laureates have been US citizens (by birth or by naturalisation), with only four laureates being from outside North America or Western Europe (Arthur Lewis, Leonid Kantorovich, Amartya Sen and Christopher A. Pissarides).
Hebu nitajie majina ya watu watano tu katika field za sayansi ambao ni Watanzania na ambao kazi zao na vipaji vyao maalum vimekuwa ni of "greatest benefit on mankind".
Of course siwezi kutaja, umenipa watano for one country, mi nakupa 15 kwa nchi 100 za mwisho ambao wamefanya vitu of "greatest benefit to mankind".