kwa kosa gani?Mbowe naye awajibike
kwa kosa gani?Mbowe naye awajibike
kipi hicho mkuu?Bahati mbaya kirusi cha sasa hivi kinaheshimika sana ndani ya Chadema.
Hivi ofisi ya Zitto na ya Slaa zipo kwenye umbali mkubwa kiasi gani? Dr. Slaa ni katibu mkuu na Zitto ni Naibu katibu mkuu. Hivi kulikuwa na sababu yoyote ya msingi ya Zitto kumwandikia barua Dr. Slaa? Kwanini hakwenda kuongea naye in person au asubiri vikao ambavyo yeye ni mmoja wa wapangaji wake ili atoe hilo pendekezo? CHADEMA hakuna utaratibu wa vikao vya dharura vya viongozi wakuu wa chama? Kwani hakuomba kikao cha dharura, na hasa kwa jambo kubwa kama hili?
Na kwanini barua ilivuja? Mbowe amegundua kwamba Zitto anataka kuwachezea akili. Na wanataka wamwonyeshe kwamba hawanunuliki kirahisi hivyo kwa pesa za mafisadi. Zitto anatakiwa atulize akili kidogo katika utendaji wake wa mambo. Asitafute sana kuonekana.
Akili za kuazima ni mzigo kwa anayeazimwa kwani uzitumia kulingana na matakwa ya aliyeazimwa.cdm naona inapumulia mashine.
Katika hali ya kushitua,Mh:mbowe akiongea na wanachi na wanachama wa chadema hii leo Ubungo plaza amesema
Hali ya kushtua iliyokukuta wewe na wenzako mliotarajia Mh Mbowe(kwa niaba ya chama) angetoa maelezo tofauti na mlivyokuwa mkitarajia?chadema hakiongozwi na maoni ya watu JF kwenye kutoa maamuzi.Na wapenzi au wafuasi wa chadema kusupport chama kwenye maamuzi yoyote yanayofikiwa kichama chini ya Mwenyekiti wake kwasababu yatakuwa na malengo yenye nia ya nzuri na manufaa kwa chama.Mkuu Taswira inawezekana una hisia au mapenzi kwa baadhi ya viongozi wa chadema na sio mapenzi kwa chadema kama chama cha siasa.kumbuka viongozi wote walioko chadema,wenye umaarufu na wasio na umaarufu ni timu moja ya CHADEMA.Taswira uwezo wako wa kushawishi na uelewa wako ni mdogo sana Mkuu.be blessed!
Nani na nani wametofautiana hapo?zitto alitoa maoni yake binafsi kabla ya kujua msimamo wa chama,mbowe kaweka wazi msimamo wa chama(zitto akiwa naibu katibu)shida iko wapi?
Zitto hana maamuzi, vikao ndo vyenye maamuzi. Full stop!
Mkuu naona mods wameitendea haki ile Id yako nyingine ya Kitalekwa na hii umekula ban. Pole mkuu vumilia utatoka.wasira na sitta ni wenyeviti au makatibu wakuu wa chama gani? TUMIA FIKRA HURU , mwanadamu aliumbwa HURU jifungue minyororo ya kuataka watu wafikiri kwa niaba yako.
Hili linajulikana.
Tatizo ni kwamba Mzee Edwin Mtei ndiye anayeamua nani awe mwenyekiti.
Kwa sasa anamataka Mbowe na option yake ya pili ni Godbless Lema.
Kutokana na hiyo option yake ya pili, mimi naona ni bora Mbowe tu aendelee kuwa mwenyekiti kuliko kumkabidhi chama Godbless Lema kwa sababu movie itakuwa ndio imeshaisha na itaisha vibaya mno...
Mkuu usiseme nimelipwa kiasi gani onyesha mapungufu ya post kwa hoja. Hayo ni maoni yangu kwa jinsi ninavyofuatilia siasa hapa nchini. Niambie udhaifu wa post ili uemdelee kuniheshimu. kukimbilia kusema umelipwa kiasi gani nashindwa kuelewa na kulipwa na nani ati?Kimbunga ninakuheshimu sana. How much have they paid you to post this piece of shit!
mleta uzi unaonekana wewe ni kiazi sana. Kwani kuna tatizo gani hapo?
Yale yalikuwa ni mapendekezo ya zitto na si uamuzi wa chama. Sasa kuna shidagani kama zitto alitoa ushauri na chama kikasema hapa?
Kwani nilazima kila kitu anachosema zitto chama kiaafiki? Kila mtu anamtazamo wake, hata mbowe mwenyewe alikuwa na mtazamo tofauti na hiki alichokisema leo, lakini yote hayo yanaletwa kwenye kikao yanajadiliwa!
Uache utoto na ushabiki wa kijinga.
Hivi ofisi ya Zitto na ya Slaa zipo kwenye umbali mkubwa kiasi gani? Dr. Slaa ni katibu mkuu na Zitto ni Naibu katibu mkuu. Hivi kulikuwa na sababu yoyote ya msingi ya Zitto kumwandikia barua Dr. Slaa? Kwanini hakwenda kuongea naye in person au asubiri vikao ambavyo yeye ni mmoja wa wapangaji wake ili atoe hilo pendekezo? CHADEMA hakuna utaratibu wa vikao vya dharura vya viongozi wakuu wa chama? Kwani hakuomba kikao cha dharura, na hasa kwa jambo kubwa kama hili?
Na kwanini barua ilivuja? Mbowe amegundua kwamba Zitto anataka kuwachezea akili. Na wanataka wamwonyeshe kwamba hawanunuliki kirahisi hivyo kwa pesa za mafisadi. Zitto anatakiwa atulize akili kidogo katika utendaji wake wa mambo. Asitafute sana kuonekana.
Alichosema Mbowe ni kwa niaba ya chama. yawezekana kabisa huo sio msimamo wake binafsi.Mbowe alisema ikidhihirika Lwakatare amerekodi basi awajibishwe.
Imedhihirika kuwa ni KWELI Lwakatare alirekodiwa na Tundu Lissu anamjua mpaka aliyemrekodi Lwakatare. Mbowe huyohuyo anawaambia kuwa sasa asiwajibishwe.
Hii ni kwa sababu Mbowe kashajua kuwa vijana mnalaghaika kirahisi.
Usilaghaike - Uamuzi ni wako...
Mkuu usiseme nimelipwa kiasi gani onyesha mapungufu ya post kwa hoja. Hayo ni maoni yangu kwa jinsi ninavyofuatilia siasa hapa nchini. Niambie udhaifu wa post ili uemdelee kuniheshimu. kukimbilia kusema umelipwa kiasi gani nashindwa kuelewa na kulipwa na nani ati?Kimbunga ninakuheshimu sana. How much have they paid you to post this piece of shit!
Udini Na Ubinafc Ndo Unao Msumbua Mbowe,kwanza Tangu Lini Muuza Hotel Akawa Kiongoz Wa Chama
Mie nilikuwepo ubungo
plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili
mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi!
Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze
chama,ni mtupu ajabu