Taswira
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 1,198
- 452
Katika hali ya kushitua,Mh:mbowe akiongea na wanachi na wanachama wa chadema hii leo Ubungo plaza amesema
'Eti nashangaa kuna watu wanataka CHADEMA kimuache Lwakatare na kumsimamisha uongozi kwa uzushi uliopandikizwa na CCM, Hilo halitafanyika' - Mwenyekiti wa Chadema Kamanda Freeman Mbowe.
IKUMBUKWE siku chache zilizopita naibu katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe alitoa mapendekezo ya kuomba Mshitakiwa mkuu kwenye kesi ya Ugaidi ambaye ni Ndugu rwakatale mkuu wa usalama wa chadema awajibike kisiasa. Kuwajibika kisiasa ni pamoja na kuachia ngazi ya ukurugenzi wa usalama ili kupisha uchunguzi salama na kukiacha chama salama. Pia Lwakatare chama kijichunguze na shutuma zinazokikabili huku Lwakatare akiwa nje ya ulingo wa viongozi waandamizi wa chadema.
Hata hivyo katika hali ya kustaabisha barua ya zitto ilivuja wakati Zitto anadai ilikuwa ni barua ya siri kati yake na ofisi ya katibu mkuu wa chadema.
SASA
Kauli ya Mbowe hii leo kumkana zitto (kauli) mbeye ya wanachama wa chadema inaleta sura gani ndani ya chadema?
Je inadhihirisha hata ile barua ya mapendekezo ya Zitto ilivujishwa kwa maksudi kama njia ya kumpinga zitto?
Au kauli ya Mbowe ya leo inamkingia kifua katibu mkuu kutowajibika kwa kuvujisha barua kwa sababu barua haikubebe ujumbe wenye maana kwa chama na Lwaktare?