Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 210
Swala la kumtosa au
kutomtosa Lwakatare lilikuwa ni swala la ndani ya ofisi za CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA wanapotoka nje na kuanza kulipigia kelele kwenye
majukwaa inaashiria kuna sintofahamu kubwa kati yao viongozi ambayo
inaakisi picha kutoka kwa wananchi.
Matamko kama haya yanaashiria misuago kati yao wanaigeuza kuwa mapambano
baina yao kwa wananchi kuhusiana na maamuzi.
MwanaDiwani:
Viongozi wa cdm kutoka na kuongea na wananchi juu ya msimamo wa chama juu ya sakata la Rwakatare ni move nzuri.
Wanachi wanastahili kujua msimamo wa chama juu ya mambo yanayohusu chama chao.
Inapopatikana nafasi ya kukutana na wananchi inatumika kufikisha ujumbe.