utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Tuseme hapana kwa magaidi na watesaji
Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu
Mbwa umfugavyo ndivyo akuwavvyo tumechoka kumpigia mbuzi gitaa
Zitto hana maamuzi, vikao ndo vyenye maamuzi. Full stop!
hapa jukwaani watakuona mwehuMbwa umfugavyo ndivyo akuwavvyo tumechoka kumpigia mbuzi gitaa
Watashauri nini? Wapotelee mbali kabisa, wamefanya kimekuwa kama waasi
kwa hiyo kuingia kwako saa 6 na kutoka saa 8 kuna maana gani kuhusiana na kutofaa kwa Mbowe?
Mkuu, Mudi Mtoi, ni kweli mimi ni kipenzi cha EL, ndio maana nikampendekeza asimamishwe kama mgombea wa CCM ili atumike kama "pace maker" ili litimie lile neno "rais wa 2015" lazima atoke Kaskazini!".
Pia ni kweli naiabudu sana CCM ndio maana nikaisifu kwa kusema, CCM Imechokwa na mimi ndie mtu wa mwanzo huku kumsifu Mwenyekiti wa CCM kwa kumuita JK ni Kiongozi Dhaifu!, ndio maana ninawaabudia hata kina Chenge, Sitta na kina Mwigulu, huku nikiishutumu Chadema kila kukicha!.
Pasco.
Unatoa maoni au unamwaga sumu?pamoja na heshima kwa mbowe lakini kwa sasa afanye apumzike, siasa za sasa zinahitaji uongozi wa vijana wasomi , afanye apumzike sambamba na slaa wabaki kuwa washauri
Tumbo lako litaendelea kukudhalilisha mileleMie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu
sumu na virusi umetoa wewe, pengine u mlemavu wa kusikia, au mlemavu wa kutoona.Unatoa maoni au unamwaga sumu?
Unatoa ushauri au unasambaza virusi?
Kauli ya Mwigulu imetimia Mbowe ana mtetea Gaidi Mwenzake kwa garama yoyote ile!
Viongozi vijana wasomi kama Stephen Wassira na Samuel Sitta. Asante mkuu kwa ushauripamoja na heshima kwa mbowe lakini kwa sasa afanye apumzike, siasa za sasa zinahitaji uongozi wa vijana wasomi , afanye apumzike sambamba na slaa wabaki kuwa washauri
.Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu
Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu
Viongozi vijana wasomi kama Stephen Wassira na Samuel Sitta. Asante mkuu kwa ushauri