Zitto ni mmoja wa virusi vinavyotafuna cdm, mh. Mbowe yuko sahihi, na hata ningekuwa mm ningesema hivyohivyo.
kweri we mgonjwa tena sana haisee zito si jana tu kasema msimamo wake ndio huwo wa chama na msemaji ni Lisu sasa sijui nikubanwa haja kubwa au kuwashwa?????????
unaona ee!Mbowe naye awajibike
The good thing ni kwamba hapa JF hatujuani! Kwahiyo nielewe hivyohivyo kwamba mimi ni mtu wa kijiweni.wewe utakuwa mtu wa kijiweni hujui kuwa Ofisi zinazungumza kupitia hati ( documents) hata bosi na secretary wake huzungumza kwa njia ya maandishi, ofisi ya chama cha siasa tofautisha na saloon ya kunyoa ndevu ambayo maelekezo yanaweza kutolewa hata kwa ishara ya kunyanyua kidevu cha anaenyolewa, Zitto kuongea kwa njia ya karatasi ndio mfumo sahihi we hujaona hata Lwakatare wakati anamfundisha Ludovic hutumia karatasi
Yule dogo hapati jani kweli?
Uhuru Muigai Jommo Kenyatta mtoto wa Mama Ngina, Rais wa Jamhuri ya Kenya na Rais wa zamani wa Amerika waliwahi kupata hii kitu.
Mkuu mmeishakigundua kirusi ambacho ni andamizi chamani?
kumbukeni zito hana nafasi ndani ya chadema ila anashindwa namna ya kutoka watammaliza kwa kuwa anajua mabo mengi yaliyomo cdm hivyo akitoka ile sumu lazima imfuate tena
wewe utakuwa mtu wa kijiweni hujui kuwa Ofisi zinazungumza kupitia hati ( documents) hata bosi na secretary wake huzungumza kwa njia ya maandishi, ofisi ya chama cha siasa tofautisha na saloon ya kunyoa ndevu ambayo maelekezo yanaweza kutolewa hata kwa ishara ya kunyanyua kidevu cha anaenyolewa, Zitto kuongea kwa njia ya karatasi ndio mfumo sahihi we hujaona hata Lwakatare wakati anamfundisha Ludovic hutumia karatasi
Nani na nani wametofautiana hapo?zitto alitoa maoni yake binafsi kabla ya kujua msimamo wa chama,mbowe kaweka wazi msimamo wa chama(zitto akiwa naibu katibu)shida iko wapi?
kumbukeni zito hana nafasi ndani ya chadema ila anashindwa namna ya kutoka watammaliza kwa kuwa anajua mabo mengi yaliyomo cdm hivyo akitoka ile sumu lazima imfuate tena
Kimbunga ninakuheshimu sana. How much have they paid you to post this piece of shit!Mkuu unasemaje kwamba Zitto hana nafasi wakati yeye ni Naibu Mtendaji MKuu wa Chama? Kama ana shida ndani ya chama na hataki kutoka si mmfute tu? Mbona mmemfuta Makamo Mwenyekiti wa BAVICHA? Utake usitake Zitto ana ngivu kubwa sana CHADEMA. Najua CHADEMA imewaandaa vijana ili kumfunika Zitto lakini wote wameshindwa kuvivaa viatu vya Zitto katika nyanja ya kisiasa kwa vijana hapa nchini. CHADEMA ina vijana wengi lakini hawawezi kujenga hoja kama za Zitto. Zitto akiibuka na hoja iwe ndani ya Chama ama ndani ya Bunge lazima itikise. Wengine wamejaribu kila siku kuja na hoja lakini mwishowe zinaishia hewani ila za Zitto zinakuwa na impact kubwa kwa jamii na Taifa kwa ujumla. Anajenga hoja murua hadi karibia kuiangusha serikali. Ni nani anamkaribia Zitto katika kujenga hoja kwa vijana wa CHADEMA? Zaidi zaidi wanaishia kutukana badala ya kujenga hoja. wakitukana wanaonekana mashujaa!!
Ndo zako nini hizo Mwakitobile; unaanziaga kule chini mabanzi ukiwa TK, halaf saa tatu unapepesukia Lux, au?Mataputapu hayo,chupa tu ndiyo kutoka uholanzi,hacha mbwembwe