Viongozi wa juu CHADEMA watofautiana

Viongozi wa juu CHADEMA watofautiana

Mkuu, Mudi Mtoi, ni kweli mimi ni kipenzi cha EL, ndio maana nikampendekeza asimamishwe kama mgombea wa CCM ili atumike kama "pace maker" ili litimie lile neno "rais wa 2015" lazima atoke Kaskazini!".Pia ni kweli naiabudu sana CCM ndio maana nikaisifu kwa kusema, CCM Imechokwa na mimi ndie mtu wa mwanzo huku kumsifu Mwenyekiti wa CCM kwa kumuita JK ni Kiongozi Dhaifu!, ndio maana ninawaabudia hata kina Chenge, Sitta na kina Mwigulu, huku nikiishutumu Chadema kila kukicha!.Pasco.
Mkuu wamekukurupua ulikojificha? Tumbo baya sana...tiririka mkuu...
 
wasira na sitta ni wenyeviti au makatibu wakuu wa chama gani? TUMIA FIKRA HURU , mwanadamu aliumbwa HURU jifungue minyororo ya kuataka watu wafikiri kwa niaba yako.
Akili za vijambio hizi! Kiongozi hadi awe mwenyekiti wa Chama? Hovyo kabisa wewe
 
Kijambio ni wewe uliyeruhusu mwanaume mwenzio awaze na kuamua hatma yako, to hell kijambio kabwela
Hahahahaaa....mkuu akili yako imechanganyika na ushuzi. Ndio maana unapost kiushuzi ushuzi tu hapa jukwaani...
 
Hivi ofisi ya Zitto na ya Slaa zipo kwenye umbali mkubwa kiasi gani? Dr. Slaa ni katibu mkuu na Zitto ni Naibu katibu mkuu. Hivi kulikuwa na sababu yoyote ya msingi ya Zitto kumwandikia barua Dr. Slaa? Kwanini hakwenda kuongea naye in person au asubiri vikao ambavyo yeye ni mmoja wa wapangaji wake ili atoe hilo pendekezo? CHADEMA hakuna utaratibu wa vikao vya dharura vya viongozi wakuu wa chama? Kwani hakuomba kikao cha dharura, na hasa kwa jambo kubwa kama hili?

Na kwanini barua ilivuja? Mbowe amegundua kwamba Zitto anataka kuwachezea akili. Na wanataka wamwonyeshe kwamba hawanunuliki kirahisi hivyo kwa pesa za mafisadi. Zitto anatakiwa atulize akili kidogo katika utendaji wake wa mambo. Asitafute sana kuonekana.

wewe utakuwa mtu wa kijiweni hujui kuwa Ofisi zinazungumza kupitia hati ( documents) hata bosi na secretary wake huzungumza kwa njia ya maandishi, ofisi ya chama cha siasa tofautisha na saloon ya kunyoa ndevu ambayo maelekezo yanaweza kutolewa hata kwa ishara ya kunyanyua kidevu cha anaenyolewa, Zitto kuongea kwa njia ya karatasi ndio mfumo sahihi we hujaona hata Lwakatare wakati anamfundisha Ludovic hutumia karatasi
 
Hahahahaaa....mkuu akili yako imechanganyika na ushuzi. Ndio maana unapost kiushuzi ushuzi tu hapa jukwaani...

nataka uniombe radhi ndani ya dakika nne la sivyo nakuripoti kwa moderator upewe ban kwa kutumia lugha ya matusi kama mwigulu hapa
 
Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu
Kiazi pisha wewe, kuna chama cha upinzani kilishakua tz kama anachokiongoza mbowe? Nan kakifikisha chama hapo?
 
Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu

hivi pale ccm nani unaweza kumulinganisha na kamanda mbowe hata kwa nusu maana ni kamayule tahira wenu hata robo hafikii...
 
Zitto ni mmoja wa virusi vinavyotafuna cdm, mh. Mbowe yuko sahihi, na hata ningekuwa mm ningesema hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom