Viongozi wa juu CHADEMA watofautiana

Viongozi wa juu CHADEMA watofautiana

Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu

Sawa umesema,

Na nccr, tlp, cuf, DP, UDP, CCJ n.k wakitaka kukua wafanye nini?

CCM ikitaka kukubalika tena ifanye nini?

Na la mwisho kwa mawazo yako, kati ya ccm nccr, TLP, CUF, UDP, DP, CCJ na CDM ni chama kipi kinakua kwa kasi?

Kwa mantiki hiyo ushauri wako wa kukuza vyama ungeupeleka kwenye vyama visivyokuwa, vilivyodumaa, na vinavyoshuka chini kama ccm.

Kinyume cha pale wewe ni mnafiki tena un ahila na hila ni dhambi. INAKUPASA KUTUBU.
 
Mbowe alisema ikidhihirika Lwakatare amerekodi basi awajibishwe.

Imedhihirika kuwa ni KWELI Lwakatare alirekodiwa na Tundu Lissu anamjua mpaka aliyemrekodi Lwakatare. Mbowe huyohuyo anawaambia kuwa sasa asiwajibishwe.

Hii ni kwa sababu Mbowe kashajua kuwa vijana mnalaghaika kirahisi.

Usilaghaike - Uamuzi ni wako...
 
  • Thanks
Reactions: SQL
Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu
Aaakh!Ww yaelekea humjui huyo KAMANDA.,Huyo WATANZANIA wanamwita Kaka Mbowe au Kamanda wa anga wengine wanamwita Rais wao wa 2005 kwenda 20010.,Una mizaha(usaha)!!!Kukua?¿?Kikue mara ngapi???Unaona chengaee,Kalagabhaho.
 
Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu

Hili linajulikana.

Tatizo ni kwamba Mzee Edwin Mtei ndiye anayeamua nani awe mwenyekiti.

Kwa sasa anamataka Mbowe na option yake ya pili ni Godbless Lema.

Kutokana na hiyo option yake ya pili, mimi naona ni bora Mbowe tu aendelee kuwa mwenyekiti kuliko kumkabidhi chama Godbless Lema kwa sababu movie itakuwa ndio imeshaisha na itaisha vibaya mno...
 
Taswira.

Aliyesema Lwekatare awajibishwe sio huyo uliye mtaja wewe peke yake kwa mapenzi yako. Walio sema na kushauri kuwa Lwex atoswe ni pamoja na kipenzi cha EL na mtu anaye iabudu CCM isipokuwa spika wake, huyu ni Pasco.
Mkuu, Mudi Mtoi, ni kweli mimi ni kipenzi cha EL, ndio maana nikampendekeza asimamishwe kama mgombea wa CCM ili atumike kama "pace maker" ili litimie lile neno "rais wa 2015" lazima atoke Kaskazini!".
Pia ni kweli naiabudu sana CCM ndio maana nikaisifu kwa kusema, CCM Imechokwa na mimi ndie mtu wa mwanzo huku kumsifu Mwenyekiti wa CCM kwa kumuita JK ni Kiongozi Dhaifu!, ndio maana ninawaabudia hata kina Chenge, Sitta na kina Mwigulu, huku nikiishutumu Chadema kila kukicha!.
Pasco.
 
MBOWE anajua wazi Kuwa Lwakatare akitoshwa Mengi yatajulikana kwa vile mission nzima waliipanga wao an SLAA.
 
"Aliyevujisha barua ana uhusiano na kiongozi mwanadamizi au ana shughuli andamizi kwenye Chama" ZZK
 
Hili linajulikana.

Tatizo ni kwamba Mzee Edwin Mtei ndiye anayeamua nani awe mwenyekiti.

Kwa sasa anamataka Mbowe na option yake ya pili ni Godbless Lema.

Kutokana na hiyo option yake ya pili, mimi naona ni bora Mbowe tu aendelee kuwa mwenyekiti kuliko kumkabidhi chama Godbless Lema kwa sababu movie itakuwa ndio imeshaisha na itaisha vibaya mno...
Hivi huyu MTei anafikiri Chadema itaongozwa na WAchaga milele?
 
Mkuu Pasco sijawahi kukuelewa. kuna siku niliku pm nikidhani nilikuelewa lakini bado naona sijakuelewa.
 
Last edited by a moderator:
"Aliyevujisha barua ana uhusiano na kiongozi mwanadamizi au ana shughuli andamizi kwenye Chama" ZZK

Lazima atakuwa ni kiongozi mwandamizi wa CHama kwa vile siku zote wanataka kumhaharibia Zitto.
 
Hivi huyu MTei anafikiri Chadema itaongozwa na WAchaga milele?

Mzee Mtei hajasema anataka mtu wa kabila fulani ila kauli aliyowahi kuitoa ni kwamba hataki watu "from nowhere" wagombee uenyekiti.

Btw unakumbuka maoni yake kuhusu wajumbe wa tume ya katiba?
 
Mkuu, Mudi Mtoi, ni kweli mimi ni kipenzi cha EL, ndio maana nikampendekeza asimamishwe kama mgombea wa CCM ili atumike kama "pace maker" ili litimie lile neno "rais wa 2015" lazima atoke Kaskazini!".
Pia ni kweli naiabudu sana CCM ndio maana nikaisifu kwa kusema, CCM Imechokwa na mimi ndie mtu wa mwanzo huku kumsifu Mwenyekiti wa CCM kwa kumuita JK ni Kiongozi Dhaifu!, ndio maana ninawaabudia hata kina Chenge, Sitta na kina Mwigulu, huku nikiishutumu Chadema kila kukicha!.
Pasco.

Naona Kama una njaa ville?
 
Taswira wewe siku hizi una macho na masikio ambayo yanasikia na kuona vitu unique tofauti na wengine?
Ulitaka chama kikubaliane na mawazo ya kiCCM na kiSALIA ndio uridhike?
Kama barua mliivujisha ni ninyi peke yenu kwa njaa zenu kwa ajili ya tamaa ili mumsingizie Rais Dr.W.Slaa kuwa hatunzi siri za ofisi.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni Mbuzi pori. Umepoteza muda wote kuandika utumbo huu? Familia yako ina hasara
 
pamoja na heshima kwa mbowe lakini kwa sasa afanye apumzike, siasa za sasa zinahitaji uongozi wa vijana wasomi , afanye apumzike sambamba na slaa wabaki kuwa washauri

Watashauri nini? Wapotelee mbali kabisa, wamefanya kimekuwa kama waasi
 
Magamba hatuhitaji ushauri wenu.....CDM tupo makini
 
Lazima atakuwa ni kiongozi mwandamizi wa CHama kwa vile siku zote wanataka kumhaharibia Zitto.

Naona mmekuwa wafa maji, Kama Zitto mnampenda sana kwanini msimuite aje huko CCM? maana hata sisi tushamchoka na vibwanga vyake.Ebooo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom