Viongozi wa juu CHADEMA watofautiana

Viongozi wa juu CHADEMA watofautiana

Taswira we ulishafukuzwa CDM sasa mbona hupati usingizi Kwa mambo yetu.
 
Bandiko lililoenda shule kwa kuchanganua mambo kwa kina na kuuliza maswali ya msingi. Shukurani Mkuu Lukolo.

Hivi ofisi ya Zitto na ya Slaa zipo kwenye umbali mkubwa kiasi gani? Dr. Slaa ni katibu mkuu na Zitto ni Naibu katibu mkuu. Hivi kulikuwa na sababu yoyote ya msingi ya Zitto kumwandikia barua Dr. Slaa? Kwanini hakwenda kuongea naye in person au asubiri vikao ambavyo yeye ni mmoja wa wapangaji wake ili atoe hilo pendekezo? CHADEMA hakuna utaratibu wa vikao vya dharura vya viongozi wakuu wa chama? Kwani hakuomba kikao cha dharura, na hasa kwa jambo kubwa kama hili?

Na kwanini barua ilivuja? Mbowe amegundua kwamba Zitto anataka kuwachezea akili. Na wanataka wamwonyeshe kwamba hawanunuliki kirahisi hivyo kwa pesa za mafisadi. Zitto anatakiwa atulize akili kidogo katika utendaji wake wa mambo. Asitafute sana kuonekana.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni Mbuzi pori. Umepoteza muda wote kuandika utumbo huu? Familia yako ina hasara

unaonaje mkuu kama utatumia kichwa kufikiri badala kufugia nywele ili upunguze matusi matusi jukwaani
 
taswira hivi kwanini usielekeze nguvu zako kujenga hicho chama ulichoenda?hizi story za kuungaunga ili uonekane umewagusa cdm zinatujazia seva.uwezi kupiga mluzi huku unakula karanga
 
Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu

unajua mbowe ametoka wapi na chama eroo mbona unaropoka?
 
Tatizo CDM tunacheza ngoma tusioijua hawa jamaa wanalipwa kwa post wanazoleta hapa hakuna hata mmoja mwenye mapenz ya kweli na magamba so wanaanzisha uzi wanakaa pembeni wanahesabu reply ni ngapi wakiona watu mmeacha kuchangia wanarudia zile post zenu kukejeli mnarudi tena hii deal Dr Pauline alishasema hili kwa lile gonjwa mahututi,
 
Wewe ulishafukuzwa Chadema kwa usaliti.

Kikao cha leo ni kuwaletea mafuriko ya kisiasa mabosi wako huko kibaha na kwingineko.

Kauli ya Mbowe ni kauli ya Chama.

Hayo majungu mengine uliyoandika sio saizi yetu.

Au mpaka washirika wako wa karibu wakukane kwa mara ya pili?

Ni lini uliona wanamapinduzi wa kweli wakipiga magoti kwa maadui wa mageuzi?Labda kwa kuwa umezoea unafiki kaka.Pole,mko pabaya sana.Na bado!
 
Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu
Masaburi wewe!!!ungekuwepo kweli kwa wale makamanda tungeshakuchomoa na haki ya nani tungekutafuna kiungo kimoja kimoja mpaka uishe,nyang'au kabisa!!!!uongo wenu utawaua..
 
Mchonganishi ni ww,barua ya zitto imeshazungumzwa ndani ya vikao ndani chama unless amekulalamikia shame on you.
 
Taswira ni saa ngapi una jenga chama chako? Wewe umejuaje hiyo barua imevuja mikononi mwa Dr slaa we ndio ulitumwa uipeleke?
 
Last edited by a moderator:
Duh!!!! Hapa jamvini wengi tumekwishakustukia kwamba wewe ni mchumia tumbo mwingine unayeuma na kupuliza huku ukisubiri kurushiwa marashi ya Zanzibar na fisadi Lowassa. "CCM imechokwa lakini CHADEMA haiko tayari kuchukua nchi" UPUUZI MTUPU!!!!!!

Mkuu, Mudi Mtoi, ni kweli mimi ni kipenzi cha EL, ndio maana nikampendekeza asimamishwe kama mgombea wa CCM ili atumike kama "pace maker" ili litimie lile neno "rais wa 2015" lazima atoke Kaskazini!".
Pia ni kweli naiabudu sana CCM ndio maana nikaisifu kwa kusema, CCM Imechokwa na mimi ndie mtu wa mwanzo huku kumsifu Mwenyekiti wa CCM kwa kumuita JK ni Kiongozi Dhaifu!, ndio maana ninawaabudia hata kina Chenge, Sitta na kina Mwigulu, huku nikiishutumu Chadema kila kukicha!.
Pasco.
 
taswira hivi kwanini usielekeze nguvu zako kujenga hicho chama ulichoenda?hizi story za kuungaunga ili uonekane umewagusa cdm zinatujazia seva.uwezi kupiga mluzi huku unakula karanga
 
8castle lagers on my head zitto hafai, haeleweki mbnafsi yupo kujijenga yy binafs cdm imuangalie
 
Masaburi wewe!!!ungekuwepo kweli kwa wale makamanda tungeshakuchomoa na haki ya nani tungekutafuna kiungo kimoja kimoja mpaka uishe,nyang'au kabisa!!!!uongo wenu utawaua..

hakujueni vizuri huyu, mkumbushe kazi ya lwakatare
 
Kauli ya Mwigulu imetimia Mbowe ana mtetea Gaidi Mwenzake kwa garama yoyote ile!
 
Back
Top Bottom