Violet Mzindakaya mwepeeeeesi

Violet Mzindakaya mwepeeeeesi

akiongea kwa kiswanglish cha ki-teenager, (si unajua namna huwa wanatamka L zao) violet mzindakaya ameweka wazi vitu wanakavyoviongea kesho Jangwani amesema watanzania kwa muda mrefu wamekua wakidanganywa kwamba wao ndio wana maisha magumu wakati dunia nzima hali ya uchumi ni ngumu, sasa wanataka kutumia nafasi ya mkutano wa kesho kuwaambia watanzania ukweli, wanataka watanzania watambue hali ya maisha ni ngumu si tu tanzania ila hata sehemu nyingine duniani tofauti na wanavyodanganywa na wapinzani hasa CHADEMA.

hapo mkuu umenifurahisha sana
 
Comrade si kila maombi Mungu huyasikliza Kwani Maombi ya wanafiki (CCM) nI sawa na kelele mbele zaMungu bali maombi ya wenye haki(.......) ni manukato mbele ya Mungu

Mwenye haki ni yule ambae anatembea na mke wa mtu kinyume na mafundisho ya Mungu wa kitabu chochote kile?
 
VIOLET MZINDAKAYA ni nani na ana wadhifa gani katika nchi yetu?
aViolet.jpg

Violet ni Mtangazaji wa redio ya Chama, redio Uhuru.
 
akiongea kwa kiswanglish cha ki-teenager, (si unajua namna huwa wanatamka L zao) violet mzindakaya ameweka wazi vitu wanakavyoviongea kesho Jangwani amesema watanzania kwa muda mrefu wamekua wakidanganywa kwamba wao ndio wana maisha magumu wakati dunia nzima hali ya uchumi ni ngumu, sasa wanataka kutumia nafasi ya mkutano wa kesho kuwaambia watanzania ukweli, wanataka watanzania watambue hali ya maisha ni ngumu si tu tanzania ila hata sehemu nyingine duniani tofauti na wanavyodanganywa na wapinzani hasa CHADEMA.

hapo mkuu umenifurahisha sana

unajua huyu ni mama mtu mzima kama unamfahamu, kwa kumuangalia tu, ni mtu above 33, sasa anapoongea utafikiri wale wanaogombea u-miss kwenye vitongoji, ambao wengi huwa below 20, wakianza tu kujinadi utasikia 'kwanza najiamini' anakera sana

Mtu mwenye zaidi ya miaka 33 anategemewa awe amekua na anaongea vizuri kwa busara, hategemewi atumie lugha kama, wapinzani wasituletee usharo au twitter kuiita twila
 
Si kila sehemu duniani ina Gold, Tanzanite, Diamond, Nickel, Uranium, gas, oil, misitu, Mbuga za wanyama, bahari, maziwa, mito, Mt Kilimanjaro, arable land. Si kila sehmu duniani utakuta serikali yake inatumia 38% ya National budget kununulia magari ya kifahari kwa ajili ya wakubwa wachache! Si kila sehemu duniani utakuta serikali inafanya mazungumzo na wezi - grand thefts! Si kila mahali.

FJM-GREAT THINKING FROM A GREAT THINKER. Nimehifadhi katika kitabu changu cha kumbukumbu ya mambo muhimu hizo rasilimali na utajiri wa kutisha wa nchi yetu ulizozitaja. Kwa namna ya kushangaza watawala wetu huwa hawapendi wa Tz wafahamu kuwa nchi yao ni tajiri kwa kiwango cha namna hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Duh! Umenigusa!
Kuna mtu anashindwa kununua dawa ya tsh 200 yaani!
hawajui kuwa kuna mtu huwa anakosa hata buku mbili ya kung'oa jino hospitali inabidi akimbilie kanisani akaomewe
SHAME ON THEM
 
unajua huyu ni mama mtu mzima kama unamfahamu, kwa kumuangalia tu, ni mtu above 33, sasa anapoongea utafikiri wale wanaogombea u-miss kwenye vitongoji, ambao wengi huwa below 20, wakianza tu kujinadi utasikia 'kwanza najiamini' anakera sana

Mtu mwenye zaidi ya miaka 33 anategemewa awe amekua na anaongea vizuri kwa busara, hategemewi atumie lugha kama, wapinzani wasituletee usharo au twitter kuiita twila

Hataki kukua eeee. Atajikuta anafikisha miaka 50 na kiswahili cha "ki-twila"
 
Si bora hao watu wazima wana maamuzi yao binafsi. Unajua braza mukulu anawaingiza watu wa rika gani pale Serena hotel? Siasa za maji taka hazitatufikisha popote ndugu. Tuongee vyenye manufaa!
Mwenye haki ni yule ambae anatembea na mke wa mtu kinyume na mafundisho ya Mungu wa kitabu chochote kile?
 
Baba akiwa Mwizi kwani wewe nawe unalazimishwa kuwa Mwizi?!! CCM sio damu damu yenu kuendekeza uongozi wa Kifalme

Tutakapofikia kujitoa kupambana ndo mana tunaskia wanajeshi waasi wamebaka sasa ndo kama hivi nji ikiingia machafukoni hawa watabeba mimba zetu waacheni wajambemaputo
 
..aache uongo!!

..sisi tuliokula chumvi tunajua uongo na visingizio vya CCM tangu zamani.

..kwanza walikuwa wanasingizia kuvunjika kwa jumuiya ya afrika mashariki.

..baadaye wakaja na visingizio vya vita vya Kagera.

..wakasema kuna wahujumu uchumi na walanguzi.

..baadaye wakadai hakuna fedha za kigeni.

..wakaja wakadai ni masharti magumu ya IMF na WB.

..kupanda kwa bei ya mafuta ktk soko la dunia.

..wakasema tunafunga mikanda kulipa madeni ya nje.

..halafu ukaja mtikisiko wa uchumi wa dunia.

..TANGU CCM IANZISHWE IMEKUWA NI VISINGIZIO TU. SASA TUMEAMUA KUWATOA MADARAKANI.

Mara bei ya mafuta imepanda soko la dunia! Lakini yakishuka bei hatuambiwi! Mfano ukiangalia bei ya mafuta sasa hivi katika soko la dunia imeshuka ila sikiliza leo jangwani utaambiwa bei iko juu!
Tuliambiwa "bulky procuament" itashusha bei ya mafuta kwa karibu 20% sasa tuambiwe kwa nini imeongezeka!
 
Mweee! Hawajifunzi tu hawa nyinyiem? Kweli sikio la dawa haliskii kufa
 
Si bora hao watu wazima wana maamuzi yao binafsi. Unajua braza mukulu anawaingiza watu wa rika gani pale Serena hotel? Siasa za maji taka hazitatufikisha popote ndugu. Tuongee vyenye manufaa!

Weka ushahidi na wataje. Kama huwezi kaa kimya, usipakaze pasipo pakazika.

Ya wengine yako wazi kazi kabisa, wameshindwa kuchunga kondoo waliopotea sasa wao ndio wamekuwa kondoo waliopotea.

Hakuna cha maamuzi mabaya ya mtu mzima yakahalilishwa, tena bora yakiwa ya mtoto mdogo, tutasema ni mtoto mdogo. Halafu mtu mzima mwenye akili yako kumfata mtu aliyepotea halafu ukamfanya awe kiongozi wako ina maana nawe umepotea "hatua za shetani hufatwa na shetani". Ukitetea maovu nawe ni muovu.
 
Kama mlikuwa mnadhani kuna kijana mwenye akili timamu bado yupo CCM basi mmekosea sana. Angalieni jinga lingine hili hapa.

[h=6]Cyprian Majura Musiba
[/h][h=6]KESHO CCM JANGWANI KUWAONYESHA WATAALAM WA KUPOTOSHA CHADEMA KWAMBA BILA CCM NCHI ITAYUMBA..KWENYE MSAFARA WA MAMBA HATA KENGE WAMO..

KENGE NI VYAMA VYA SIASA KIKIWEMO CHADEMA
CHADEMA WATASHANGAA UWANJA WA NYUMBANI WA CCM JANGWANI UTAKAVYOFURIKA

VUA GAMBA,VUA GWANDA..VAAAAAA UZALENDO HALISI

ATAKUWEPO MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI AMBAYE PIA NI RAIS WA TANZANIA MHE.JAKAYA MRISHO KIKWETE.

WATAKUWEPO MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI

DK SLAA KURUDI CCM RASMI KESHO KWA KISHINDO JANGWANI BAADA YA KUSHINDWA KUELEWANA NA MWENYEKITI WAKE FREEMAN MBOWE KWA MUDA SASA.

DK SLAA ATAAMBATANA NA VIONGOZI KADHAA WAANDAMIZI WA CHADEMA
[/h]
 
hii nimeipenda, tukiwaonea aibu watakuja na sababu ingine. . . ooh tulikua tunavua magamba!

Ukitaka kuua nyani usimuangalie usoni, hizo ni hekima za wahenga
 
cyprian musiba anaonekana ana akili kweli don't judge a book by its cover
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom