Vioja vya Mahakama ya Tanzania

Vioja vya Mahakama ya Tanzania

Adhabu yake ni shahidi kukataliwa, na shahidi akikataliwa madhara yake kwenye mwenendo wa kesi unayajua. Ndiyo maana upande wa mashtaka, Jaji na serikali wasingeweza kukubali shahidi huyu awekwe pembeni.

Imekua ni bora kusema "Hakuna ushahidi kwamba alikisoma kielelezo hicho wakati wa kutoa ushahidi kizimbani"

Hii hata kwa tusio wanasheria ina ukakasi. Wao wanasheria wanajua zaidi.
Haya mambo yanakuwa na uzito kwenye rufaa. Kwenye rufaa mara nyingi huwa hakianzishwi kitu kipya, ndio maana utakuta rufaa inasema ..the judge/court erred in fact and in law..... Maana yake ni kuwa kitu kilishakuwa tabled kwenye mahakama lakini kikaamuliwa tofauti na matakwa ya sheria, hivyo unaomba kwenye rufaa....
Usione hakimu anatoa uamuzi wanasimama na kuendelea, si kwamba wanakubaliana na uamuzi bali wanakubaliana kuendelea, kwa sababu wasipokubali kuendelea then kipengele hicho tu kiende kwenye rufaa kwanza. Ukienda hivyo utajikuta hadi mwisho huna cha kupeleka kwenye rufaa na rufaa yako inaweza kukosa muunganiko.
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Hawa ni majaji Mkakati ambao hata hawakukidhi vigezo vya kuwa majaji na jukumu lao ni kuwafunga wapinzani tu, na kwa vile ni vilaza hawana budi kutumika kijinga kama polisi wetu vilaza wanavyotumika kigaidi kuua upinzani.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Umenikumbusha shamba lenye mbua ya mahindi
 
Binafsi najiuliza, kama jibu ni hilo, kwanini uamuzi huu hakuutoa siku ile ile alipokamatwa na diary?

Kwa maneno mengine, kama hoja ni shahidi kutumia au kutotumia hiyo diary, kwanini Jaji hakujikita kwenye hii hoja tangu siku ya kwanza shahidi huyo alipokutwa na diary mahakamani?

Angejikita kwenye hii hoja, si ingechukua dakika chache tu kutoa uamuzi kuhusu hili jambo?

Je,huu si ushahidi kwa Jaji ana upande kwenye hii kesi?
Alikuwa anasubiri maelekezo toka mamlaka ya uteuzi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tukiwa tunasema Ukweli tutakuwa tunawasaidia sana hasa wanaosoma incase kama hawana Uelewa wa kinachoamuriwa na mahakama

(1) Jaji HAKUSEMA kuwa ni Makosa Shahidi kuwa na Diary mahakamani..
Kinyume na jinsi walivyotaka akina Kibatala.. Maana wao walisema Kizimbani huwepo Biblia Au Quran tu.. Lakini Ukweli ni zaidi ya Hivyo maana Hata VIELELEZO Shahidi aweza kuwa navyo AKISUBIRI UAMZI wa Kuruhusiwa kuvitumia.

Sheria inaposema Shahidi anaweza KUJIKUMBUSHA kwenye Diary yake maana yake alikuwa nayo,, muda wa Kujikumbusha siyo Kwamba ndipo atoke Kizimbani kwenda kuitafuta Diary yake.. Anakuwa nayo hapo. Bali anasubili Ruhusa ya mahakama/Jaji

(2)Hadi Kibatala Ana raise Hiyo Hoja Shahidi alikuwa HATUMII HIYO DIARY katika kutoa Ushahidi.. Tangu anaongozwa Na wakili wa Serikali hadi mapingamizi yanaanzia HAKUNA sehemu aliyoonekana Akiitumia Hiyo Diary

NINI ALIKOSEA SHAHIDI?? Ni kuifunua na Kuanza Kuandika yale yaliyokuwa Yanaendelea BILA RUHUSA YA MAHAKAMA.. Hilo Ndilo VIOLATION ambayo Jaji amezungumzia..
TUWE WAKWELI

(3) Kile walichokwenda Kusoma/Kuangalia ni je hayo aliyokuwa ameandika yanahusiana/Yanaharibu mwendelezo wa Kesi na Utoaji wa Ushahidi wake?? Na hapo Jaji ndipo aliunga Mkono hoja ya akina Kibatala kwenda Kuangalia kwenye Diary yake aliyokuwa anaandika/ameandika!!!!

(3) Sheria ya Ushahidi waliyoitumia akina Kibatala HAKUNA sehemu/Kifungu kinachosema Shahidi akikutwa na Diary basi aondolewe kuwa Shahidi, bali sheria imesema ni issue za Umri mdogo Au Mkubwa,, insanity SIYO kukutwa Na diary

Mifano inayotolewa eti mtu akikutwa na Desa AMBALO HALITUMII Chumba cha Mitihani inakuwaje!! .. Ni issue ambayo Haina relevance Hata kidogo..
MTAHINIWA HAWEZI KUONDOLEWA chumba Cha Mitihani Bali hilo Desa huchukuliwa na yeye kuruhusiwa kuendelea na Mtihani. Kisha huwa attached katika ripoti ya wasimamizi ili kusaidia kufikia uamzi Kulingana na Matokeo yake.

Narudia, Tuwasaidie wanaotusikiliza/Wanaosoma majibu yetu ili Hata uamzi unapotoka tusiwapotoshe.
Pamoja ya kwamba sipo upande wa watesi ila napenda saana kubalance Story hasa kwenye kusikiliza pande zote.
ukiwa mpinzani ni vyema kujifunxa kusikiliza kwasababu ipo siku utakua mtawala so ukiwa mtu wa mlengo mmoja ndo utakua kama hawa waliolewa madaraka
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Tutawahimiza wanafunzi shule zile za kata waingie na chabo kama za shahidi huyu, simu ruksa, dayari au vinavyo fanana na dayari, na atakaye kamatwa na kusumbuliwa ana refer kesi hii, Kwa kuwa mtoa haki/jaji atakuwa amehalalisha hili Kwa mazingira yetu. Hii naiona ahueni kwa kesi zijazo zenyekuwa na mazingira yatakayofanana na hii🤸🤸.
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Hali ni mbaya Sana KWENYE mahakama zetu
 
Ushauri kwa jopo wanasheria utetezi wapunguze mapingamizi yasiodhahiri kuokoa muda. Uzuri msingi wa ushahidi upo wazi kwa upande mmoja namna polisi wanavyotekeleza wajibu na majukumu yao na sio msingi wa hoja makosa namna watuhumiwa walivyohusika kupanga,kuandaa ama kutenda makosa husika.
JamiiForums1331131571.jpg
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Ni sawaa na kuingia na unauthorized material kweny chumba cha mtiani alafu una jitetea kwa kuSema hakuna swali hata Moja lililotoka.......sizani kama huu utetezi ungekubalika.

Logic ni kua ukikiuka taratib za kweny kizimba Cha mahakama utetezi wako una be rejected....

Kweny hiyo diary kunaweza kusiandikwe chochote zikawekwa Codes....wenye akili wamenielewa.
 
Binafsi najiuliza, kama jibu ni hilo, kwanini uamuzi huu hakuutoa siku ile ile alipokamatwa na diary?

Kwa maneno mengine, kama hoja ni shahidi kutumia au kutotumia hiyo diary, kwanini Jaji hakujikita kwenye hii hoja tangu siku ya kwanza shahidi huyo alipokutwa na diary mahakamani?

Angejikita kwenye hii hoja, si ingechukua dakika chache tu kutoa uamuzi kuhusu hili jambo?

Je,huu si ushahidi kwa Jaji ana upande kwenye hii kesi?
Hata jana alihaurisha kesi asubuhi na mapema ili aka-study haya maamuzi ya leo!
 
Basi kama ni hivyo Tanzania nzima mahakama zote watu wawe wanaingia na simu na notebook kwenye mahakama nadhani hapo ndio tuje kuona huyo Jaji yupo vizuri kichwani au hajui anachofanya na vile vile hii kesi inaonekana ni kubwa sana kwake...
 
Ushauri kwa jopo wanasheria utetezi wapunguze mapingamizi yasiodhahiri kuokoa muda. Uzuri msingi wa ushahidi upo wazi kwa upande mmoja namna polisi wanavyotekeleza wajibu na majukumu yao na sio msingi wa hoja makosa namna watuhumiwa walivyohusika kupanga,kuandaa ama kutenda makosa husika.View attachment 2014262
Huja waelewa kina Kibatala, wana tengeneza mazingira ya ushindi usio na shaka mahakama ya rufaa.
Kule hakuna kudesa.. Yaani hakuna chabo. Makosa yote anayo fanya huyu jaji anae wasaidia serikali kwa sasa ni advantage kubwa kwa kina Malya.
Hii kesi ina kwenda mahakama ya rufaa soon.
 
Hata jana alihaurisha kesi asubuhi na mapema ili aka-study haya maamuzi ya leo!
Alienda kula na kunywa tu hamna cha maana alichokuwa ameenda kufanya kama alijuwa ni sawa basi jana angetoa majibu moja kwa moja...
 
Jaji ni mtu mashezi tu. Kwa hiyo mbowe amekutwa na vitu vya kufanya uharifu Ila hakufanya mbona amuachii. Mpumbavu mkubwa huyo
Vitu vyenyewe ni bastola na risasi 3, na laki 6! Bastola ya maajabu kama ile chupa aliokotaga bushman kwenye’God’s Must Be Crazy’, inafanya kila kitu! Inaangusha magogo hapa mpaka Iringa, inalipua vituo vya mafuta, inahamasisha maandamano na kadhalika na kadhalika! Ogopa, Mazaa kaizungumzia BBC, na Ziro kasema Mbowe siyo malaika! Pouwa, ile diary ni msaafu!
 
Binafsi najiuliza, kama jibu ni hilo, kwanini uamuzi huu hakuutoa siku ile ile alipokamatwa na diary?

Kwa maneno mengine, kama hoja ni shahidi kutumia au kutotumia hiyo diary, kwanini Jaji hakujikita kwenye hii hoja tangu siku ya kwanza shahidi huyo alipokutwa na diary mahakamani?

Angejikita kwenye hii hoja, si ingechukua dakika chache tu kutoa uamuzi kuhusu hili jambo?

Je,huu si ushahidi kwa Jaji ana upande kwenye hii kesi?
Kwenye kesi hii jaji hana uwezo wa kutoa hukumu palepale hadi kesho yake apate muda wa kumuuliza na jaji kiongozi na dpp.

Tuna safari ndefu sana watanzania.
 
Hali ni mbaya Sana KWENYE mahakama zetu
Ni kama hatuna mahakama, ila kuna vitengo fulani vya serikali vilivyojipachika majina kama mahakama, bunge, tume ya haki za binadamu n.k.

Kwa kweli Tanzania sasa imekuwa kama mzoga unaoweza kuchezewa na scavenger yeyote.
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Majaji wa kimkakati hao. Ni majaji wa kupangiwa kipi wafanye. Rejea hakimu Desdery Kamugisha aliyembania Lema pale Arusha ashalamba cheo,sijajua hakimu Mteite aliyemfunga Sugu Mbeya Kama kapanda cheo tayari na vipi yule hakimu wa Kisutu aliyewagangania kina Mbowe. Ibilisi joka kuuvalikuwa kiumbe wa ajabu kuwahi kutokea ktk uso wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom