Vioja vya Mahakama ya Tanzania

Vioja vya Mahakama ya Tanzania

Jaji ni mtu mashezi tu. Kwa hiyo mbowe amekutwa na vitu vya kufanya uharifu Ila hakufanya mbona amuachii. Mpumbavu mkubwa huyo
Shahidi analeta maganda ya risasi aliyotumia mwenyewe ,hahaha ngoja tujifundishe jinsi ya kupindisha sheria ' I like reverse computer engineering'
 
Wewe mwenyewe ni mdesa desa tu na copy na pest yako!
258410160_3264524610500868_4918402277972743680_n.jpg
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Kitu nilicho elewa hao wanashinikizwa na mfumo hivyo jaji,mawakili waserikali na wa utetezi wamekubaliana kuokoa profesheni zao ndiyo maana wanakwenda kujifungia na kujadiliana wapite vipi bila kudhalilisha fani zao. Wote wamekubalia wanatengeneza njia ya kushinda kwenye rufaa jaji awake.na kazi,mawakilo wa serikali wabaki kazini vifungu vinaandikwa wazi page ya 1 rfaa unashinda
 
Shahidi analeta maganda ya risasi aliyotumia mwenyewe ,hahaha ngoja tujifundishe jinsi ya kupindisha sheria ' I like reverse computer engineering'
Mkuu acha tu Kuna watu unashangaa walipataje nafasi Kama hiyo. Alafu ni lijinga fulani tu. Huyo mpuuzi Kuna kesi aliifuta mwanza kwa kukosea kuandikwa. Angalia anavyopindisha sheria. Sasa siku nyingine watuambie Ni makosa kukutwa na hivyo vitu mahakamani.
 
Majaji wa TISS wanatakiwa wawe majaji bora na wenye weledi na busara, wasiotiliwa shaka kuliko wengine wote.
Ukitaja TISS lazima uhusianishe na neno "intelligence".
Haieleweki kwa akili ya kawaida kwamba mara nyingi tuhuma zenye kukosa weledi, au za kipuuzi na hata za kihuni na kihalifu kwa uwazi kabisa kuhusishwa na TISS.
Zamani intelligence ilikuwa inachukua watu intelligent, siku hizi wanapeana vilaza wa uvccm ndio maana wanahusishwa na viti vya kipuuzi
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Tunaendelea kukusanya huu ushahidi wa namna Jaji anavyoibeba Jamhuri wazi wazi. Ushahidi huu tutaupeleka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Majaji wa TISS wanatakiwa wawe majaji bora na wenye weledi na busara, wasiotiliwa shaka kuliko wengine wote.
Ukitaja TISS lazima uhusianishe na neno "intelligence".
Haieleweki kwa akili ya kawaida kwamba mara nyingi tuhuma zenye kukosa weledi, au za kipuuzi na hata za kihuni na kihalifu kwa uwazi kabisa kuhusishwa na TISS.
Na Sabaya ni kundi gani
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Leo JaJi kakimbia kizimba cha mahakama,
Kila mtu anamshangaa JaJi wa mwendo kasi…
 
Katiba mpya ni salama kwa wote,
Basi tu ni vile MaCCM akili zao hazina akili.
Hata Sabaya ingemdhibiti na kumuacha salama kabisa.. [emoji1484]

View attachment 2015218
Nakubaliana nawe, tungekuwa na katiba nzuri, Sabaya asingekuwa jela. Maana unapokosea njia, inakurudisha kwenye usahihi, haiwezi kukuacha utokomee dimbwani kama ilivyotokea kwa Sabaya.
 
Ama kweli, majaji wa mwendo kasi.

Hivi wanasahau kuwa maamuzi ya kesi.na Lila pegi hutumika kwenye kesi mbeleni!.

mfano mzuri, nipale ktk kesi hii bado kuna kesi lejea za maamuzi katika kujenga hoja.
Mungu mkubwa,kuondoa jinamizi mfrani Hivi.
Sipati picha, angekuwepo mpaka sasa.wakubwa wa vitengo wangekuwa wameshaanzisha sinagogi kwa ajili ya kumwabudia KAYAFA.

Mungu fundi bhana, Kama nidhambi ntatubu tu hakuna namna aise. Hakuna asiye na dhambi. The
 
Back
Top Bottom