Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

-Kaibua hoja ambayo haiwezi na Hana mamlaka ya kuzungumzia kifo cha JKN!
Nani basi mwenye mamlaka ya kuzungumzia kifo cha Nyerere, Mkapa?

Hapa nyie mnakwepa cause of the problem..ni Mkapa angejikita kwenye kueneza sera haya yote yasingetokea.
Sasa nyie mnalaumu alipoangukia Mkapa badala ya kuangalia alipojikwaa na kumlaumu yeye ambaye ni chanzo.
 
Mkuu Sikonge,

Ukiamini haya maneno ya Vincent basi utaamini utumbo wowote wa wanasiasa.

Kwanza kafanya makosa makubwa kwenye timeline. Nyerere alifariki 1999 wakati prof. Mwakyusa alipewa uwaziri mwaka 2006 tena na rais Kikwete na wala sio rais Mkapa.

Mkapa kasema hamtambui Vincent kama mtoto wa JKN, ilitosha Vincent kujibu yeye JKN ni babake mdogo/mkubwa. Haya yote ni matokeo ya watu mbalimbali kujifanya walikuwa karibu na JKN wakati ukweli si ajabu ni tofauti sana.

Kwa kuingiza kifo cha Nyerere kwenye siasa za uchaguzi, tayari ameiingiza familia nzima ya Nyerere kwenye hili na hao wengine itabidi waseme.

Tusiwe wajinga kiasi hicho cha kuweza kuamini kila ugonjwa ni mkono wa mtu. Nilikuwa hapa London wakati Nyerere anafariki na siwezi kuamini nchi ina watu wajinga kiasi hicho cha hata kuanza kufikiria kwamba JKN aliuwa na njama.

Nilifikiri Mtikila ni kichaa pekee, kumbe tuna hata wabunge ambao ni wajinga kiasi hiki? Hizi hisia za mkono wa mtu kwenye kila jambo zitatupeleka pabaya. Tutajenga taifa la waabudu Kikombe cha Babu na mwisho wake ni kuangamia maana hatutafanya tahadhari yoyote kwenye mambo yanayotusumbua hapa duniani.

Huyo Vincent inaelekea hata knowledge ya cancer hana.

Mtanzania,

Nilikuwa nakuheshimu sana na kukuona ni mtu mwenye mawazo chanya, na ukiongezea na exposure uliyonayo lakini comments zako juu ya majibu ya Vincent Nyerere kwa mkapa zimekuvua nguo, kumbe na wewe ni sawa na magamba wengine tunaokula nao vumbi hapa mitaa ya bongo.

Kwa maneno haya uliyoandika hapa sina shaka kwamba wanaccm wenzako hawakukosea kukunyima kura za kuwawakilisha katika kinyang'anyiro cha ubunge katika uchaguzi mkuu uliopita. Kukaa kwako London wakati mwalimu anafariki haimaanishi kwamba ndio unaweza kuwa na facts za kifo chake, kwani wewe ni mwanafamilia ya mwalimu hadi madaktari wakueleze ugonjwa wa mwalimu? Au wewe ndie ulikuwa mlinzi wake hadi ujue kilichomuua mwalimu. Kwamba kufariki kwa cancer ndio kitu gani, hujui kwamba cancer inaweza kutengenezwa na ikapandikizwa kwa mtu na akafa?

Vincent Nyerere anakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua kilichomuua mwalimu kuliko wewe ama mtu mwingine aliyekuwa anaishi london, maana huko tunakoelekea ataibuka mtu mwingine anayeishi London na kusema hata yeye anafahamu sababu za kifo cha mwalimu, kama hujui kwamba kuna vifo vinavyotengenezwa basi hilo ni tatizo lako mwenyewe na halikupi uwezo wa kuwaita wenzako wajinga, na kwa kuamua kuwaita wenzako wajinga kwakuwa wamezungumza ukweli ambao haupendi kuusikia bila shaka wewe ndio utakuwa mjinga zaidi yao!!

Haishangazi kuona Dr. Mwakyembe anavyougulia hadi ananyonyoka ngozi/nywele lakini bado kuna watu kwa sababu ya agenda zenu za kisiasa mnakuja hapa na mawazo ya ajabu ajabu. Kama Mkapa alikuwa na akili zinazomtosha, au kama na magamba wenzake mlikuwa na akili zinazowatosha ni kwanini mlimshauri amshambulie Vincent Nyerere? je mlidhani kwa kufanya hivyo ndiyo mtajipatia kura za wana arumeru ama ndio lilikuwa suluhisho la matatizo ya wanaarumeru? sasa mkapa amepata vidonge vyake ndipo nyie mnaojiona "ma political consulatants" mnajitokeza na kushauri Vincent namna ambavyo angepaswa kumjibu mkapa, what a shit!!

Taarifa zilizopo ni kwamba katika kuugua kwa mwalimu ilifika mahala Daktari wake ambaye ni Prof. Mwakyusa akazuiwa kumuona mwalimu, na hilo ni suala la familia ya mwalimu Nyerere wenyewe ndio wanalifahamu kuliko mtu mwengine yeyote, hata kama atakuja Makongoro ama Andrew kukanusha habari ya kifo cha mwalimu Nyerere kama ilivyosemwa na Vincent, hiyo haifuti ukweli wa kifo hicho kwamba bado kimezungukwa na utata mkubwa sana na ndio maana Vincent akamtaka mkapa ajitokeze hadharani na awaeleze kinagaubaga watanzania kilichopelekea kifo cha mwalimu, aliyekwenda London just for check up lakini akarudi akiwa marehemu!!
 
Hawa viongozi mafisadi waache kutumia vibaya upole wa watanzania,wakadhani
hawajui kinachoendelea kwenye hii nchi,watanzania wanajua kuhusu kifo cha
JKN,wanajua kuhusu Balali.Mtu kama Mkapa ni heri apumzike maana sasa anatafuta
kudhalilishwa tu.
 
ni issue ila ina milango mipana kwa CCM kulianzisha km tifu la kuhamisha issue ya uchaguzi, mengine.Haya namuaminia Mtikila shujaa asiyethaminiwa..Nayo kapasua mabomu, kaanzisha kesi kibao ila ktk masuala hayo amepasi.Sidhani tukimpa grade mtikila atakosa 70% ktk matifu na sheria.Na akianzisha huwa nakuwa pekee huku tukimshangaa. So k m dogo ataweza game za Mtikila basi si mbaya akazicheza na pengine tutapata mabadiliko.
 
Mtanzania,

Nilikuwa nakuheshimu sana na kukuona ni mtu mwenye mawazo chanya, na ukiongezea na exposure uliyonayo lakini comments zako juu ya majibu ya Vincent Nyerere kwa mkapa zimekuvua nguo, kumbe na wewe ni sawa na magamba wengine tunaokula nao vumbi hapa mitaa ya bongo.

Kwa maneno haya uliyoandika hapa sina shaka kwamba wanaccm wenzako hawakukosea kukunyima kura za kuwawakilisha katika kinyang'anyiro cha ubunge katika uchaguzi mkuu uliopita. Kukaa kwako London wakati mwalimu anafariki haimaanishi kwamba ndio unaweza kuwa na facts za kifo chake, kwani wewe ni mwanafamilia ya mwalimu hadi madaktari wakueleze ugonjwa wa mwalimu? Au wewe ndie ulikuwa mlinzi wake hadi ujue kilichomuua mwalimu. Kwamba kufariki kwa cancer ndio kitu gani, hujui kwamba cancer inaweza kutengenezwa na ikapandikizwa kwa mtu na akafa?

Vincent Nyerere anakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua kilichomuua mwalimu kuliko wewe ama mtu mwingine aliyekuwa anaishi london, maana huko tunakoelekea ataibuka mtu mwingine anayeishi London na kusema hata yeye anafahamu sababu za kifo cha mwalimu, kama hujui kwamba kuna vifo vinavyotengenezwa basi hilo ni tatizo lako mwenyewe na halikupi uwezo wa kuwaita wenzako wajinga, na kwa kuamua kuwaita wenzako wajinga kwakuwa wamezungumza ukweli ambao haupendi kuusikia bila shaka wewe ndio utakuwa mjinga zaidi yao!!

Haishangazi kuona Dr. Mwakyembe anavyougulia hadi ananyonyoka ngozi/nywele lakini bado kuna watu kwa sababu ya agenda zenu za kisiasa mnakuja hapa na mawazo ya ajabu ajabu. Kama Mkapa alikuwa na akili zinazomtosha, au kama na magamba wenzake mlikuwa na akili zinazowatosha ni kwanini mlimshauri amshambulie Vincent Nyerere? je mlidhani kwa kufanya hivyo ndiyo mtajipatia kura za wana arumeru ama ndio lilikuwa suluhisho la matatizo ya wanaarumeru? sasa mkapa amepata vidonge vyake ndipo nyie mnaojiona "ma political consulatants" mnajitokeza na kushauri Vincent namna ambavyo angepaswa kumjibu mkapa, what a shit!!

Taarifa zilizopo ni kwamba katika kuugua kwa mwalimu ilifika mahala Daktari wake ambaye ni Prof. Mwakyusa akazuiwa kumuona mwalimu, na hilo ni suala la familia ya mwalimu Nyerere wenyewe ndio wanalifahamu kuliko mtu mwengine yeyote, hata kama atakuja Makongoro ama Andrew kukanusha habari ya kifo cha mwalimu Nyerere kama ilivyosemwa na Vincent, hiyo haifuti ukweli wa kifo hicho kwamba bado kimezungukwa na utata mkubwa sana na ndio maana Vincent akamtaka mkapa ajitokeze hadharani na awaeleze kinagaubaga watanzania kilichopelekea kifo cha mwalimu, aliyekwenda London just for check up lakini akarudi akiwa marehemu!!

Mkuu wangu umemaliza kila kitu.Sina cha kuongeza
 
wanajf bwana!akili zenu.............!kwahyo mkapa ndo alimuua nyereqe?aliwaonga waingereza madaktar kumua mwl!?wanajf tutumie busara jaman,kwl mkapa amuue nyerere?mwl alkuwa baba wa taifa,kwl daktar wake ndo alipaswa kuripoti ugonjwa wake kwl ?mkapa kama binadam kwl mumuzungumzie kwnye hayo mambo ya ufisadi lkn ktk ili la khcka na kfo cha mwl HAPANA,ALIFANYA ALICHOWEZA KUOKOA AFYA YA MWL,tuwe makni jaman
 
Mkosa hekima na adabu utamjua tu,labda yeye ndie asiyemtambua V.N,lakini wanafamilia wanamtambua,na hata Makongoro alishawahi kuliongelea ilo,na kuthibitisha ilo kuna kipindi V.N alikua akiishi na familia ya Julius!kwanza hoja aliyeyoileta eti V.N ni mtoto wa nje ni hoja ya kitoto sana ambayo imeonyesha wazi upeo wa mleta hiyo hoja ni mdogo sana!nini maana ya mtoto wa nje kwake yeye?
Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka mwaka 1995,Mkapa akiwa amebanwa mbavu na Mrema wakati huo yupo NCCR Mageuzi joto la kampeni lilipowazidia CCM walianza kumkashifu Makongoro Nyerere kwamba eti siyo mtoto wa Mwl. Nyerere. Kwa hiyo msishangae hizi siasa chafu wamezoea!
 
Mzee Mkapa, achana na vijana hawa huwawezi!! Watakuvua nguo mbele ya Mama mkwe!!
Si unajua haka ka ishu kalivyo? Kumbuka mara yakwanza ulivoenda kumshauri Mwalimu majibu aliyokupa, ukaona haitoshi ukamualika Magogoni Mzee akagoma kuja ikabidi uagize watu ili kumshawishi? Mwalimu akahoji "afya yangu Rais Mkapa inamnyima nini?" Na majibu mengine ambayo watumwa wako waliona aibu kukueleza!! Baada ya hapo....si uanakumbuka lakini?

I 'll be back.

Du mkaa hapa kaumbuka,kwakua hilo swala limeibuliwa na mwanafamilia ya nyerere ni wazi lina ukweli ndani yake,nyerere kaondoka mzima kwenda UK hakuondoka nyonde nyonde lkn balaaa,aisee arifu malizia bwana.
 
Hizi ni tuhuma nzito sana kwa B.M., Ila nadhani "TISS" ndio wanafaa kutoa ufafanuzi juu ya hili. Na wote kwa pamoja B.M na "TISS" kama hawana majibu ya maana wanyamaze kabisa vinginevyo watahatarisha amani ya nchi.
 
Mwita Maranya msamehe bure Mtanzania katoka kubeba box kachoka na kurukia page ya mwisho.
 
Mkuu Sikonge,

Ukiamini haya maneno ya Vincent basi utaamini utumbo wowote wa wanasiasa.

Kwanza kafanya makosa makubwa kwenye timeline. Nyerere alifariki 1999 wakati prof. Mwakyusa alipewa uwaziri mwaka 2006 tena na rais Kikwete na wala sio rais Mkapa.

Mkapa kasema hamtambui Vincent kama mtoto wa JKN, ilitosha Vincent kujibu yeye JKN ni babake mdogo/mkubwa. Haya yote ni matokeo ya watu mbalimbali kujifanya walikuwa karibu na JKN wakati ukweli si ajabu ni tofauti sana.

Kwa kuingiza kifo cha Nyerere kwenye siasa za uchaguzi, tayari ameiingiza familia nzima ya Nyerere kwenye hili na hao wengine itabidi waseme.

Tusiwe wajinga kiasi hicho cha kuweza kuamini kila ugonjwa ni mkono wa mtu. Nilikuwa hapa London wakati Nyerere anafariki na siwezi kuamini nchi ina watu wajinga kiasi hicho cha hata kuanza kufikiria kwamba JKN aliuwa na njama.

Nilifikiri Mtikila ni kichaa pekee, kumbe tuna hata wabunge ambao ni wajinga kiasi hiki? Hizi hisia za mkono wa mtu kwenye kila jambo zitatupeleka pabaya. Tutajenga taifa la waabudu Kikombe cha Babu na mwisho wake ni kuangamia maana hatutafanya tahadhari yoyote kwenye mambo yanayotusumbua hapa duniani.

Huyo Vincent inaelekea hata knowledge ya cancer hana.

Nchi ina watu wajinga, kweli? Wananchi na viongozi wao wajinga, kweli? Isipokuwa wewe? Haya bwana sisi wajinga wewe ndiye mwenye busara!
 
Mtanzania,

Nilikuwa nakuheshimu sana na kukuona ni mtu mwenye mawazo chanya, na ukiongezea na exposure uliyonayo lakini comments zako juu ya majibu ya Vincent Nyerere kwa mkapa zimekuvua nguo, kumbe na wewe ni sawa na magamba wengine tunaokula nao vumbi hapa mitaa ya bongo.

Kwa maneno haya uliyoandika hapa sina shaka kwamba wanaccm wenzako hawakukosea kukunyima kura za kuwawakilisha katika kinyang'anyiro cha ubunge katika uchaguzi mkuu uliopita. Kukaa kwako London wakati mwalimu anafariki haimaanishi kwamba ndio unaweza kuwa na facts za kifo chake, kwani wewe ni mwanafamilia ya mwalimu hadi madaktari wakueleze ugonjwa wa mwalimu? Au wewe ndie ulikuwa mlinzi wake hadi ujue kilichomuua mwalimu. Kwamba kufariki kwa cancer ndio kitu gani, hujui kwamba cancer inaweza kutengenezwa na ikapandikizwa kwa mtu na akafa?

Vincent Nyerere anakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua kilichomuua mwalimu kuliko wewe ama mtu mwingine aliyekuwa anaishi london, maana huko tunakoelekea ataibuka mtu mwingine anayeishi London na kusema hata yeye anafahamu sababu za kifo cha mwalimu, kama hujui kwamba kuna vifo vinavyotengenezwa basi hilo ni tatizo lako mwenyewe na halikupi uwezo wa kuwaita wenzako wajinga, na kwa kuamua kuwaita wenzako wajinga kwakuwa wamezungumza ukweli ambao haupendi kuusikia bila shaka wewe ndio utakuwa mjinga zaidi yao!!

Haishangazi kuona Dr. Mwakyembe anavyougulia hadi ananyonyoka ngozi/nywele lakini bado kuna watu kwa sababu ya agenda zenu za kisiasa mnakuja hapa na mawazo ya ajabu ajabu. Kama Mkapa alikuwa na akili zinazomtosha, au kama na magamba wenzake mlikuwa na akili zinazowatosha ni kwanini mlimshauri amshambulie Vincent Nyerere? je mlidhani kwa kufanya hivyo ndiyo mtajipatia kura za wana arumeru ama ndio lilikuwa suluhisho la matatizo ya wanaarumeru? sasa mkapa amepata vidonge vyake ndipo nyie mnaojiona "ma political consulatants" mnajitokeza na kushauri Vincent namna ambavyo angepaswa kumjibu mkapa, what a shit!!

Taarifa zilizopo ni kwamba katika kuugua kwa mwalimu ilifika mahala Daktari wake ambaye ni Prof. Mwakyusa akazuiwa kumuona mwalimu, na hilo ni suala la familia ya mwalimu Nyerere wenyewe ndio wanalifahamu kuliko mtu mwengine yeyote, hata kama atakuja Makongoro ama Andrew kukanusha habari ya kifo cha mwalimu Nyerere kama ilivyosemwa na Vincent, hiyo haifuti ukweli wa kifo hicho kwamba bado kimezungukwa na utata mkubwa sana na ndio maana Vincent akamtaka mkapa ajitokeze hadharani na awaeleze kinagaubaga watanzania kilichopelekea kifo cha mwalimu, aliyekwenda London just for check up lakini akarudi akiwa marehemu!!

Mkuu Mwita,
Wala huna haja ya kuniheshimu mimi kwasababu hata hunifahamu. Una uhuru wa kuheshimu au kupuza mawazo yangu utakavyo.

Sitaingia personal, kwasababu haisaidii mjadala huu. Ni kweli Kyela hawakunipa kura za kutosha. Nililikubali hali na kuwatakia heri walioshinda. Nilifikiri hiyo ndio demokrasi ambayo tunaiongelea hapa siku zote? Kumbe kwasababu watanzania walimnyima Dr. Slaa urais mwaka 2010 basi hafai hata kusikiliza mawazo yake? Kumbe kwasababu watanzania walimnyima JK mwaka 1995 basi hakufaa kuchaguliwa 2005? Kumbe wote walioshindwa 2010 hapa basi mawazo yao ni ya kupuuzwa? Well, yapuuze ukitaka maana ni uhuru wako.

Narudia tena Vincent kusema kifo cha Nyerere ni mkono wa mtu ni ujinga mkubwa sana. No wonder taifa zima linashinda kwa babu wa Loliondo badala ya kushughulikia matatizo ya magonjwa yetu hospitalini.

Hakuna sehemu yeyote niliposema mimi najua ugonjwa wa mwalimu, nilikuambia nilikuwepo hapa London wakati mwalimu anafariki na pia kwa kukaa kwangu hapa ninazifahamu sheria za hospitali inapokuja mgonjwa ambaye ugonjwa wake una utata. Hiyo ndio ilikuwa maana yangu.

Ila tu mkuu acha personal attacks, hazikusaidii wewe, hazilisaidii taifa la Tanzania. Mimi sio mpenzi wa rais Mkapa na maandiko yangu mengi huko nyuma yanaonyesha hivyo. Lakini pia sio mpenzi wa hizi gutter politics na ndio maana naona kumtanguliza mbele Mkapa kwenye politics za CCM ni makosa. Siasa za maji taka hata siku moja hazijengi nchi bila kujali zinafanywa na Mkapa au Vincent.

LAKINI ni mpinzani mkubwa wa haya mambo ya kuweka mkono wa mtu hata kwenye vitu ambavyo viko obvious. haya mambo yako mpaka kwenye familia, nako tunakemea hivyo hivyo. Kule kwetu mpaka watu wanauana kwa kusingiziana kurogana wakati ukweli ni magonjwa tu.

Sasa inapofikia mbunge mzima anaingia kwenye politics za namna hii unataka tukae kimya? No, tutaandika mawazo yetu tena kwa uhuru mtupu hata kama watu wengine mtayageuza.
 
Sijui wangapi mnafahamu, lakini Mkapa tangu akiwa rais alikuwa na mazoea ya kunywa pombe kabla hajahutubia. Hii haimaanishi kila hotuba aliyoitoa zilikuwa zimeshampanda kichwani, lakini hii ya juzi upo uwezekano kwamba wakati wa chakula cha mchana alijitundika vitu vikali.
 
hee makubwa haya.mkapa anahusiaka na kupotea kwa mwalimu basi tanzania ni zaidi ya tuijuavo
mwenye evidence zaidi hebu atujuze
 
Mtanzania,

Nilikuwa nakuheshimu sana na kukuona ni mtu mwenye mawazo chanya, na ukiongezea na exposure uliyonayo lakini comments zako juu ya majibu ya Vincent Nyerere kwa mkapa zimekuvua nguo, kumbe na wewe ni sawa na magamba wengine tunaokula nao vumbi hapa mitaa ya bongo.

Kwa maneno haya uliyoandika hapa sina shaka kwamba wanaccm wenzako hawakukosea kukunyima kura za kuwawakilisha katika kinyang'anyiro cha ubunge katika uchaguzi mkuu uliopita. Kukaa kwako London wakati mwalimu anafariki haimaanishi kwamba ndio unaweza kuwa na facts za kifo chake, kwani wewe ni mwanafamilia ya mwalimu hadi madaktari wakueleze ugonjwa wa mwalimu? Au wewe ndie ulikuwa mlinzi wake hadi ujue kilichomuua mwalimu. Kwamba kufariki kwa cancer ndio kitu gani, hujui kwamba cancer inaweza kutengenezwa na ikapandikizwa kwa mtu na akafa?

Vincent Nyerere anakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua kilichomuua mwalimu kuliko wewe ama mtu mwingine aliyekuwa anaishi london, maana huko tunakoelekea ataibuka mtu mwingine anayeishi London na kusema hata yeye anafahamu sababu za kifo cha mwalimu, kama hujui kwamba kuna vifo vinavyotengenezwa basi hilo ni tatizo lako mwenyewe na halikupi uwezo wa kuwaita wenzako wajinga, na kwa kuamua kuwaita wenzako wajinga kwakuwa wamezungumza ukweli ambao haupendi kuusikia bila shaka wewe ndio utakuwa mjinga zaidi yao!!

Haishangazi kuona Dr. Mwakyembe anavyougulia hadi ananyonyoka ngozi/nywele lakini bado kuna watu kwa sababu ya agenda zenu za kisiasa mnakuja hapa na mawazo ya ajabu ajabu. Kama Mkapa alikuwa na akili zinazomtosha, au kama na magamba wenzake mlikuwa na akili zinazowatosha ni kwanini mlimshauri amshambulie Vincent Nyerere? je mlidhani kwa kufanya hivyo ndiyo mtajipatia kura za wana arumeru ama ndio lilikuwa suluhisho la matatizo ya wanaarumeru? sasa mkapa amepata vidonge vyake ndipo nyie mnaojiona "ma political consulatants" mnajitokeza na kushauri Vincent namna ambavyo angepaswa kumjibu mkapa, what a shit!!

Taarifa zilizopo ni kwamba katika kuugua kwa mwalimu ilifika mahala Daktari wake ambaye ni Prof. Mwakyusa akazuiwa kumuona mwalimu, na hilo ni suala la familia ya mwalimu Nyerere wenyewe ndio wanalifahamu kuliko mtu mwengine yeyote, hata kama atakuja Makongoro ama Andrew kukanusha habari ya kifo cha mwalimu Nyerere kama ilivyosemwa na Vincent, hiyo haifuti ukweli wa kifo hicho kwamba bado kimezungukwa na utata mkubwa sana na ndio maana Vincent akamtaka mkapa ajitokeze hadharani na awaeleze kinagaubaga watanzania kilichopelekea kifo cha mwalimu, aliyekwenda London just for check up lakini akarudi akiwa marehemu!!

MKUU UMEMALIZA SINA CHA KUONGEZa
 
Mkuu Mwita,

Thanks for this useful post, kuna waosha vinywa wa magamba humu hawawezi kufikiri nje ya box na wanatishia ati familia ya mwalimu inaweza kutumiwa na magamba kuendeleza propaganda za Magamba... hiyo watangoja hadi kiama.

Kama mnadhani familia ya JKN inaweza kutumika kipropaganda subirini, lakini kumbukeni Makongongoro aliwaambia nini wandishi wa habari wakati maadhimisho ya miaka 35 ya magamba pale Mugumu, Serengeti. Madaraka pia si mjinga kiasi hicho cha kutumiwa ktk spinning za magamba, this great family always keep their profile low...

Sasa hawa pimbi wanaotoa mapovu hapa kisa aliyesema ni VN toka CDM ni ujinga wa kupindukia, kama kweli leo hii ndio mnaona madhara ya siasa za majitaka jueni tu hamuwezi kuhepa vikombe vijavyo. Na kuishi London haikufanyi kujua hali ya mwalimu kwa sababu wewe si tu mwanafamilia bali yawezekana ni kati ya wale mabingwa wa kuosha vinywa ili ukumbukwe katika falme na watawala.

Nidhamu za woga za kuogopa kuwaeleza ukweli hawa waroho wa mali na madaraka sasa zifike kikomo. The times of taking a bull by its horns are over, call a spade a spade...

Sheria za uingereza na interests zao katika mataifa ya tatu unaweza kututishia hapa kuwa hao nguruwe wa Cameroun hawawezi kuzivunja? Mtanzania et al punguzeni ujinga uliowajaa na tamaa za mali na madaraka...
Mtanzania,

Nilikuwa nakuheshimu sana na kukuona ni mtu mwenye mawazo chanya, na ukiongezea na exposure uliyonayo lakini comments zako juu ya majibu ya Vincent Nyerere kwa mkapa zimekuvua nguo, kumbe na wewe ni sawa na magamba wengine tunaokula nao vumbi hapa mitaa ya bongo.

Kwa maneno haya uliyoandika hapa sina shaka kwamba wanaccm wenzako hawakukosea kukunyima kura za kuwawakilisha katika kinyang'anyiro cha ubunge katika uchaguzi mkuu uliopita. Kukaa kwako London wakati mwalimu anafariki haimaanishi kwamba ndio unaweza kuwa na facts za kifo chake, kwani wewe ni mwanafamilia ya mwalimu hadi madaktari wakueleze ugonjwa wa mwalimu? Au wewe ndie ulikuwa mlinzi wake hadi ujue kilichomuua mwalimu. Kwamba kufariki kwa cancer ndio kitu gani, hujui kwamba cancer inaweza kutengenezwa na ikapandikizwa kwa mtu na akafa?

Vincent Nyerere anakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua kilichomuua mwalimu kuliko wewe ama mtu mwingine aliyekuwa anaishi london, maana huko tunakoelekea ataibuka mtu mwingine anayeishi London na kusema hata yeye anafahamu sababu za kifo cha mwalimu, kama hujui kwamba kuna vifo vinavyotengenezwa basi hilo ni tatizo lako mwenyewe na halikupi uwezo wa kuwaita wenzako wajinga, na kwa kuamua kuwaita wenzako wajinga kwakuwa wamezungumza ukweli ambao haupendi kuusikia bila shaka wewe ndio utakuwa mjinga zaidi yao!!

Haishangazi kuona Dr. Mwakyembe anavyougulia hadi ananyonyoka ngozi/nywele lakini bado kuna watu kwa sababu ya agenda zenu za kisiasa mnakuja hapa na mawazo ya ajabu ajabu. Kama Mkapa alikuwa na akili zinazomtosha, au kama na magamba wenzake mlikuwa na akili zinazowatosha ni kwanini mlimshauri amshambulie Vincent Nyerere? je mlidhani kwa kufanya hivyo ndiyo mtajipatia kura za wana arumeru ama ndio lilikuwa suluhisho la matatizo ya wanaarumeru? sasa mkapa amepata vidonge vyake ndipo nyie mnaojiona "ma political consulatants" mnajitokeza na kushauri Vincent namna ambavyo angepaswa kumjibu mkapa, what a shit!!

Taarifa zilizopo ni kwamba katika kuugua kwa mwalimu ilifika mahala Daktari wake ambaye ni Prof. Mwakyusa akazuiwa kumuona mwalimu, na hilo ni suala la familia ya mwalimu Nyerere wenyewe ndio wanalifahamu kuliko mtu mwengine yeyote, hata kama atakuja Makongoro ama Andrew kukanusha habari ya kifo cha mwalimu Nyerere kama ilivyosemwa na Vincent, hiyo haifuti ukweli wa kifo hicho kwamba bado kimezungukwa na utata mkubwa sana na ndio maana Vincent akamtaka mkapa ajitokeze hadharani na awaeleze kinagaubaga watanzania kilichopelekea kifo cha mwalimu, aliyekwenda London just for check up lakini akarudi akiwa marehemu!!
 
Vicent Nyerere = Steve Nyerere

wote wanatumia jina la nyerere kujipatia Rizki !!
kambarage Nyerere (RIP) ni Bin adamu alitaka asife ...??! Nadhani aende akaulize nini maana ya leukemia ..? na inachukuwa muda gani kumuondoa mtu duniani ... naona anaropoka vitu asivyovijua!
​
 
Back
Top Bottom