Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,514
He deserves, Mkapa ana kiburi sana, mimi nafikiri badala ya kumpiga stop Vincent mshaurini Mkapa akapumzike aache vijana kina Mwigulu, Nape, Vicent, Heche waicheze ngoma ya siasa, yeye akacheze na vitukuu asije kufia kwenye vibweta, kwani Mzee Mwinyi sio mtu mbona hana tatizo anajilia bata tu na wajukuu zake.Keil,
Hizi habari zimenipita sana mwenzio kushoto. Nafikiri kwa sababu ya kukaa sana Sikonge tangu nilipomaliza JKT. Mengi yanayotokea Dar kwa kweli ni kusoma hapa JF, kwenye mitandao au nikiongea na Mtanzania.
Hii habari sijawahi kuisikia kabisa na kwa kweli imenishangaza mno. Nakumbuka kuangalia mazishi ya Nyerere kwenye BBC na CNN na kumuona hadi Mama Clinton akija Tanzania. Sikutegemea kuwa Mkapa atakuwa mkatili namna hiyo na mtu aliyeweka pesa mbele hadi kumtanguliza Mwalimu wake na mtu aliyemuweka madarakani.
Nakubaliana na wewe kuwa Dr. Slaa au Mbowe au Zitto, wampige STOP huyu V. Nyerere na hii habari asiiongelee tena. Kama sumu kashatema na mengine acha yaanze kushuka kwa gravitation force.
Ngoja nilale na asubuhi ntaamkia hapa kuifuatilia zaidi kama haitafutwa.
[Lali/dilagi mpola kwenuko ]
Hizi ni siasa kama mtu akikuanza mmalize usipofanya hivyo atakumaliza wewe. Igunga CCM walitumia mbinu chafu kuliko, mtu anamwagiwa tindikali ili atumike kutafuta sympathy, makada wa CDM waliuwawa Chadema walinyamaza sasa wameanza kujibu mapigo mnasema apigwe stop I can't believe. CCM hawa si wa kuhurumia ukipata nafasi gonga kichwa nyoka huwa hafi kwa kumpiga mkia.