AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,074
- 3,643
Mzigo wa sabuni za jamaa ushaanza kuwa adimu sokoni (ukitaka in bulking)
Mzigo wa sabuni za jamaa ushaanza kuwa adimu sokoni (ukitaka in bulking)
Alikuwa anaingiza bidhaa nyingi sana. Haswa consumer goods. Mfano pia ndo agent wa sukari. Hata pale TPC ni yeye, na juzi juzi wamemuongeza muhindi...Lazima bidhaa zianze kuadimika!Mzigo wa sabuni za jamaa ushaanza kuwa adimu sokoni (ukitaka in bulking)
tumeangalia upande mmoja wa shilingi...mara nyingi hawa matajiri wakubwa hasa waliojitokeza awamu zilizopita walitajirika kiu-kanjanja....
Mara ya mramba Mara ya shirima.wa precision air... Ninachojua huyu mzee alianzia kwenye ujambazi front line Kuna kipindi alivamiwa na kina mangeu na wadogo za Alex masawe kisa huko Nyuma waliiba Kisha yy. Akawa double cross wenzie walimvamia saa mbili asubuhi baada ya kumwambia awape nyumba wamuache [emoji23][emoji23][emoji23] ila wale jamaa walikamatwa na mavitu kibao ya wizi maana aliwataja .. trust bureau ndo iliyovamiwa
Jiwe anaogopa kila kitu amefeli kila kitu Sasa anataka kukusanya Kodi Hadi makanisa I[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huenda ikawa mambo ya kodi aisee.
Maana hata kama ni conspiracy kumhusu jiwe sidhani huyo Laswai anatumia hata email!!
Hivi Bureau De Change yake pale Moshi ndio ile miaka ya 90's alikua anasimama Rasta mmoja hivi nje watu tukadhani ni yake?
Nadhani ni njia ya Double Road mbele ya Panjwani kanjia ka kupanda kulia kama unaelekea msikiti wa Riadha?
Huyu Laswai mwenyewe si alikuaga na maduka ya jumla ya sukari,mafuta,etc?
Ila mkuu kwa biashara hii ya commodities sidhani kama jamaa ni high powered mpaka kumtisha jiwe!
Hata hoteli,asset kama asset itakua owned na bank,yeye anazungusha operations,na sales sio bakora za hatari..
Ila sijui bwana,mambo mengi,kila mtu ana michongo yake,huenda kamgusa jiwe pabaya..!
Palace ya dar ama wapiKibo palace na Palace hotel ni hotel mbili tofauti mkuu! Kibo palace ni yake ila palace hotel sidhani!
Mzee meko anajali kina daudi tu[emoji23][emoji23]labda na shilawaduSasa hapo ukimdidimiza embu fikiria wanyonge wangapi watapoteza ajira!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah biashara yenyewe utakuta unauza mifuko soko mjingaNi lazima wafanyabiashara ifikie kipindi tubadilike na kuacha kufanya biashara kimezoea.tufuate sheria za nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe ana hila km daudi ukikataa kumpa pesa anakuletea mizengee cc[emoji243]Nakuelewa mkuu....
Huenda ana hela sana,ila sio za kumtisha mwenye nchi yake!
Kuna kitu kakifanya jiwe hajakipenda labda!
Ila sio kwamba ana mbumba za kumtisha jiwe!
Alafu anajinasibu serikali ya wanyonge[emoji17]Mzee meko anajali kina daudi tu[emoji23][emoji23]labda na shilawadu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna KIBO PALACE na PALACE, Mdau kauliza kama hizo mbili zote ni zake? jibu ni yes, zote mbili anaendesha yeye.Yes, Kibo Palace ni yake.
No ya Arusha mkuu!