Kuna tajiri au mwanasiasa anashinda bila ujanjaujanja??tumeangalia upande mmoja wa shilingi...mara nyingi hawa matajiri wakubwa hasa waliojitokeza awamu zilizopita walitajirika kiu-kanjanja....
Kuna tajiri au mwanasiasa anashinda bila ujanjaujanja??
Tupe data za Pombe alivyoshinda uchaguzi, jinsi tulivyonunua ndege zote kama siyo ujanjaujanja.
Wachaga wanaogopeka mno wanawatafuta kwa hudi na uvumba lkn Mungu ni mkubwa
Ni wivu wa kijinga mkuuKuna uonevu Mkubwa sana kwa watu. Ndio hivyo tena Vincent wameshamrudisha nyuma.
Sasa kama tayari wameshakuwa matajiri, ulitarajia utajiri wao ungeanzia awamu zipi kama sio zilizopita?! Au ulitaka wawe wale wa wenzi za Ukoloni?! Au ulitaka wawe wale wa enzi za Nyerere ambazo kuwa mfanyabiashara ilionekana ni haramu na ubepari?!tumeangalia upande mmoja wa shilingi...mara nyingi hawa matajiri wakubwa hasa waliojitokeza awamu zilizopita walitajirika kiu-kanjanja....
Mengi haguswi kwa sababu kutatokea tetemeko la ardhi litakalofunika ardhi juu chiniHahaha sio CHADEMA tena?! Mi nadhani wite walio support chadema ILANI inataka waadhibiwe, huu ni utekelezaji.
Mbona Mengi haguswi na anapewa mashavu ti au yeye ni mkurya?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichomponza huyu Meku ni picha aliyopiga na Lowasa, membe na kikwete wakinywa mvinyo wakati wa msiba wa baba mkwe wa kikwete (ni mawazo yangu)
Wewe umenyang'anywa nini?Lissu akiwa marekani alisema kwa Tanzania sasa hv kuna mtindo unaendelea wa kuwanyang'anya wafanyabiashara Mali zao, wanashurutishwa watoe hela, wasipotoa wanapewa Kesi Ya uhujumu uchumi..
Kwa mujibu wa Tundu lissu, je na hili litakuwa Ni mojawapo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijanyang'anywa chochote mkuu.. Kwa maana kwenye nchi yangu mm Ni Yule Ni Yule mwenye serikali ninayeitwa WA KUNYONGWA...... kwa maana ya MNYONGEWewe umenyang'anywa nini?
Duh!aise kweli kitu kali sana, watu wanafikiria bwana.View attachment 1032887
Pako fresh Kibo Palace.
Msiba ulikuwa wapi? Ana dereva wake mmoja mnene, jamaa yeye mwembamba tu, basi wakisimama mahali, watu wanamfuata dereva wakidhani yeye ndo bosi kisa unene!😀
Ila ni kweli hii zamu ya wachagga kuishi kama mashetani!
Very true!Yeah Jamaa ni mwembamba hiyo suti ndio inamfanya anaonekana kama ana mwili hivi, Msiba ulikua Rombo Tarakea. Ila Jamaa alianzaga biashara zamani sana Tangu nipo shule ya msingi miaka hiyo ya 90 Jamaa alikua kwenye reli tayari,
Kawabeba watu wengi sana Kibiashara na wametajirika kupitia yeye.
Kazi si kidogo mkuu!! Hapo kesi ya money laundering ipo mezani!Kwa taarifa nilizonazo, Leo wameenda nyumbani kwa Vincent Laswai kule shanty town, pia mtoto wake aliyeko Arusha amekamatwa!
Kaazi kweli kweli!
Cc Capt Tamar , Frank Wanjiru ,luambo makiadi , mrangi Jon Stephano