Mkuu labda huna ufahamu Wa haya mambo...ukiwabana kina laswai ndio una kuwa umewataiti na kina hao wote uliowataja!!Nchi hii ya hovyo sana,
Kwenye korosho,wameburunda,tumetoka kapa,na mbwembwe zote za jeshi,sifa za kisiasa,hakuna kitu,Tsh,inazidi kuporomoka.
Badala ya kukamata mifisadi,Ana Tibaijuka,Chenge,Ngereja,na majizi yote yalioyoingia mikataba ya gesi,wanasumbua wafanyabiashara Wazalendo,wanaotoa ajira kibao kwa wa TZ.
Wao watuambie wanatoa ajira kwa nani,zaidi ya kuficha pesa yote nje ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni noma sana! Let’s wait and see! Lazima Itakuwa hivyo ndo maana wamevamia hadi nyumbani kwake! Na pia kumkamata mtoto wake! Enzi za Sokoine uhujumu uchumi naskia ndivyo walifanya! Lakini naona serikali hii inafanya kazi kimafioso zaidi!Kazi si kidogo mkuu!! Hapo kesi ya money laundering ipo mezani!
Msamehe atakua tuu ni shemeji yangu Tesha amepanick.Hebu nionyeshe kwny comment yangu nimetaja neno kabila wapi?
Hujaona wanasema Laswai ni rafikiye Membe.
Na Membe si ndiye anatajwa kama mpinzani wa Magu?
Then huo ukabila unaosema umetoka wapi?
Hivi ni vitoto visivyo kuwa na hojaDada sijakuelewa. Suala la yeye kuwa Mtu wa karibu wa Bernard Membe mbona linafahamika? Hilo la kuwa share na Kenyatta Kibo Palace ndo rumours. Inawezekana isiwe kweli. Lakini hiyo siyo hoja. Una makengeza ya akili?
Haina shida mkuu. Ngororo alikuwa anatugawia hela ya kula enzi zileMimi sijanyang'anywa chochote mkuu.. Kwa maana kwenye nchi yangu mm Ni Yule Ni Yule mwenye serikali ninayeitwa WA KUNYONGWA...... kwa maana ya MNYONGE
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto yupi?Kwa taarifa nilizonazo, Leo wameenda nyumbani kwa Vincent Laswai kule shanty town, pia mtoto wake aliyeko Arusha amekamatwa!
Kaazi kweli kweli!
Cc Capt Tamar , Frank Wanjiru ,luambo makiadi , mrangi Jon Stephano
Pako vizuri sana. Na huduma safi sana.Duh!aise kweli kitu kali sana, watu wanafikiria bwana.
Philbert au mwingine?Mtoto wake kiume.
Yep! Wamemkamata mtoto wake na wamevamia nyumbani anakoishi! Enzi za uhujumu uchumi serikali ya Nyerere ilifanya jambo kama hilo! Lakini ni uonevu. Wanataka kumfilisi!