mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,174
simwonei huruma haya majizi kupitia kwa wakuu, hizo bureau zilikuwa za kutakatisha pesa, sasa nchi imerudi kwenye misingi sahihi, Big up Pombe tajiri mwizi lazima aishi kama shetani
hakuna sababu yoyote ya msingi hapo zaidi ya uonevu,kujihami na kutokujiamini kwa huyu bichwa baya a.k.a jiwe.Duh
Is this true?
Let us wait and hear what are the reasons!
hakuna sababu yoyote ya msingi japo zaidi ya uonevu,kujihami na kutokujiamini kwa huyu bichwa baya a.k.a jiwe.
Ukiondolea mbali jeshi la polisi,tiss na baadhi ya watumishi wa umma, hakuna CCM..
Ametoroka mkuu kwa taarifa nilizonazo.
Hahaah 2020 jamaa usingizi hapati kabisa mwambieni ataumiza watu bure! kama Mungu kampangia 5 year au 10 year atapata tu! Woga wa nini??
Mmoja wa shareholders wakubwa wa CRDB.
Sasa Membe yeye yuko kwenye SACCOS ya Kaskazini?Membe alikuwemo. Na wadau wengi tu.
Jamaa anawatagert wachaga wote wenye biashara kubwa. Alianza na Mengi hadi alipohakikisha anaunga mkono juhudi ndipo akamuacha. Mimi Mhehe ila nina maslahi makubwa na KLMKimaro wa Kvant atapona kweli japokua hana gumashi na mlipa kodi mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Haya maisha ya kuwindana yatakoma lini!
Huyu Jamaa namkumbuka alikuja kwenye msiba wa bana yangu. Huko kaskazini kazi mnayoWanajamvi,
Vincent Laswai ni mfanyabiashara maarufu sana pale Moshi. Ndiye mwenye ile Kibo Palace Arusha, mwenye Bureau de changes Moshi na Arusha ambazo zilivamiwa na jeshi kipindi kile, na hadi sasa zimefungwa. Pia ana biashara za jumla kuagiza sukari na bidhaa nyingine kama batteries nk kutoka nje.
Kuna waliokuwa wakisema hiyo Kibo Palace wako na Uhuru Kenyatta. Hoteli hiyo ni maarufu sana. Viongozi wakubwa hufikia hapo. Kuanzia kina Kenyatta, Kikwete, na hata Bernard Membe, ambaye naye inasemekana ni rafiki mkubwa wa ndugu Laswai!
Sasa mida hii ninayozungumza, maafisa usalama pamoja na askari wamezunguka biashara zake na inasemekana anatafutwa. Nadhani tayari alikuwa amesha surrender passport yake, ila kama kachomoka, pengine alikuwa na zaidi ya moja.
Kuna wanaodai kuwa kuna mipango inayoendelea dhidi ya wafanyabiashara flani, wengine wanasema ni ukaribu wake na Bernard Membe ndiyo umemponza! Amekuwa monitored na hakuwa akiweza kuongea hata kwa simu bila kufuatiliwa.
Bado nasubiria kusikia nini hatma yake. Sijui kama ni issue ya utakatishaji fedha au ni kitu gani!
Pia wamebeba computers nk, kama kuna wenye info ya kinachoendelea watueleze. Hapo chini akiwa na JKView attachment 1032828
Msiba ulikuwa wapi? Ana dereva wake mmoja mnene, jamaa yeye mwembamba tu, basi wakisimama mahali, watu wanamfuata dereva wakidhani yeye ndo bosi kisa unene!😀Huyu Jamaa namkumbuka alikuja kwenye msiba wa bana yangu. Huko kaskazini kazi mnayo
Target ni wachagga! Kuna thread nilianzisha hapa, kuhusu unyanyasaji huo,mods wakaifuta kwa kasi ya umeme!Jamaa anawatagert wachaga wote wenye biashara kubwa. Alianza na Mengi hadi alipohakikisha anaunga mkono juhudi ndipo akamuacha. Mimi Mhehe ila nina maslahi makubwa na KLM
Leo naona wamefanya na Dar ili kukwepa lawama za ukabila. Lakini kule bandarini mmeanzisha TACS kwa misingi gani?Laswai anachunguzwa kwa makosa ya kutakatisha fedha,hizo Bureau De Change zake zimefungwa kwa sababu zilikuwa zinatumika kupitisha fedha chafu kwa hiyo mnaoendekeza ukabila endeleeni tu maana akili zenu zinasoma mwisho mita 20
Sasa naskia za Dar nazo zimefungwa na pesa wamechukuwa! Hapo unasemaje?Kama ndio hivyo itakuwa ni mmoja ya aliyesababisha bureau de change kufungiwa Arusha, alijipanga