Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Hawajamshindwa sema ni mwenzao. Lakini ni mchaga pia. Kosa ni kui support chadema, na kutokujitokeza kumsifia rais wampendaye wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemshindwa, Labda utakuwa na umri mdogo sana! Toka enzi za Mwinyi aliwahi kupewa ulinzi na serikali! Unakumbuka issue ya Masilingi? Pia walishawahi kujaribu kumwekea mtoto wake madawa ya kulevya!
 
Picha ya pili kutoka chini ni nyumbani kwake mwenyewe!! Mkuu kuhusu yeye kuwa mmoja wa wakurugenzi ni kweli! Ila waliowekeza pale kwa sasa ni wakenya!! Unaweza kupewa ukurugenzi ndani ya bodi kwa heshima tu au kwa kuona uzoefu wako kwenye biashara husika pamoja na kuwa keep wateja wa zamani!!
Nimekupata mkuu.
 
Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi achunguzwa

THURSDAY FEBRUARY 28 2019




swai+pic.jpg


Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi achunguzwa
Shukrani mkuu, nimesha update post ya kwanza. Maana hii niliweka hapa live kabla hajaitoka kwenye gazeti.
 
Back
Top Bottom