Vilabu vyote vigome kushiriki michuano ya CAF kama vilabu vya Senegal vimetangaza kugoma

Vilabu vyote vigome kushiriki michuano ya CAF kama vilabu vya Senegal vimetangaza kugoma

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
SENEGAL NAO WAMETANGAZA VILABU VYAO VYOTE HAVITASHIRIKI MICHUANO YA CAF MPAKA WAPATE AOLN YA KOMBE LAO

NGOMA BADO TAMU

KUMEANZA KUCHANGAMKA
 

Attachments

  • 1773837803053.jpg
    1773837803053.jpg
    197.9 KB · Views: 2
Tangia nianze kufatilia mpira sijawahi kuona club ya senegal kwenye mashindano ya caf, hawana impact hata kwenye upande wa club
 
BREAKING: Senegal’s government demands “independent international investigation into suspected corruption within CAF’s governing bodies.”

The West African nation calls CAF’s decision to award the AFCON title to Morocco “grossly illegal and profoundly unjust,” promising to challenge it in international courts
 

Attachments

  • 1773838709999.jpg
    1773838709999.jpg
    250.6 KB · Views: 2
Kwa upande wa clubs timu za afrika magalibi hazina athari kwenye caf ila kukiwa na umoja kwenxe mgomo wa timu za taifa asa afrika magalibi na kati asee caf itadoda
 
Kwa akili hizi za CAF wanaweza kushirikiana na Morocco kuzifanyia figisu mataifa mengine ya Africa yasifike nusu fainal world cup
 
Najaribu kujiuliza!Hivi hao Morocco hilo kombe wanatumia kologea/witchcraft au wanaliombea mkopo, mbona sio kwa haya mapambano ya nje ya uwanja.
 
wahuni na washenzi wakubwa wasio na heshima
 
Hakuna kipindi ambacho kumekuwa na rushwa za waziwazi kama kipindi cha sasa kwa CAF na hasa rushwa ya waamuzi ni wakati wa kumwondoa Motsepe pamoja na mafanikio makubwa aiyoleta upande wa wadhamin.
 
Motsepe kajivua nguo sana.

Ni tofauti na alivyokuwa anaonekana.

Waliompandisha wameamua kumshusha.
 
Back
Top Bottom