Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,646
UnawashwaKwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam.
Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda].
Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo.
Hii inakera sana. Siipendi kabisa mimi.
Ndiyo, inawezekana si kinyume na sheria kufanyia hivyo vikao vyao hapo ikulu.
Lakini, hata kama kwa sasa si kinyume na sheria, kufanyia vikao vya kichama kwenye mali ya serikali ya Watanzania si sawa hata kidogo. Inaleta picha mbaya ya matumizi ya mali ya umma kwa shughuli binafsi za kichama.
Muda umefika sasa wa kulifanya jambo hilo liwe ni kinyume na sheria. Ningependa kuona wabunge wote wenye nia njema, bila kujali vyama na itikadi zao, kulivalia njuga suala hili na kulitungia sheria dhidi yake ili likome.
Mambo ya vyama yawe yanafanyika huko Lumumba, Ufipa, Buguruni, na kwingineko huko. Lakini siyo ikulu.
Naamini jambo kama hili linaweza kupata idadi ya kutosha ya wabunge na kuweza kulikomesha kabisa.
Wabunge kazi kwenu sasa...hebu fanyeni kazi kwa manufaa ya Watanzania wote...walau hata kwa mara moja tu.
Wabunge wa bunge gani la ccm!
Watapiga ndiyooooooo nakuhalalillsha uharamu zaidi
Hao wabunge wana uwezo wa kuwapamgia CCM kwamba Rais asiwe mwenyekiti wa chama?!Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam.
Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda].
Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo.
Hii inakera sana. Siipendi kabisa mimi.
Ndiyo, inawezekana si kinyume na sheria kufanyia hivyo vikao vyao hapo ikulu.
Lakini, hata kama kwa sasa si kinyume na sheria, kufanyia vikao vya kichama kwenye mali ya serikali ya Watanzania si sawa hata kidogo. Inaleta picha mbaya ya matumizi ya mali ya umma kwa shughuli binafsi za kichama.
Muda umefika sasa wa kulifanya jambo hilo liwe ni kinyume na sheria. Ningependa kuona wabunge wote wenye nia njema, bila kujali vyama na itikadi zao, kulivalia njuga suala hili na kulitungia sheria dhidi yake ili likome.
Mambo ya vyama yawe yanafanyika huko Lumumba, Ufipa, Buguruni, na kwingineko huko. Lakini siyo ikulu.
Naamini jambo kama hili linaweza kupata idadi ya kutosha ya wabunge na kuweza kulikomesha kabisa.
Wabunge kazi kwenu sasa...hebu fanyeni kazi kwa manufaa ya Watanzania wote...walau hata kwa mara moja tu.
Nyani Ngabu katika ubora wake leo, naona leo mmeamua wewe na Mzee Mwanakijiji kutoa single moja.Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam.
Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda].
Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo.
Hii inakera sana. Siipendi kabisa mimi.
Ndiyo, inawezekana si kinyume na sheria kufanyia hivyo vikao vyao hapo ikulu.
Lakini, hata kama kwa sasa si kinyume na sheria, kufanyia vikao vya kichama kwenye mali ya serikali ya Watanzania si sawa hata kidogo. Inaleta picha mbaya ya matumizi ya mali ya umma kwa shughuli binafsi za kichama.
Muda umefika sasa wa kulifanya jambo hilo liwe ni kinyume na sheria. Ningependa kuona wabunge wote wenye nia njema, bila kujali vyama na itikadi zao, kulivalia njuga suala hili na kulitungia sheria dhidi yake ili likome.
Mambo ya vyama yawe yanafanyika huko Lumumba, Ufipa, Buguruni, na kwingineko huko. Lakini siyo ikulu.
Naamini jambo kama hili linaweza kupata idadi ya kutosha ya wabunge na kuweza kulikomesha kabisa.
Wabunge kazi kwenu sasa...hebu fanyeni kazi kwa manufaa ya Watanzania wote...walau hata kwa mara moja tu.
Unawashwa
Ukiweza kusoma bila kutanguliza hisia utajua kuwa sisi wengine siyo wafia vyama...tunalima na kupongeza kotekote fairlyNyani Ngabu katika ubora wake leo, naona leo mmeamua wewe na Mzee Mwanakijiji kutoa single moja.
CCM wamemuomba nani kufanyia hayo mambo yao hapo?Apparently, Ikulu ni ya watu [watanzania] wote. Chama chochote kikiomba kufanyia kikao Ikulu kinaruhusiwa ili mradi waweke wazi ajenda zao!
Hivyo ndivyo namna viongozi wetu wanavyotuona sisi watanzania [makamanda?]. Mzee Ben alituita "malofa". Ukitafakari sana kuna ukweli mkubwa (maoni yangu).
Mmmm haya nenda kakojoe ukalale sasa ujumbe wako umefikaUkiweza kusoma bila kutanguliza hisia utajua kuwa sisi wengine siyo wafia vyama...tunalima na kupongeza kotekote fairly
We ushakojoleshwa?Mmmm haya nenda kakojoe ukalale sasa ujumbe wako umefika
Basi wabunge wa CCM watakuwa ni mazuzu kweli.
"Mwenyekiti wa CCM kamuomba Rais" kufanyia vikao vya CCM ikulu. Nahisi hivyo.CCM wamemuomba nani kufanyia hayo mambo yao hapo?