Vijuza kutoka ughaibuni vinawamaliza vijana wa Arusha

Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
OMG, Mie nilijua wanawaongoza watalii (tour guide), Kumbe wanabeba jumlajumla!
 
Kama mnayosema wachangiaji na mleta mada kuhusu vikongwe na vijana wetu wa Arusha,anayestahili kulaaniwa ni vijana wetu wa Arusha.Utafutaji gani huo wa kipuuzi namna hii?Mlaaniwe kabisa na mlishalaaniwa tangu muda ndio maana mnayafanya haya!!!Vikongwe wa miaka zaidi ya 72 unachokifuata humo kijana wa miaka 25-35 ni nini kama si laana?Wazazi wa Arusha nao wana kenua meno yote 32 nje nje wakiwasifu vijana wao kuwa ni watafutaji badala ya kukataza laana hiyo!!!

Ni kazi kweli kweli kwa sababu ukigeuka huku unakuta vijana/wanaume wanaolewa/wanaoa vijana/wanaume wenzao badala ya kuzingatia maandiko ya Bibilia/Quran yanataka nini.
 
72 ukiibadili ni 27.
1544766487535.png
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Kupenda kitonga kwa vijana..si Arusha tu nenda forodhani(Zenji)
 
Ishu ipo hivi,,
Kule kwao wanawake wengi hata wanaume wanapata wakati mgumu kuwa na wapenzi wazungu wenzao.
Sababu zilizopo wanaume kule wako bize ile kinoma hadi muda wa mapenz wanakosa.inachagizwa pia na ujanja ujanja wa wanaume wa kule hivyo ni ngumu kuchukua mzungu mwenzie na kumueka ndani km msukule ili akuhudumie ngono kila ukihitaji.hii ni mojawapo ya fursa huku africa sababu vile vibibi huwa na pesa na hakina familia kiko chenyewe tuu.hivyo kuja kurithi ma hisa ya makampuni very easy.
 
Vijana wengi wa arusha ndoto zao ni kuwa na watasha sio wanaume sio mabinti tena vibabu.

Mimi na dada zangu wawili mmoja kaolewa na babu wanaishi swedeni mwingine na babu wanaishi bongo kiukweli sipo comfortable na hizo couple kwakweli.
Pole sana mkuu
 
Hao wabibi wanarithisha mapesa yao kwa mbwa/paka wao.
 
Huamini kijana wa Arusha kati ya 10 tisa wanawaza demu wa kizungu wakiwaza watatoboa maisha bangi zao zinavyowatuma.
Acheni zenu nyie....

Vijana wa Dar bhana...tukiwa tuna guide watalii mnajua tunawamendea kisa mmezoea kubebwa bebwa hapo mjini.
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Wanasihini waachane na hiyo kazi na badala yake waache hao vijuza majumbani mwao wao akafanye #kaziNabata ili wawahudumie wazewao
 
Vijana wengi wa arusha ndoto zao ni kuwa na watasha sio wanaume sio mabinti tena vibabu.

Mimi na dada zangu wawili mmoja kaolewa na babu wanaishi swedeni mwingine na babu wanaishi bongo kiukweli sipo comfortable na hizo couple kwakweli.
Kwanini?
 
Kama mnayosema wachangiaji na mleta mada kuhusu vikongwe na vijana wetu wa Arusha,anayestahili kulaaniwa ni vijana wetu wa Arusha.Utafutaji gani huo wa kipuuzi namna hii?Mlaaniwe kabisa na mlishalaaniwa tangu muda ndio maana mnayafanya haya!!!Vikongwe wa miaka zaidi ya 72 unachokifuata humo kijana wa miaka 25-35 ni nini kama si laana?Wazazi wa Arusha nao wana kenua meno yote 32 nje nje wakiwasifu vijana wao kuwa ni watafutaji badala ya kukataza laana hiyo!!!

Ni kazi kweli kweli kwa sababu ukigeuka huku unakuta vijana/wanaume wanaolewa/wanaoa vijana/wanaume wenzao badala ya kuzingatia maandiko ya Bibilia/Quran yanataka nini.
Mijitu mingine bhana...unalaani kama wewe ni Mungu?

Jiulize mbona hawa vibibi hawatoki na vijana wa mikoa mingine licha ya kuwa na "utalii".
 
Ishu ipo hivi,,
Kule kwao wanawake wengi hata wanaume wanapata wakati mgumu kuwa na wapenzi wazungu wenzao.
Sababu zilizopo wanaume kule wako bize ile kinoma hadi muda wa mapenz wanakosa.inachagizwa pia na ujanja ujanja wa wanaume wa kule hivyo ni ngumu kuchukua mzungu mwenzie na kumueka ndani km msukule ili akuhudumie ngono kila ukihitaji.hii ni mojawapo ya fursa huku africa sababu vile vibibi huwa na pesa na hakina familia kiko chenyewe tuu.hivyo kuja kurithi ma hisa ya makampuni very easy.
Kwa hiyo wazungu hawaoani wao kwa wao?
 
Mkuu A city chuga huwa tuna msemo ''The last bullet'' dogo mmoja alidate na mbibi mmoja kimasikhara bibi akamnunulia cruser za utalii 5 na kampuni juu dogo kitaa kaoa demu na watoto wawili lakini analala njiro kwa huyo mbibi mwakani anampiga chini anarudi kwa bibie ,wakuu njia ya kufanikiwa kimaisha kila mtu anayake ,behind every big fortune there is a big crime
 
Back
Top Bottom