Vijuza kutoka ughaibuni vinawamaliza vijana wa Arusha

Wale wazee wanakuja kutafuta Ze dudu hapa Tanzania (Afrika) haswa mikoani kwani wanajuwa kwa Dar watapata makatuni ya bongo fleva wasukao nywele na kuvaa hereni huku wakipaka lipstick na kuvaa suruali zibanazo mapumbu.
Hizo ni bangi tu,we kijana rijali kweli unaendaje kuhangaika na hivyo vikongwe?,yani hata huo mzuka unapataje kwanza?aisee mna moyo sana vijana wa mkoani:D.
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Mtu akishavuka 18 ni mtu mzima!!!! hiyo ni sexual tuarism, kama hawavunji sheria acha wale bata. Vikongwe ulaya wana mapesa ila hawana mtu wa kuwaita baby!! wamechoka kucheza na ma mbwa na midoli
 
Nisamehe tu ila nadhani uzi huu una kawivu flani hivi. Wadhani kuwa vijuza (Viajuza) vya kizungu ni sawa na hivi vya kwetu?? Mbona una sumbuka sana na hawa wanao kula bata tangu huku kwetu hadi huko ng'ambo?? Wenzio wanajenga majumba ya kifahari na magari makubwa na hata miradi mikubwa ya Tours. Waache wajiajiri mambo ya umri nadhani wajua kuwa ni namba tuu. 72 ukiibadili ni 27. Sina uwezo wa kulopoa na mimi kwa sababu tu ya lugha gongana, ila hao ma tour guide waache wajilambie dollars zao kiulainiii. Ila nasikia huko majuu, kula tunda ni kwa ratiba sio kila siku ka huku kwetu.
Kweli kabisaaaaaaaaaa
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Inaitwa utalii wa ngono.
Hao wabibi na wababu wamejichangachanga wakati wa ujana sasa hawapati utamu huo huko kwao. Siunajua ma black tunavyojua kusimamia kucha lazima kibibi kipagawe. Na huwa wanaambizana.
 
Unaona sasa mitaa yako...mimi shavas nikatafute nini hao malaya nawajua hadi majina wanamiaka 20 wanajiuza hapo.

Tafuta tax mwambie akulete hapa Idara ya maji nakusubiri [sanawari ya juu] utapata ngoma wewe.

Halafu unavaa tshirt za buluu wewe ni msukuma au mnyakyusa??
Mkishakutana mtuletee mrejesho ya kitakachoendelea
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Ukiwa na hela unanunua mtambo wa maana
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Arusha hiyo ni FURSA anamkongoja Bibi huku kabebeshwa ndizi za kuiva
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Kumbe madogo wa chuga nao wanapenda kitonga. Nikajua huo ujinga wanao madogo wa Dsm peke yao
 
Corona imefuta yote hayo. Sasa hv Arusha hali mbaya vijana wanatoa ndogo kwa wazawa wenzao -ma-don, ili kumudu gharama za maisha. Kazi ngumu hawataki
 
Back
Top Bottom