Vijuza kutoka ughaibuni vinawamaliza vijana wa Arusha

Nisamehe tu ila nadhani uzi huu una kawivu flani hivi. Wadhani kuwa vijuza (Viajuza) vya kizungu ni sawa na hivi vya kwetu?? Mbona una sumbuka sana na hawa wanao kula bata tangu huku kwetu hadi huko ng'ambo?? Wenzio wanajenga majumba ya kifahari na magari makubwa na hata miradi mikubwa ya Tours. Waache wajiajiri mambo ya umri nadhani wajua kuwa ni namba tuu. 72 ukiibadili ni 27. Sina uwezo wa kulopoa na mimi kwa sababu tu ya lugha gongana, ila hao ma tour guide waache wajilambie dollars zao kiulainiii. Ila nasikia huko majuu, kula tunda ni kwa ratiba sio kila siku ka huku kwetu.
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Hili sasa limekuwa janga la kitaifa. Mbona juzijuzi nimesikia wakaka poa hapo kati,kanda ya ziwa? Wamama wenye pesa wamekuwa fursa au mtaji sasa si mchezo.
 
F1C3194C-FB40-4EAC-96EA-F8371B6C63AD.jpeg
84702B75-5BF8-4269-863D-EBC263A6F756.jpeg
 
Back
Top Bottom