Vijuza kutoka ughaibuni vinawamaliza vijana wa Arusha

Kama mnayosema wachangiaji na mleta mada kuhusu vikongwe na vijana wetu wa Arusha,anayestahili kulaaniwa ni vijana wetu wa Arusha.Utafutaji gani huo wa kipuuzi namna hii?Mlaaniwe kabisa na mlishalaaniwa tangu muda ndio maana mnayafanya haya!!!Vikongwe wa miaka zaidi ya 72 unachokifuata humo kijana wa miaka 25-35 ni nini kama si laana?Wazazi wa Arusha nao wana kenua meno yote 32 nje nje wakiwasifu vijana wao kuwa ni watafutaji badala ya kukataza laana hiyo!!!

Ni kazi kweli kweli kwa sababu ukigeuka huku unakuta vijana/wanaume wanaolewa/wanaoa vijana/wanaume wenzao badala ya kuzingatia maandiko ya Bibilia/Quran yanataka nini.
Muongeze na Kyleen na Reginald Mengi walahi
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele.
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
 
Vijana wengi wa arusha ndoto zao ni kuwa na watasha sio wanaume sio mabinti tena vibabu.

Mimi na dada zangu wawili mmoja kaolewa na babu wanaishi swedeni mwingine na babu wanaishi bongo kiukweli sipo comfortable na hizo couple kwakweli.
Kwani unaliwa wewe mzee baba ? Dada zako wako comfortable wewe unataka nini ?
Dada zako wakikutumia I phone X na MacBook huwa unakataa ?
 
Kijana mwenzangu wa Arusha,acha mzuka na shobo.Sijasema nawalaani kama mimi ndiye MUNGU,bali nimesema walishalaaniwa tangu zama hao vijana wenzako wanaotembea na bibi zao!!!Mbona umepaniki,na wewe ni mmoja wao nini??Pole sana,ila kikubwa jirekebishe na kuachana na hiyo tabia.Ndio maana Arusha inadumaa kimaendeleo siku hadi siku zinavyopita huku mijii kama Dodoma na Mwanza ikichanua kama maua.
Wewe jamaa ni mtu mwenye chuki binafsi nimeshakuona muda mrefu kaa na uccm wako huko, wewe ni mbaguzi nakuchana ivo unafiki acha mbinguni uende.
 
Wewe jamaa ni mtu mwenye chuki binafsi nimeshakuona muda mrefu kaa na uccm wako huko, wewe ni mbaguzi nakuchana ivo unafiki acha mbinguni uende.
Uzi huu ulikuwa wa vyama vya siasa au ulikuwa ni vijana wadogo wa Arusha kupenda Kitonga kwa kutembea na viajuza wa kizungu ili watusue maisha?Sasa hapa uccm umeingiaje?Hujaeleweka na upo nje ya mada!!!
 
Ma

Mambo ya wewe kuongea fongo achaa na tulia
 
Back
Top Bottom