Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,646
- 44,228
akili zao zinzfocus kwenye nyonyo na papuchi
Ukiona mtu kavaa hivyo utaweka akili yako kwny utumbo wake?...ubongo wako utakuwa mbovu
akili zao zinzfocus kwenye nyonyo na papuchi
kwani kipindi hiko hakukuwepo na polisi?Nina uhakika kesi za kubaka zilikua nyingi sana
Unataka kuniambia polisi ni makini zaidi kuliko sungusungu? Walinzi wa jadi waliogopwa kuliko polisi wanaokula milungula. Enzi hizo adhabu ya kosa ni papo kwa papo ndio maana watu walishika adabu.
Pono ndio nn mkuu?
lakini genye ina nguvu sana kushinda hata polisi
Nataman ningekuwepo enzi zile
Umeamua kunivunja mbavu
wenye kandambili kama mm wallah enzi hizo zisijirudie,chuchu zinasimama wakati wa kupiga deki mweh
Usijali zitasimama hata wakat upo kisimani
Nimechekaje? Una vimbwanga sana we mwanadada.
wenye kandambili kama mm wallah enzi hizo zisijirudie,chuchu zinasimama wakati wa kupiga deki mweh
Ukiona mtu kavaa hivyo utaweka akili yako kwny utumbo wake?...ubongo wako utakuwa mbovu
hata tukivaa nguo huwa mnatuvua kimawazo kwanza afu ndo unanitongoza
kwa hiyo mtaji wangu ni kuteka maji mweh vigimbi vitamzidi Juma Kaseja
Ngoja waje wenyewe wenye kandambili zinazosimama wakati wa kupiga deki wakubwatukie utatafuta pa kutokea, utaona milango yote imepotea hakuna pa kukimbilia.
Kwan ww mtu ukimpenda huwa humvui nguo kwanza?