Aramun
Senior Member
- Nov 8, 2023
- 165
- 745
Kumradhi kwa video hizi 2 nitakazopost, huenda zikawa zinavunja T&C za JF lakini naomba mods mziache watu na serikali wazione ili kama walikuwa hawajui basi wajue na wachukue hatua stahiki.
Hizi video zimerekodiwa kutoka kwa mtumiaji mmoja, wanavyoonekana ni mtu na mpenzi wake, ila binti anaonekana hajafikisha miaka 18. Hata kama wote wamefikisha miaka 18, vitendo wanavyofanya vinakinzana na maadili ya kitanzania, pia vinakinzana na sheria za nchi hasa matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii.
Huu ni mfano mmoja tu, lakini kuna mamia kwa maelfu ya "Live Sessions" ambazo zinaendelea muda wote huko Tiktok. Mida ya usiku live nyingi zinakuwa za kingono zaidi, kwani zinaonesha hao wanaoenda live wakifanya matendo ya kingono waziwazi.
Lengo kuu ya huu ujinga ni kusaka token na followers. Utasikia wanawasisitiza followers wao; "m-tap tap jamani", "tumeni hata token basii". Binafsi hizi token sijajua zina faida gani kwani sio mtumiaji sana wa huu mtandao.
Rai yangu kwa serikali hasa wizara husika, huu mtandao ufungiwe au uwe cencored kwani unaharibu maadili hasa kwa vijana wa umri mdogo ambao wengi mida kama hii utakuta wamejichimbia kwenye hizo love zisizo na faida yoyote kwao.