Serikali ndio inawagonga?Sina mambo mengi
Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule.
Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea.
Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
Haiwahongi bali inakugonga wewe.Serikali ndio inawagonga?
Hizi boda zupigwe marufuku, serikali iboreshe miundombinu ya mijini Daladala za mwendokasi ziwe za uhakikaWatu mnaangalia wanaokufa tu,heri hata ya hao familia zinazika na kuendelea na maisha.
Kuna walemavu wa kudumu wa majeraha ya uti wa mgongo ni zao la hizi ajali, hawawezi kutikisa hata kidole ni wanakuwa tegemezi wa kulisha hata kuchambisha maisha yao yote na ni vijana wadogo kabisa.
Kwa suala la bodaboda kuilaumu serikali ni makosa, unakuta abiria anapanda bodaboda wakati anaona hana Helmet!!Kweli inawezekana serekali ina mchango wake ila na bodaboda wabadilike,wafuate sheria
Helmet hawavai, mwendo wa rocket sijui hua wanawaza nini
ila baadhi.
Hata Mimba wakiweza kubeba na wapewe!si tulishakubaliana wajemani kuwa boda asichoweza kubeba ni mimba tu au
Serikali ni watu na watu ndio kama hao bodabodaNini maana ya serikali?
Peninnah anaemdelea salama.Hivi Peninnah anaendeleaje?🙂
Serikali iwekeze kwenye elimu na sheria kali kuhusu uendeshaji wa bodabodaSerikali inatakiwa ifanye nini mkuu? Izuie vijana kuendesha boda boda?
Lema aliwaambia ile si kazi, wakamtusi sanaKama kuna kosa litafanyika kwa kijana ni kuusikiliza ushauri wa mwanasiasa kuhusu hatima ya maisha yake.
Hawajawashindwa, tatizo ni siasa, wanasiasa na uchaguziHadi polisi wamewashindwa boda, jamaa ni wabishi, traffic light hawasimami, helmet hakuna, ni vurugu tupu na polisi wamebaki kuwaangalia tu.
Wakiwa MOI zinawarudiHakuna wa kuona umuhimu wa maisha yako zaidi ya wewe mwenyewe..
Maisha yanahitaji nidhamu sana ...
Vijana hatuna nidhamu na maisha
Kwanza ndo kundi litaloisumbua taifa kwenye magonjwa ya figo maana wanajibebesha visunguraMmeshaambiwa sana hamsiki
Mmepewa sana elimu hamsiki
Sahv ni shauri zenu pambaneni
Wenyewe na hali zenu
Wakifa shauri zaoooo
Ova
HatariKama wewe mwenyewe hujali maisha yako unafikiri mtu baki atakujali? Kama bodaboda hawajitambui na mtu unaamua kupanda bodaboda ambao hajitambui na wewe hujitambui mtaishia kusaga vichwa kwemye lami. Polisi na serikali watakuja kuzoa viuongo vyenu.
Itoe Ajira bodaboda wengi Wana degree.Serikali inatakiwa ifanye nini mkuu? Izuie vijana kuendesha boda boda?
Acha wafe pumbavu zaoWatu mnaangalia wanaokufa tu,heri hata ya hao familia zinazika na kuendelea na maisha.
Kuna walemavu wa kudumu wa majeraha ya uti wa mgongo ni zao la hizi ajali, hawawezi kutikisa hata kidole ni wanakuwa tegemezi wa kulisha hata kuchambisha maisha yao yote na ni vijana wadogo kabisa.