ajali za bodaboda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiboko ya Jiwe

    Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Sina mambo mengi Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule. Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea. Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
  2. chizcom

    Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi

    Dar es Salaam. Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imekiri kupokea majeruhi wa ajali za bodaboda wastani wa watu 9 hadi 10 kwa siku ambapo ni sawa na 70 kwa wiki na 280 kwa mwezi. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kwenye mafunzo ya kimataifa ya matumizi...
Back
Top Bottom