Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

There are things that people try to forcefully dismiss and claim are impossible, yet in reality it’s completely different. In today’s world, if you’re on social media, you’ll definitely come across them.
PIA HAKUNA MAHALI NIMESEMA NINA MIAKA 55 BALI NIMEBAKISHA MIAKA KADHAA KUFIKA HAPO, ILI UWEZE KUELEWA VIZURI FANYA RESEARCH YAKO MIMI NIMESOMA SOMO LA SIASA O'LEVEL. Nikiwa form 3 ndo likabadlilishwa na kuitwa CIVICS. Mimi ni miongoni mwa wale waliofanya mtihani wa form kwa somo la CIVICS, Nimesoma wakati waziri wa Elimu akiwa Pro, Late Philemon Sarungi. Nimesoma wakati huo ndo zinaanzishwa shule za jumuiya ya wazazi ccm zilizoanzishwa kila kata. Nimetoa angalizo tu katika ushauri wangu.In my professional environment, we are taught to learn from the mistakes of others rather than our own. This is because if you wait to learn from your own mistakes, it may already be too late and the consequences will have occurred. Since I failed to learn from the mistakes of others and have already experienced the repercussions, I advise you to take heed. Na hii si kwa watoto wa kufikia mara nyingi sana wazazi wa kuiume wanapatia changamoto baada ya watoto wao kuanza maisha. Kipindi hiki mama anafanya kila awezalo kutake over na kuwa Mistress.
 
1742558214393.jpg
 
Mwenye tatizo ni mkeo,yeye binafsi,uenda malezi toka kwa wazazi wake,tafuta muda uongee nae kinagaubaga,usikate tamaa.mi mbona nnae tena kaja na watoto wawili,mikwaruzano ipo ya kawaida tu,jaribu kuvaa viatu vyake ili umjue kiundani,uenda ana msongo wa mawazo kwa we kukaa mbali nae kwa mda mrefu.

Ni swala la Mda tu utaugulia maumivu
 
Mwenye tatizo ni mkeo,yeye binafsi,uenda malezi toka kwa wazazi wake,tafuta muda uongee nae kinagaubaga,usikate tamaa.mi mbona nnae tena kaja na watoto wawili,mikwaruzano ipo ya kawaida tu,jaribu kuvaa viatu vyake ili umjue kiundani,uenda ana msongo wa mawazo kwa we kukaa mbali nae kwa mda mrefu.
Huyu nimemlea mimi, mamake alipata ujauzito akiwa form 2 na akalazimika kuacha shule. Aliyempa mamake ujauzito ni kaka wa kiume wa dada ambaye alikuwa rafiki yake na huyu mke wangu. Hivo katika kwenda kutembeleana ni kama mdogo mtu aliset mtego na kaka. Hivo huyu mama mtu alivoenda kumtembelea rafiki yake kipindi cha likizo, hapo ndipo alibakwa na kupata ujauzito. Kwa mbahati mbaya pia baba mzazi alishatangulia mbele za haki. Hivo mimi wakati nakutana na huyu binti mama alikuwa 23 na mimi nikiwa 26 alinielezea kila kila na kukubaliana na hali na hata kufikia kumuoa tena kwa ndoa rasmi. Katika maisha binadamu hubadilika pengine kutokana na kazi zangu za kuzunguka kila mahali kampuni inaopata tender mpya nalazimika kwenda na wakati mwingine kazi huchukuwa miaka bila kukamilishwa. shida zaidi ilianza 2007 nilipoondoka nchini kuelekea JUBA SUDAN KUSINI. Hapo ndo nilianza kuona taa nyekundu, lakini muda mwingi kwa faida ya watoto nikawa naendelea kupotezea lengo nisichanganye tena familia, kuna mtoto ana baba mwingine, nioe tena watoto wawe na mama mwingine nikawa najitahidi kupambana sana na familia yake ilikuwa ina nisaidia sana kumkanya na ambaye alikuwa anaogopwa zaidi ni mama. Bahati mbaya sana naye aliaga dunia miaka michache iliyopita huko nyuma. Sasa wife hana tena wa kumhofia zaidi yangu. Na hofu inakuwepo nikiwa nyumbani tu, nikiondoka tu anaanza yake.
 
👹Shetani ana hila nyingi sana.
Kuwa makini sana tena zaidi ya sana katika msimu uliopo na unaokuja.

Muhimu: Msamehe huyo binti, ni ujana unamsumbua na huo ndiyo umri wake wa kufanya mistakes nyingi tena za hatari! Stay alert 🚨

Mt 6:12-15
12 Na utusamehe makosa yetu kama sisi tulivyokwisha kuwa samehe waliotukosea. 13 Na usitutie majaribuni, bali utuokoe kutokana na yule mwovu,’ [Kwa kuwa Ufalme na nguvu na utukufu ni vyako milele. Amina.] 14 Kama mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe na ninyi; 15 lakini msipowasamehe watu makosa yao, Baba yenu hatawasamehe makosa yenu.

Ebr 12:14-15
14 Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na utaka tifu, ambao bila kuwa nao, hakuna mtu atakayemwona Bwana. 15 Angalieni sana mtu ye yote asishindwe kupata neema ya Mungu, na muwe waangalifu pasizuke chuki ambayo, kama mmea wenye sumu, inaweza kukua ikaleta matatizo na kuwachafua wengi.

NB; zingatia neno bidii, sababu kusamehe siyo rahisi.

Mungu wangu,

Ninakujia leo nikiwa na moyo mzito. Najua binti yangu, [Taja jina la binti], amenikosea na amesababisha maumivu makubwa moyoni mwangu. Hata hivyo, ninaelewa kuwa yeye ni mwanangu/binti yangu na nina jukumu la kumpenda na kumsamehe.

Ninaomba unijaze na hekima na upendo ili niweze kumsamehe kwa dhati. Nisaidie kuondoa maumivu na hasira niliyo nayo moyoni mwangu, na nisaidie kumpa msamaha na upendo usio na masharti.

Nisaidie kuponya uhusiano wetu na kujenga familia yetu kwa misingi ya upendo, uaminifu, na msamaha. Nisaidie kumpa binti yangu nafasi mpya ya kupendana na kuthaminiana.

Asante kwa kusikia sala yangu. Nina imani kwamba utajibu ombi langu na kwamba utatupa nafasi mpya ya kuponya uhusiano wetu na kurejesha amani katika familia yetu.

Amen.
 
Mtoto amejengwa na mama akajengeka, wanaume tunafikiri kutoa pesa na mahitaji mengine inatosha... Tunasahau kuwekeza malezi sahihi kwa watoto.
 
Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.

Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.

Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)

Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.

Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.

Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.

Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.

Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.

Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.

Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.

Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.

Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.

Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.

Kunakitu ulikosea Kama mwanaume hutakiwi kila unachofanya mkeo ajue .2kama unataka kukopa bank hakikisha una acha nyumba moja utakuja kunishukuru badae kingine we mkanye kama hataki kamahataki mpetaraka mgawane Mali hapo Ndio uta uona umhimu Wa namba moja
 
asante sana kwa hii, nimekuelewa sana mkuu. Ndoa ndo taasisi ambayo inaweza ikakupeleka uzimani au motoni. AM GREATIFUL kwa huu uzi wako
 
Kuna eneo umekosea. Jamaa yangu katafuta vijana 5 hadi 10 wasio wake akiwemo kijana wa waifu wake alomkuta naye,Kisha anawapa matunzo sawa kama ada, ajira n.k

Wife na kijana wake kila wakitaka kujitenga wanaona jamaa ana mtaji watu wa kutosha.

Hata usipooa mke mwenye mtoto, unaweza kulea mimba si yako. Epuka kusaidia mtu ili aje akusaidie kilazima
 
Kunakitu ulikosea Kama mwanaume hutakiwi kila unachofanya mkeo ajue .2kama unataka kukopa bank hakikisha una acha nyumba moja utakuja kunishukuru badae kingine we mkanye kama hataki kamahataki mpetaraka mgawane Mali hapo Ndio uta uona umhimu Wa namba moja
Ndugu unajua mimi niliichukulia familia kama kila kitu, mke wangu, watoto wangu wamekuwa wakijua mshahara na kila ninachokipata. Hata viwnja nilkuwa nanunua mikoa lakini baadae nawajulisha na kila mtu nimemgawia kiwanja akiwemo huyu anayetukana. Inaumiza sana. Ila najitahidi kumwomba Mungu anipe moyo mwepesi kusamehe.
 
Kuna eneo umekosea. Jamaa yangu katafuta vijana 5 hadi 10 wasio wake akiwemo kijana wa waifu wake alomkuta naye,Kisha anawapa matunzo sawa kama ada, ajira n.k

Wife na kijana wake kila wakitaka kujitenga wanaona jamaa ana mtaji watu wa kutosha.

Hata usipooa mke mwenye mtoto, unaweza kulea mimba si yako. Epuka kusaidia mtu ili aje akusaidie kilazima
Nimeshindwa kuelewa ulichoandika
 
Mi nilipigwa tukio tangy 2023,juzi ndio nikajilipua na yeye kaamua ku sepa na watoto!!

Ukiona mkeo ameanza kukusema vibaya Kwa watoto Tena wadogo bado!jua huna chako hapo!kinachofuata ni majaaliwa au Anzisha familia nyingije ujaribu bahati yako!

Pia ni kosa la kimedani Mwanamme kuzeeka na watoto was tumbo moja mkuu!usijaribu hata!!coz upendo wa watoto kwako unategemea mtazamo wa mama yao kukuhusu!! Kama ni negative ujue imekula kwako mapema!!!

KAZI na utu tunasonga mbele!
 
Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.

Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.

Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)

Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.

Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.

Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.

Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.

Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.

Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.

Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.

Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.

Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.

Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.
Pole sana
 
Hapo kwa Mpare ndio pana shida zaidi, tena kama hajakuloga mpaka muda huu, huyo ni hybrid sio OG.
 
Back
Top Bottom