Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 994
- 1,897
- Thread starter
- #81
Mi nadhani hujasoma nilichokiandika bali umecomment kwa hisia na mtizamo wako, rudia kusoma tena.
Mi nadhani hujasoma nilichokiandika bali umecomment kwa hisia na mtizamo wako, rudia kusoma tena.
Pole sana mkuu,lkn,,,,, nitarudi inshaalahHuyu nimemlea mimi, mamake alipata ujauzito akiwa form 2 na akalazimika kuacha shule. Aliyempa mamake ujauzito ni kaka wa kiume wa dada ambaye alikuwa rafiki yake na huyu mke wangu. Hivo katika kwenda kutembeleana ni kama mdogo mtu aliset mtego na kaka. Hivo huyu mama mtu alivoenda kumtembelea rafiki yake kipindi cha likizo, hapo ndipo alibakwa na kupata ujauzito. Kwa mbahati mbaya pia baba mzazi alishatangulia mbele za haki. Hivo mimi wakati nakutana na huyu binti mama alikuwa 23 na mimi nikiwa 26 alinielezea kila kila na kukubaliana na hali na hata kufikia kumuoa tena kwa ndoa rasmi. Katika maisha binadamu hubadilika pengine kutokana na kazi zangu za kuzunguka kila mahali kampuni inaopata tender mpya nalazimika kwenda na wakati mwingine kazi huchukuwa miaka bila kukamilishwa. shida zaidi ilianza 2007 nilipoondoka nchini kuelekea JUBA SUDAN KUSINI. Hapo ndo nilianza kuona taa nyekundu, lakini muda mwingi kwa faida ya watoto nikawa naendelea kupotezea lengo nisichanganye tena familia, kuna mtoto ana baba mwingine, nioe tena watoto wawe na mama mwingine nikawa najitahidi kupambana sana na familia yake ilikuwa ina nisaidia sana kumkanya na ambaye alikuwa anaogopwa zaidi ni mama. Bahati mbaya sana naye aliaga dunia miaka michache iliyopita huko nyuma. Sasa wife hana tena wa kumhofia zaidi yangu. Na hofu inakuwepo nikiwa nyumbani tu, nikiondoka tu anaanza yake.
Weka imani pembeni alafu fanya juu chini kumpa huyo binti mimba awe mke mdogo ili mama yake pamoja na mtoto wake waache kiburi.Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana.
Is this neccessary ndugu??Msenge huyu dogo
Mpaka somo liwaingie vijanaNdoa, once again
Mkuu pole, ndoa zina mitihani sana 🤯😤😣Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.
Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.
Du pole bro, ila somo safi sana.Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.
Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.
Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)
Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.
Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.
Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.
Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.
Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.
Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.
Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.
Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.
Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.
Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.
Sema vijana sikuhizi mnajikuta mme focus sana na maisha menu ya baadae halafu mnakufa. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.
.
, ama haya maisha ya baadae mnayoyahangaikia ni ya kuzimu? ? Sasa huko hatuwekezi pesa!Hapana, ila anazinguaIs this neccessary ndugu??
Nisingeangaika mkuu hata hivi ambavyo anasema tumechuma visingekuwepo, Nataka kutafuta wakili nipate ushauri kwa sababu huyu mwanamke mbali na mahitaji ya watoto ya shule nk, yeye kila mwezi kuna hela nampa kiasi cha mshahara wa mtu kwa mwezi.kwanza mkuu pole sana kwa yote unayopitia na yale uliyopitia, lakini nadhani pia yapo mengi kwa upande wako kama mwanaume ile hali ya ww kutokuwepo sana ndani ya nyumba katika makuzi ya familia yako yote inafanya mwanmke kuanza kujiona yeye ndio kila kitu na kuanza kupandikiza chuki kwa watoto, majirani na ndugu zake wote wanakuwa kinyume chako.
Alioa S.M asiyejitambuaPole sana,,,,,
Ndo maana wanaume tunakufa mapema !
Mwanamke sio ndugu yako,,,, ! Ndugu zako ni hao wanao wa damu
Atahitaji kuthibitisha kuwa it was with MALICIOUS INTENT, Since intent exists in a person’s mind She will be required to establish that the act was committed with malicious intent, and not otherwise. Therefore technicality will be neededMkuu pole, ndoa zina mitihani sana 🤯😤😣
Huyo binti alikosea kukuvunjia heshima wewe kama mzazi, ilipaswa mama yake amkanye kwamba hicho si kitu kinachokubalika na ahakikishe amekuomba msamaha. Ni mbaya sana kutoa ugomvi wa wazazi na kupeleka kwa watoto.
Ila pia nafikiri wewe kumuagiza houseboy amfungie mkeo nje usiku wa manane si jambo la busara. Kuingiza wafanyakazi wenu kwenye ugomvi si sawa maana itakua ngumu wao kuendelea kumheshimu mkeo baada ya matatizo yenu kuisha.
Zaidi, hakuna mtoto (hata hao wa kuwazaa wewe) atakaa upande wako wakiona unaanza kumtesa au kumuumiza mama yao (hata kama anafanya mambo yasiyostahili) bado anabaki kuwa mama yao.
Mwisho: unachotaka kufanya kwa kutumia marital assets (kuchukua mkopo with malicious intent) ni kosa kisheria, tafuta wakili akushauri vizuri namna ya kulinda mali zako bila kutengeneza tatizo jingine kubwa zaidi mbeleni.
Ni hayo tu!
Hata WHO imepandisha umri wa kuitwa mzee ni kuanzia miaka 60 .sasa huyo mkuu yuko middle 50's so bado ni mtu wa Makamni sawa, ila huu mwandiko sio wa mstaafu wa hivi karibuni
Naunga mkono hoja mkuuMkuu Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 30s, not yet married ila Ichi unachoongea ni wachache sana watakuelewa ila Mimi nime ki experience kupitia Mzee na Mama yangu,
Baada ya Sisi kuanza kujitegemea tu na Nakupata Pesa za Kumtunza mama basi bi Mkubwa Kuna namna alitaka Kumtawala Mzee, Wakati kwenye harakati za Makuzi ni Mshua ndio alipambana na bills zote Japo alikuwa busy na alikuwa mtu wa safari Sana ila was purposely kutufanya familia yake tuwe Bora
Ushauri wangu ni Kuwa Mwanamke sio ndugu yako ilo kwanza nila kutembea nalo kwenye mind Mwanamke atakuwa Submissive au Mpole ikiwa yupo kwenye uhitaji tu the rest baada ya apo atakunyima Utulivu madogo wakishakuwa na wakaanza Kumsaidi ule umaster ndani ya nyumba utapotea hata kama Una Pesa still Bado madogo wakisha Anza kuimba nani kama mama ujue utakuwa frustrated tu
Kuna Mzee wangu aliwahi kusema kuwa Mwanaume ukishamaliza Jukumu la kusomesha madogo na wakawa independently basi unapaswa Kufa tu kwa sababu uko mbele huwa sio pazuri sana
Simshangai kabisa Mzee Mengi Kuoa uzeeni vile na Kuzaa watoto mapacha na yule mlibwende Jack Kwasababu Mzee alikuwa anatafuta Furaha yake
Mwanamke sio wakumuonesha investment na asset zako zote kabisa, Wewe muoneshe 60% na 40% keep for yourself
Narudia Mke au Mwanamke sio ndugu yako kabisa ndugu zako kabisa ni Wanao tena especially wa Kike, Watoto wa Kiume huwa tuna team up na Mother kuanzia Kumuona Mshua mzushi kiasi kwamba mpaka uje ugundue kuwa the Father was right unakuwa too late
save your interest first be selfish
Ikiwa huu Uzi ni wa kweli nakupa pole ya kweli na napokea ushauri na kujifunza yote 🙏🙏🙏Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.