Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

Mkuu Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 30s, not yet married ila Ichi unachoongea ni wachache sana watakuelewa ila Mimi nime ki experience kupitia Mzee na Mama yangu,
Baada ya Sisi kuanza kujitegemea tu na Nakupata Pesa za Kumtunza mama basi bi Mkubwa Kuna namna alitaka Kumtawala Mzee, Wakati kwenye harakati za Makuzi ni Mshua ndio alipambana na bills zote Japo alikuwa busy na alikuwa mtu wa safari Sana ila was purposely kutufanya familia yake tuwe Bora

Ushauri wangu ni Kuwa Mwanamke sio ndugu yako ilo kwanza nila kutembea nalo kwenye mind Mwanamke atakuwa Submissive au Mpole ikiwa yupo kwenye uhitaji tu the rest baada ya apo atakunyima Utulivu madogo wakishakuwa na wakaanza Kumsaidi ule umaster ndani ya nyumba utapotea hata kama Una Pesa still Bado madogo wakisha Anza kuimba nani kama mama ujue utakuwa frustrated tu

Kuna Mzee wangu aliwahi kusema kuwa Mwanaume ukishamaliza Jukumu la kusomesha madogo na wakawa independently basi unapaswa Kufa tu kwa sababu uko mbele huwa sio pazuri sana

Simshangai kabisa Mzee Mengi Kuoa uzeeni vile na Kuzaa watoto mapacha na yule mlibwende Jack Kwasababu Mzee alikuwa anatafuta Furaha yake

Mwanamke sio wakumuonesha investment na asset zako zote kabisa, Wewe muoneshe 60% na 40% keep for yourself

Narudia Mke au Mwanamke sio ndugu yako kabisa ndugu zako kabisa ni Wanao tena especially wa Kike, Watoto wa Kiume huwa tuna team up na Mother kuanzia Kumuona Mshua mzushi kiasi kwamba mpaka uje ugundue kuwa the Father was right unakuwa too late

save your interest first be selfish
Ulichukua hatua gani baada ya kugundua uovu wa mama dhidi ya Baba
 
usichukue mkopo
tafuta mwanasheria mwanao alioopo kidato Cha nne awe mmiliki. ukishafanya hivyo fukuza huyo mtoto wa kufikia

Kabla ya kumfukuza waeleweshe kwanza wanao wadamu ,huyo aende Kwa baba
Huyo mtoto huenda ashalishwa sumu na mama yake kwamba wewe sio baba yake halisi chamsingi akae makini asije kuuliwa tu maana huenda Kuna mpango unasukwa
 
Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.

Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.

Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)

Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.

Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.

Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.

Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.

Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.

Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.

Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.

Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.

Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.

Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.
Kama ni Mpare ndio wanavokuaga hao. Pole sana Chief, jipe moyo utayashinda.
 
Single mother sio mwanamke wa ku-settle nae. Vijana msioe single mother. Mwanaume unatakiwa kuanzisha familia yako mwenyewe sio kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine.

Single mother akupendi anataka tu mchango wako wa kifedha na nafasi ya baba kwenye maisha ya mtoto wake. Mtoto akikua na kuanza kujitegemea kuna namna atataka kuondoa ile bond yako na mtoto ili yeye pekee ndie awe anafaidika na matunda ya mtoto. Kwa hiki kisa cha mtoa mada (kama ni kweli) bila shaka huyo mwanamke ashamwambia mtoto kwamba huyu sio baba ako.
 
Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.

Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.

Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)

Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.

Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.

Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.

Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.

Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.

Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.

Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.

Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.

Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.

Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.
Pole mkuu
 
Huyo mtoto huenda ashalishwa sumu na mama yake kwamba wewe sio baba yake halisi chamsingi akae makini asije kuuliwa tu maana huenda Kuna mpango unasukwa
wanawake ni wahovyo mno aina ya huyo usemavyo nyokonyoko hiyo inamtandao wake

Kwamfano , mama ameshajihakikishia swala la Mali na huyo mtoto wakambo amejihakikishia nae kwamba ikitokea mtafaruku na mama yake na baba wakufikia wakigawana Mali yeye na mama yake ni wanufaika ........na usikute usiku huo alikuwa na baba wahuyo mtoto
 
Mkuu pole, ndoa zina mitihani sana 🤯😤😣

Huyo binti alikosea kukuvunjia heshima wewe kama mzazi, ilipaswa mama yake amkanye kwamba hicho si kitu kinachokubalika na ahakikishe amekuomba msamaha. Ni mbaya sana kutoa ugomvi wa wazazi na kupeleka kwa watoto.

Ila pia nafikiri wewe kumuagiza houseboy amfungie mkeo nje usiku wa manane si jambo la busara. Kuingiza wafanyakazi wenu kwenye ugomvi si sawa maana itakua ngumu wao kuendelea kumheshimu mkeo baada ya matatizo yenu kuisha.

Zaidi, hakuna mtoto (hata hao wa kuwazaa wewe) atakaa upande wako wakiona unaanza kumtesa au kumuumiza mama yao (hata kama anafanya mambo yasiyostahili) bado anabaki kuwa mama yao.

Mwisho: unachotaka kufanya kwa kutumia marital assets (kuchukua mkopo with malicious intent) ni kosa kisheria, tafuta wakili akushauri vizuri namna ya kulinda mali zako bila kutengeneza tatizo jingine kubwa zaidi mbeleni.

Ni hayo tu!
Anaemaliza huwa anaonekanna mbaya sure am telling you kuna wazazi hasa wa kiume ni wakatili mnoooooo..na ni wepesi kusemelea waonekane ni victim na Vulnurable akati wao ndio nyoka ..tena ni wajuzi wa kutengeneza stories waonekane wanaonewa ..ogopa mwanaume anaelalamika anaonewa ukimsikiza upande mkewe anayofanyiwa hitaamini..
 
Huyo mtoto huenda ashalishwa sumu na mama yake kwamba wewe sio baba yake halisi chamsingi akae makini asije kuuliwa tu maana huenda Kuna mpango unasukwa
Hii kitu kama hujapata mzazi kichomi huwezi elewa...ni rahisi tu kusema na kuhisi baba anaonewa ..mliopata wazazi walionyooka ..si walevi kupindukia ..sio wapigaji wala hujawahi shuhudia wazazi wako wakipigana au mama yako mzazi akipigwa kunyanyaswa kutukana matusi ya nguoni mbele za watu shukuru Mungu baba ambae anatukana wanar matusi magumu mpaka unajiuliza huyu baba kaweuka tena bila kujali umri wala eneo..hakuna mtoto atakaefurahia kuona mama ake akinyanyaswa hata kama huyo mtoto anatokana na baba anaefanya hicho kitendo..watoto wanamacho wanaakili wanaona pia ..
 
wanawake ni wahovyo mno aina ya huyo usemavyo nyokonyoko hiyo inamtandao wake

Kwamfano , mama ameshajihakikishia swala la Mali na huyo mtoto wakambo amejihakikishia nae kwamba ikitokea mtafaruku na mama yake na baba wakufikia wakigawana Mali yeye na mama yake ni wanufaika ........na usikute usiku huo alikuwa na baba wahuyo mtoto
Point kabisa
 
Anaemaliza huwa anaonekanna mbaya sure am telling you kuna wazazi hasa wa kiume ni wakatili mnoooooo..na ni wepesi kusemelea waonekane ni victim na Vulnurable akati wao ndio nyoka ..tena ni wajuzi wa kutengeneza stories waonekane wanaonewa ..ogopa mwanaume anaelalamika anaonewa ukimsikiza upande mkewe anayofanyiwa hitaamini..
Kwa kuwa unaongea kutokana na hisia zako nakutakia kila heri, hebu chukuwa tu picha kidogo tu. Nimekuoa una mtoto nimemsomesha mwanao shule za private kuanzia msingi mpaka sekondari. Sekondari matokeo hayakuwa mazuri nikampeleka mwanao ambaye siyo wangu wa damu kusoma cheti, diploma mpaka digrii kwa hela yangu, wewe huna kazi kila mwezi nakupa hela ya matumizi nakulipia msichana wa kazi na mlinzi kwa kuwa mimi nafanya kazi za kusafiri safiri sana. Kama haitoshi kwa kuwa unajiona pengine ni mzuri sana ukakutana na mwanaume ukaanza mahusiano na kumweleza ulitelekezwa na mme wako, Watoto nyumbani unawaaga kuwa umepata kazi ya kuuza duka unaenda kushinda nyumbani kwa huyo mwanaume umafanyia kila kitu, kwa kuwa naye amehamia mkoani na familia yake iko mahala pengine. Inafikia mahali nagundua nikakuamshia mkoa ninao fanyia kazi ukagoma, nikakwambia basi hamisha watoto na kweli unawapandisha watoto kwenye gari pamoja na huyu binti yako wewe unabaki kuendeleza maisha. Huyo hawara anakwambia twende unipeleke nyumbani kwenu nikajitambulishe unashindwa kwa sababu umeolewa.

Ndugu ngoja nishie tu hapa, asante kwa ushauri
 
Hizi mambo nyingi miksa nikutuo kwa Hao ma single maza, zinafanya wanawake wote wawe daraja moja, maana hata nikioa mwanamke asiye na mtoto siku kanivuruga nitampigia chini anaenda kuwa single maza kwa mtu mwingine 😂 Anyway tuendelee kucheza draft endapo kete Zote zikiwa za moto pambana upate draw
 
Kwa kuwa unaongea kutokana na hisia zako nakutakia kila heri, hebu chukuwa tu picha kidogo tu. Nimekuoa una mtoto nimemsomesha mwanao shule za private kuanzia msingi mpaka sekondari. Sekondari matokeo hayakuwa mazuri nikampeleka mwanao ambaye siyo wangu wa damu kusoma cheti, diploma mpaka digrii kwa hela yangu, wewe huna kazi kila mwezi nakupa hela ya matumizi nakulipia msichana wa kazi na mlinzi kwa kuwa mimi nafanya kazi za kusafiri safiri sana. Kama haitoshi kwa kuwa unajiona pengine ni mzuri sana ukakutana na mwanaume ukaanza mahusiano na kumweleza ulitelekezwa na mme wako, Watoto nyumbani unawaaga kuwa umepata kazi ya kuuza duka unaenda kushinda nyumbani kwa huyo mwanaume umafanyia kila kitu, kwa kuwa naye amehamia mkoani na familia yake iko mahala pengine. Inafikia mahali nagundua nikakuamshia mkoa ninao fanyia kazi ukagoma, nikakwambia basi hamisha watoto na kweli unawapandisha watoto kwenye gari pamoja na huyu binti yako wewe unabaki kuendeleza maisha. Huyo hawara anakwambia twende unipeleke nyumbani kwenu nikajitambulishe unashindwa kwa sababu umeolewa.

Ndugu ngoja nishie tu hapa, asante kwa ushauri
Pole sana mkuu
 
Inakuwaje ukao single mother, mimi Nina single mother wangu nilimkuta na watoto wawili nilichofanya nikamzalisha mtoto wa tatu , then nikamjengea kanyumba ka kuishi nako nimeandika mwanangu ,ila naishi kwangu na familia yangu peacefully nikijiia upwiru naenda kupoza tu huko na kurudi
 
Inabidi uwe unampatia taarifa ukiwa unaenda,kwasababu nayeye anahitaji kukesha nayo,sasa muda ambao haupo inabidi naye aingize mtu.Muhimu msisitize matumizi ya kinga.
 
Kisa chako kipo kama cha baba yangu mkubwa ila mzee yule alikuwa mafia kinoma aliandikisha watoto mali yule mwanamke aliondoka patupu
 
Mkuu Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 30s, not yet married ila Ichi unachoongea ni wachache sana watakuelewa ila Mimi nime ki experience kupitia Mzee na Mama yangu,
Baada ya Sisi kuanza kujitegemea tu na Nakupata Pesa za Kumtunza mama basi bi Mkubwa Kuna namna alitaka Kumtawala Mzee, Wakati kwenye harakati za Makuzi ni Mshua ndio alipambana na bills zote Japo alikuwa busy na alikuwa mtu wa safari Sana ila was purposely kutufanya familia yake tuwe Bora

Ushauri wangu ni Kuwa Mwanamke sio ndugu yako ilo kwanza nila kutembea nalo kwenye mind Mwanamke atakuwa Submissive au Mpole ikiwa yupo kwenye uhitaji tu the rest baada ya apo atakunyima Utulivu madogo wakishakuwa na wakaanza Kumsaidi ule umaster ndani ya nyumba utapotea hata kama Una Pesa still Bado madogo wakisha Anza kuimba nani kama mama ujue utakuwa frustrated tu

Kuna Mzee wangu aliwahi kusema kuwa Mwanaume ukishamaliza Jukumu la kusomesha madogo na wakawa independently basi unapaswa Kufa tu kwa sababu uko mbele huwa sio pazuri sana

Simshangai kabisa Mzee Mengi Kuoa uzeeni vile na Kuzaa watoto mapacha na yule mlibwende Jack Kwasababu Mzee alikuwa anatafuta Furaha yake

Mwanamke sio wakumuonesha investment na asset zako zote kabisa, Wewe muoneshe 60% na 40% keep for yourself

Narudia Mke au Mwanamke sio ndugu yako kabisa ndugu zako kabisa ni Wanao tena especially wa Kike, Watoto wa Kiume huwa tuna team up na Mother kuanzia Kumuona Mshua mzushi kiasi kwamba mpaka uje ugundue kuwa the Father was right unakuwa too late

save your interest first be selfish
Inauma sana

Back
Top Bottom