Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

KWANINI MKUU AU KWA VILE NIKO SANA HAPA JAMIIFORUMS, 1974
Namna unavyowasilisha mada, uandishi haufanani na huo umri, pia matukio namna uliyoyaeleza si namna ya watu wenye umri huo. Kama inawezekana tunza hii mada, ukifikia huo umri isome tena mkuu utanielewa.
 
K
Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.

Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.

Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)

Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.

Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.

Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.

Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.

Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.

Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.

Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.

Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.

Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.

Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.
Kiuhalisia umeongea point sana huyo mtoto amenikwaza hawezi kukugombeza wew wakati umemlea lakini mke wako anataka mmalize vibaya sasa hiyo ni taa nyekundu kwako usiwe unawashirikisha mambo muhimu
 
Mwenye tatizo ni mkeo,yeye binafsi,uenda malezi toka kwa wazazi wake,tafuta muda uongee nae kinagaubaga,usikate tamaa.mi mbona nnae tena kaja na watoto wawili,mikwaruzano ipo ya kawaida tu,jaribu kuvaa viatu vyake ili umjue kiundani,uenda ana msongo wa mawazo kwa we kukaa mbali nae kwa mda mrefu.
Hayajakukuta,
 
Namna unavyowasilisha mada, uandishi haufanani na huo umri, pia matukio namna uliyoyaeleza si namna ya watu wenye umri huo. Kama inawezekana tunza hii mada, ukifikia huo umri isome tena mkuu utanielewa.
Nadhani wewe ndo unalazimisha niwe kama unavodhani wewe, umri wangu ndo huo siihitaji kuufikisha nimeshaufikisha, kuhusu uwasilishaji wa mada wa mimi siyo mtu wa mass or public communications, siyo politician hivo sihitaji kuangaika na muundo wa nini cha kuandika. Ila nimewasilisha ujumbe wangu ni ama uuchukuwe au uuache, hata kuna kipindi sikuwa naelewa kama wewe lakini leo najuta tena kwa mambo mengi. Ikiwemo hata kutowajulisha watoto wangu wa damu kuwa dada yao wanashare mama tu. Ukikaa kwa kutulia utaelewa nk
 
Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.

Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.

Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)

Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.

Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.

Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.

Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.

Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.

Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.

Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.

Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.

Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.

Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.
Pole sana mzee wangu , shukurani sana kwa somo lako zuri
 
Nadhani wewe ndo unalazimisha niwe kama unavodhani wewe, umri wangu ndo huo siihitaji kuufikisha nimeshaufikisha, kuhusu uwasilishaji wa mada wa mimi siyo mtu wa mass or public communications, siyo politician hivo sihitaji kuangaika na muundo wa nini cha kuandika. Ila nimewasilisha ujumbe wangu ni ama uuchukuwe au uuache, hata kuna kipindi sikuwa naelewa kama wewe lakini leo najuta tena kwa mambo mengi. Ikiwemo hata kutowajulisha watoto wangu wa damu kuwa dada yao wanashare mama tu. Ukikaa kwa kutulia utaelewa nk
Mkuu, nimekupa pole kwa yaliyokukuta na nimekuambia ukweli kuwa personality yako kulingana na uandishi wako haiendani na umri unaosema unao.
 
Baba mkwe mtafutie bwana huyo wa kike akakione cha mtema kuni
 
Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.

Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.

Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)

Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.

Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.

Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.

Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.

Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.

Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.

Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.

Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.

Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.

Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.
Nakazia kwenye Aviator
 
Sasa huyo binti uliahindwa vipi kwenda kumchapa ukaanza kujipendekeza na ni mwanao.
Ulipaswa kwenda kumuweka chini ni kumuuliza au kumkanya kama mwanao
unawezaje kwenda kumpiga mtu mzima? Lakini nisikushangae kwa sababu kwenye kuandika, kusoma ama kuongea na kuchambua unaweza kupata madhaifu ya mwandishi lakini ukujiuliza kwa umakini unweza kubaini mpaka nafikia kuandika hapa kuna vitu ambavyo si vya kawaida, kama huyo mtu nimekaa naye tangua akiwa na miaka miwili na leo ana 25yrs unaweza kupata kitu. Binadamu tunatofautiana kwenye kufanya maamuzi pia. Kuna wanao lea mayatima, waliotekelekezwa na hata wenye wazazi lakini walio shondwa kuwatimizia mahitaji yao ya msingi. KIlichonishangaza mimi ni lugha za matusi alizotumia juu yangu bila kujali chochote. Kifupi mimi najitosheleza kwa kila na sihitaji msaada wowote wa mtoto kwa sasa na kuendelea. Hata nikistaafu pensheni yangu kila mwezi siyo chini ya laki 9+ ambapo pengine ndo kipato chako cha mwezi au miezi mitatu.
 
Mfanyakazi wa miaka 55 hawezi kufuatilia vioja uya manyanya na wenzake. Wewe utakuwa under 30
There are things that people try to forcefully dismiss and claim are impossible, yet in reality it’s completely different. In today’s world, if you’re on social media, you’ll definitely come across them.
 
Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.

Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.

Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)

Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.

Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.

Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.

Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.

Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.

Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.

Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.

Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.

Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.

Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.

Pole Kaka, Tena sana, uanaume ni Kazi ndugu yangu, na Bado wanamla, Dunia ngumu sana hii, I hope wadogo zetu watakuelewa, ila wana nyege sana hawaelewagi!
 
Back
Top Bottom