Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

Nawahurumia sana wakristo pale wanapopata matatizo ya ndoa wakiwaza 50/50
 
Pole sana kiongozi,kosa ulilofanya sio kuoa single maza,ni kumwamini kwa sababu umeshazaa naye.
Hawa jamaa mission yao huwa ni moja,kwamba utafute ufe alithi pamoja na watoto,wawe wako au si wako hilo ni swala jingine.

Ninachoamini sio kwamba kabadilika hiyo juzi,ni miaka kadhaa tena tokea huko ujanani alikuwa na vidalili lakini ukajipa tumaini kwamba hayatafika huko.pale pale ulifaa uanze kamfumo kapya ka maisha,kuficha baadhi ya mali zako,mali ambazo unajua hata ukilala leo kama sio dada yako,basi mdogo wako,ama kaka yako ndiye atarithi.
 
Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.

Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.

Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)

Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.

Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.

Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.

Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.

Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.

Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.

Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.

Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.

Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.

Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.
Dah hapo mwisho 😂 ukioa mpare kama unacheza aviator hela ya kodi
 
Mithali 5:15 “Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako. 16 Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali, Na mito ya maji katika njia kuu? 17 Yawe yako mwenyewe peke yako, Wala si ya wageni pamoja nawe. 18 Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako”

Mkuu na Uzee Huo Hata Biblia Husomi? Ulienda kuzaa na mwanamke wa mtu ukategemea nini? Though Sikushauri Kuweka bond nyumba, huo ni Urithi wa wanao. Cheza kama Elie Mpanzu kutokea katikati ya dimba pale msimbazi tafuta mwanasheria akusaidie hizo hati za nyumba zibadilishwe ziwekwe majina ya watoto wako wa damu Mechi imeisha 3-0
 
Pole sana kiongozi,kosa ulilofanya sio kuoa single maza,ni kumwamini kwa sababu umeshazaa naye.
Hawa jamaa mission yao huwa ni moja,kwamba utafute ufe alithi pamoja na watoto,wawe wako au si wako hilo ni swala jingine.

Ninachoamini sio kwamba kabadilika hiyo juzi,ni miaka kadhaa tena tokea huko ujanani alikuwa na vidalili lakini ukajipa tumaini kwamba hayatafika huko.pale pale ulifaa uanze kamfumo kapya ka maisha,kuficha baadhi ya mali zako,mali ambazo unajua hata ukilala leo kama sio dada yako,basi mdogo wako,ama kaka yako ndiye atarithi.
Mithali 5:15 “Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako. 16 Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali, Na mito ya maji katika njia kuu? 17 Yawe yako mwenyewe peke yako, Wala si ya wageni pamoja nawe. 18 Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako”

Mkuu na Uzee Huo Hata Biblia Husomi? Ulienda kuzaa na mwanamke wa mtu ukategemea nini? Though Sikushauri Kuweka bond nyumba, huo ni Urithi wa wanao. Cheza kama Elie Mpanzu kutokea katikati ya dimba pale msimbazi tafuta mwanasheria akusaidie hizo hati za nyumba zibadilishwe ziwekwe majina ya watoto wako wa damu Mechi imeisha 3-0
Biblia kuna mahali imezuia siyo, asante kwa ushauri.
 
Pole sana kiongozi,kosa ulilofanya sio kuoa single maza,ni kumwamini kwa sababu umeshazaa naye.
Hawa jamaa mission yao huwa ni moja,kwamba utafute ufe alithi pamoja na watoto,wawe wako au si wako hilo ni swala jingine.

Ninachoamini sio kwamba kabadilika hiyo juzi,ni miaka kadhaa tena tokea huko ujanani alikuwa na vidalili lakini ukajipa tumaini kwamba hayatafika huko.pale pale ulifaa uanze kamfumo kapya ka maisha,kuficha baadhi ya mali zako,mali ambazo unajua hata ukilala leo kama sio dada yako,basi mdogo wako,ama kaka yako ndiye atarithi.
Kuna mengi nimeyavumlia tena mazito
 
Mkuu Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 30s, not yet married ila Ichi unachoongea ni wachache sana watakuelewa ila Mimi nime ki experience kupitia Mzee na Mama yangu,
Baada ya Sisi kuanza kujitegemea tu na Nakupata Pesa za Kumtunza mama basi bi Mkubwa Kuna namna alitaka Kumtawala Mzee, Wakati kwenye harakati za Makuzi ni Mshua ndio alipambana na bills zote Japo alikuwa busy na alikuwa mtu wa safari Sana ila was purposely kutufanya familia yake tuwe Bora

Ushauri wangu ni Kuwa Mwanamke sio ndugu yako ilo kwanza nila kutembea nalo kwenye mind Mwanamke atakuwa Submissive au Mpole ikiwa yupo kwenye uhitaji tu the rest baada ya apo atakunyima Utulivu madogo wakishakuwa na wakaanza Kumsaidi ule umaster ndani ya nyumba utapotea hata kama Una Pesa still Bado madogo wakisha Anza kuimba nani kama mama ujue utakuwa frustrated tu

Kuna Mzee wangu aliwahi kusema kuwa Mwanaume ukishamaliza Jukumu la kusomesha madogo na wakawa independently basi unapaswa Kufa tu kwa sababu uko mbele huwa sio pazuri sana

Simshangai kabisa Mzee Mengi Kuoa uzeeni vile na Kuzaa watoto mapacha na yule mlibwende Jack Kwasababu Mzee alikuwa anatafuta Furaha yake

Mwanamke sio wakumuonesha investment na asset zako zote kabisa, Wewe muoneshe 60% na 40% keep for yourself

Narudia Mke au Mwanamke sio ndugu yako kabisa ndugu zako kabisa ni Wanao tena especially wa Kike, Watoto wa Kiume huwa tuna team up na Mother kuanzia Kumuona Mshua mzushi kiasi kwamba mpaka uje ugundue kuwa the Father was right unakuwa too late

save your interest first be selfish
Umetoa madini mengi sana hapa mtoto wakike nd rafiki wa kweli wa baba
 
SIKU UKIKUWA UTAJUA UJINGA AMA UJANJA WANGU NA WAKO NI UPI, KEYBOARD WARRIOR
Sasa huyo binti uliahindwa vipi kwenda kumchapa ukaanza kujipendekeza na ni mwanao.
Ulipaswa kwenda kumuweka chini ni kumuuliza au kumkanya kama mwanao
 
Umri huo unatakiwa uwaze ukifa unaenda mbinguni au jehanamu sio muda wa kuwaza **** kama kutomb ushatomb Sana Acha hizo faza
 
Back
Top Bottom