Bwashee, kwenye miaka ya 20 nilikua na maisha ya ndoani , nilifunga ndoa ni binti mmoja mrembo , niliishi kama vijana wengi wanavyotamani humu , ila mwisho wa siku tulizinguana vibaya mno , na ikawa chachu ya mimi kufikiri tofauti kuhusu maisha na ndoto zangu, kiufupi bado kuna level ya pesa nataka nifike🤔
Nasikia una miaka 55😭😭😭😭😭😭
Nko ntende apa ukujeeeNipo Nyashishi hapa nabugia michembe huku nashushia na togwa.Karibu yakhe!
Mimi Nisha staafuu kabisa na kitambi na huu MWILILabda una malengo ya kuwinda vitoto vya 2008 bwashee 😅
Nasubiri😀😀Mbona nipo rada mawaa😅
Mvi zinakuja tu😀Suruhu ni ktafuta pesa kijana wa 1988 unakuwaje na mvi
🤣🤣🤣🤣,zikianza kupukutika Sasa🙌Mi namfata role model wangu Mzee Kassim Majaliwa.
Napambana na vijana mpaka nianze kushika mkongojo ndio ntakubali.Wewe ni mzee, vijana kuanzia 2000
Kijana kama wewe sasa hivi ungekuwa umefungwa mnyororo shingoni ukisubiri kununuliwa kwenye soko la watumwa.Kuna jamaa humu alisema nyie ndiyo kizazi Cha hovyo kuwahi kutokea
Kwann mzeeBwashee katika kima ambae angepaswa kutetemeka kwenye umri wa miaka 33 ni mimi🤔
Hapo ntakuwa Nimeshindwa vita japokuwa sio kizembe.🤣🤣🤣🤣,zikianza kupukutika Sasa🙌
Ebu jishikilie weee uwogopi 😁Wengi humu wanaogopa mvi😀