Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine cha ziada ndani nilichoka sana.

Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila kujielewa.

Nyie nyie ndio amchelewi kuleta mada hapa....

Unatembea nali IPad mkononi unamuonyesha nani barabarani?

Unatembea na Smart phone mbili mkononi unamuonyesha nani???

Swali Nikuulize tu mkuu....
Ukinikuta kkoo nimekumbatia Laptop barabarani Hutonishangaa wewe au ndio yalele?

By the way: mfano Mdogo tu ni huu
Mimi kwa day nakunywa 2 to 3 ltrs za maji kutokana na jua la dsm na kulingana na kamshahara kangu ka mawazo sina budi kubeba maji yangu kwa bag maana hiyo elfu tatu kila siku timz kwa mwez it's a lot of money kwa Mimi toto la KICHAGA""" OVER.
 
Acheni ushamba hilo beg ni personal package ,unaweza weka ipad,gadgets yoyote ile ,vitabu hata condom because its safe

ni kweli kaka.bora umeeleza ukweli.hata mimi ni mdau mkubwa sana wa hivyo vibegi.fikiria tungekuwa tunabeba laptop kwenye plastic bag a.k.a fuko la lambo.ingekuaje?.
 
Definetly ... Kama mimi nabeba charge ya sim ya laptop na some time nabeba laptop yangu.. Je huu ni ushamba?
Ambaye anaona kuwa ni ushamba basi hajui kinachoendelea ..
""Kila mtu kazaliwa ili awe yeye"" by TANMO

Uko pande zipi Arifu?
Shemeji hajambo?
 
Mwanzon nilifikiri wanaweka pedi za dharura kumbe sio

Akili yako inazunguukia hapo hapo yaani K.um.a Mkun.du. mboo. mmakende. ki.nena. Umelaaniwa wewe. Can't you come out with something sensible ?
Gutter thinker.
 
Hivi uko Dar ndio zinakua Fashion Leo???

Arusha zimeshakuwa zilipendwa sana.
 
Ole wako huko uswahilini uishi jirani na mleta hii mada, anaonekana ye kila siku kuwaangalia watu wamevaa nini au wamebeba nini kwenye mifuko yao. Mkisikiaga watu wachawi sio kwamba wanaruka na ungo usiku, zile ni stori tu, wachawi ndo watu kama huyu, kutwa kukodolea macho watoto wa majirani na kuwasengenya.

Mkuu kuhoji kazi ya hivyo vibegi tayari nishakua mchawi.?
Kwa tatizo nini ikiwa utaeleza matumizi yake kwa ustaarabu.

Hujasikia kuwa wengine wanauzia vitu haramu.?
 
kina mswaki na boxer na t-shirt...hujawahi ishi maisha ya kuhamahama (kutokuwa na sehemu maalumu ya kulala)
 
Hiyo ni lifestyle kama zilivyokuwa nyingine zilizokuja na kupita, nayo itapita tu. Kila mtu humu (unless ulilelewa kwenye Monastery) alipokuwa kijana aliiga lifestyle fulani ya wakati huo iwe kuvaa n.k. Huwa sielewi kwa nini watu huwa wanakuwa bothered na lifestyles za watu wengine ambazo haziwaathiri wao kwa namna yoyote ile?
 
Back
Top Bottom