Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Inategemea, wengine kweli ni "swaga" tu. yaani ni trend ambayo inakuja mtu kuwa na begi na headphones ni kama fasheni, tusiwacheke hata ujana wa enzi zetu ilikuwa na vituko pia, hata huo mtindo wa vibegi mgongoni ulikuwepo sana miaka ya themanini, inajirudia tu. Mimi nimeshavuka rika la "vijana", lakini nikitoka mara nyingi lazima nibebe kibegi (siyo cha mgongoni), inaweza kuwa messenger bag ndogo ya kuenea laptop moja, smartphone na makabrasha ya muhimu, kama siendi ofisini na ninakoenda hakuhiaji laptop wala makabrasha mengi nabeba clutch bag ndogo ambayo naweka vitu vya msingi kama simu, kindle, tablet, funguo, na vitu vingine vidogovidogo kulingana na sehemu nayokwenda, kama nakwenda sehemu mara moja tu na kurudi basi sibebi kitu zaidi ya nokia yangu ya tochi.

Engineer akiwa anakwenda kazini lazima awe tooled up!
nq7qt8bf3ji0ncohzn4i.jpg

GraphicDesigner lazima abebe zana zake za kazi!
jla8w3r46p6hwwtcmtli.jpg

Mwalimu na yeye lazima abebe maandalio ya somo.
Wengine wajasiriamali alfajiri anaenda kukamata viatu kongo, mchana anatembelea wateja wake.
Mjini mihangaiko, ukifuatilia sana mtu kabeba nini utapoteza muda bure!
 
natinga begi mgongoni na ramani mkononi kama mtalii,nadundika mitaa ya kino na posta kwa stimu za kinyamwenga....chukueni verse hiyo.
 
Kuna wengine wanaweka vitu vyao vya msingi tangu kitambo na wala sio swaga sema kadri muda unavyokwenda watu wanavutiwa na huo mtindo na kuanza kuiga hata kama hawana cha kuweka matokeo yake wote wanakuwa included kama washamba lakini before walipokuwa wachache wanaweka laptop zao na document zingine walikuwa wanaonekana kawaida. Vibag vile ni mbadala wa zile bag za laptop ambazo siku hizi ni watu wachache sana unaweza ukakutana nae ametundika begani
 
Inategemea, wengine kweli ni "swaga" tu. yaani ni trend ambayo inakuja mtu kuwa na begi na headphones ni kama fasheni, tusiwacheke hata ujana wa enzi zetu ilikuwa na vituko pia, hata huo mtindo wa vibegi mgongoni ulikuwepo sana miaka ya themanini, inajirudia tu. Mimi nimeshavuka rika la "vijana", lakini nikitoka mara nyingi lazima nibebe kibegi (siyo cha mgongoni), inaweza kuwa messenger bag ndogo ya kuenea laptop moja, smartphone na makabrasha ya muhimu, kama siendi ofisini na ninakoenda hakuhiaji laptop wala makabrasha mengi nabeba clutch bag ndogo ambayo naweka vitu vya msingi kama simu, kindle, tablet, funguo, na vitu vingine vidogovidogo kulingana na sehemu nayokwenda, kama nakwenda sehemu mara moja tu na kurudi basi sibebi kitu zaidi ya nokia yangu ya tochi.

Engineer akiwa anakwenda kazini lazima awe tooled up!
View attachment 176785

GraphicDesigner lazima abebe zana zake za kazi!
View attachment 176786

Mwalimu na yeye lazima abebe maandalio ya somo.
Wengine wajasiriamali alfajiri anaenda kukamata viatu kongo, mchana anatembelea wateja wake.
Mjini mihangaiko, ukifuatilia sana mtu kabeba nini utapoteza muda bure!

Shukrani mkuu bandiko lako limejitosheleza.
 
Kuna wengine wanaweka vitu vyao vya msingi tangu kitambo na wala sio swaga sema kadri muda unavyokwenda watu wanavutiwa na huo mtindo na kuanza kuiga hata kama hawana cha kuweka matokeo yake wote wanakuwa included kama washamba lakini before walipokuwa wachache wanaweka laptop zao na document zingine walikuwa wanaonekana kawaida. Vibag vile ni mbadala wa zile bag za laptop ambazo siku hizi ni watu wachache sana unaweza ukakutana nae ametundika begani

Kwa watu wa maofisini, mfano ofisini za Uma wanaweza kubebea documents mbalimbali kwenda nazo ofisini.
 
Ni ulimbukeni kufuatilia au kujifanya kukerwa na mambo ya watu walio katika umri ambao umeshaupita au haujaufikia...ni wakati tu na zote zitatokomea kama nyingine zilizotangulia.
Kuiga ni hatua moja ya maendeleo,kwani vyakukera wewe-vyawafurahisha wenzako.

Mbona mitindo mingi ilipita na watu tukaitazama na ikapotea? Kwa mfano kuna wakati vijana walipenda sana kuvaa jezi za timu za nje na double pocket kaptula halafu na kubeba funguo nyingi kisha kwenda kukaa pale samaki-samaki mlimani city-mall nyakati za jioni,hadi ikawa hapatoshi (na maeneo mengine pia ilikuwa hivyo hivyo).

Nyingine ilikuwa kuwa mashule ya sekondari yafungapo mabinti na mabraza-men kujazana Mlimani City,hawanunui kitu ila kazi ni kupiga picha na kutembea tembea tu...lakini hivi sasa Malls ziko nyingi na photo shops kila kona...it's a matter of time and age...!

Acha wabebe mabegi na ma-headphones yao makubwa, Dar kama mtoni tu...ingekuwa zamani basi hao wote wangetakaga kuzamia wakafanye hizo mambo huko mtoni.
 
mi nawekaga sweta ( nilipo kuna baridi) , condoms, earphones, peni, sometimes mashine, afu mwendo mdundo kama Naughty by nature
 
Last edited by a moderator:
Kwa watu wa maofisini, mfano ofisini za Uma wanaweza kubebea documents mbalimbali kwenda nazo ofisini.

Of course mpaka document unabebea mkuu maana mie huwa naweka mpaka diary ile kubwa na vitu vidogo vidogo na nilianza na huu utaratibu baada ya kuvutiwa na jamaa yangu mmoja enzi hizo alikuwa ana kabegi kana sehemu ya laptop na vitu vingine vidogo vidogo na kipindi kile nilikuwa natumia pikipiki kwa ajili ya field work nikajikuta kabegi ni muafaka kabisa na ukichanganya na kazi zetu za kitumwa mwajiri anakutumia kisawasawa hata kama upo nje ya ofisi unajikuta umezoea huu mfumo.
 
mi nawekaga sweta ( nilipo kuna baridi) , condoms,earphones, peni, sometimes mashine, afu mwendo mdundo kama Naughty by nature
Hii ya nini wakati upo kwenye matembezi ya kawaida tu.?
 
Last edited by a moderator:
Ni ulimbukeni kufuatilia au kujifanya kukerwa na mambo ya watu walio katika umri ambao umeshaupita au haujaufikia...ni wakati tu na zote zitatokomea kama nyingine zilizotangulia.
Kuiga ni hatua moja ya maendeleo,kwani vyakukera wewe-vyawafurahisha wenzako.

Mbona mitindo mingi ilipita na watu tukaitazama na ikapotea? Kwa mfano kuna wakati vijana walipenda sana kuvaa jezi za timu za nje na double pocket kaptula halafu na kubeba funguo nyingi kisha kwenda kukaa pale samaki-samaki mlimani city-mall nyakati za jioni,hadi ikawa hapatoshi (na maeneo mengine pia ilikuwa hivyo hivyo).

Nyingine ilikuwa kuwa mashule ya sekondari yafungapo mabinti na mabraza-men kujazana Mlimani City,hawanunui kitu ila kazi ni kupiga picha na kutembea tembea tu...lakini hivi sasa Malls ziko nyingi na photo shops kila kona...it's a matter of time and age...!

Acha wabebe mabegi na ma-headphones yao makubwa, Dar kama mtoni tu...ingekuwa zamani basi hao wote wangetakaga kuzamia wakafanye hizo mambo huko mtoni.

Shukrani mkuu, hilo ndio jibu muafaka.!
 
Kuna mwingine niliona ameweka deki chakavu ya SUMSUNG ili ionekane kama laptop, sasa nikawa naona hiyi laptop kila siku hatoi, kuna siku nilasema ngoja nichungulie, nilichoka!

Ndugu yangu unapotoa comment jua kama wengine tumeajiriwa na tunatumia simu za kitochi ambazo hazina internet kwa hiyo net mpaka tukiwa kazini.Sasa unapotaka tucheke mbele ya waajiri wetu mpaka tunataka kuvunja mbavu siyo vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom