Basi itakua Diapers.Mkuu wanaume na pedi Wapi na Wapi au unaongelea pedi tofauti
Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine cha ziada ndani nilichoka sana.
Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila kujielewa.
mkuu CYBERTEQ asante kwa ile post yako.umeainishia vizuri sana.umenikumbusha wakati flani in late 90s moja ya fashion iliyo kuwa ina trend kwa vijana wa wakati huo ni kubeba diary mkononi.miaka ile nilikuwa bado secondary school,kila nikifik.a town mitaa ya mnazi mmoja-posta mpya, nilikuwa naona watu wakaka/wababa watanashati na vi-diary vyao mkononi.cha ajabu,pamoja na kwamba siku hizi tuna smart devices za kuhifadhi kumbukumbu,bado watu wa kizazi kile wanaendeleza ile culture yao,hivi ninavyo post hii,pembeni kuna mjomba nyoa yake na vaa yake ni kama wa hayati madilu system(kipapaa),kashika diary ya mwaka 2012 yenye ukubwa wa karatasi ya A4.sijuhi anahifadhi nini mle ndani.lol
Mkuu na wewe ni miongoni mwa wauza sembe hadi ufurahie kutosachiwa na polis.?Begi langu la mgongoni husaidia kuzuia wale waporaji wa pc na pia huwa nahifadhia stock yangu ya ganja, sio rahisi polisi kusachi begi lako akishaona kibegi tu! anajua we ni wakusoma so hana mpango na wewe idawa
mkuu CYBERTEQ asante kwa ile post yako.umeainishia vizuri sana.umenikumbusha wakati flani in late 90s moja ya fashion iliyo kuwa ina trend kwa vijana wa wakati huo ni kubeba diary mkononi.miaka ile nilikuwa bado secondary school,kila nikifik.a town mitaa ya mnazi mmoja-posta mpya, nilikuwa naona watu wakaka/wababa watanashati na vi-diary vyao mkononi.cha ajabu,pamoja na kwamba siku hizi tuna smart devices za kuhifadhi kumbukumbu,bado watu wa kizazi kile wanaendeleza ile culture yao,hivi ninavyo post hii,pembeni kuna mjomba nyoa yake na vaa yake ni kama wa hayati madilu system(kipapaa),kashika diary ya mwaka 2012 yenye ukubwa wa karatasi ya A4.sijuhi anahifadhi nini mle ndani.lol
tubebe zile 'kariakoo' mifuko ya rambo ndo tuweke PC zetu eti eee!!
Binafsi huwa nabebea vyeti na docs muhimu badala ya kutembea na bahasha ambyo kimsingi haichelew kuchakaa na kuharibika. Mabag yanasave kutegemeana na matumiz ya mtu
Acheni ushamba hilo beg ni personal package ,unaweza weka ipad,gadgets yoyote ile ,vitabu hata condom because its safe
kwa mm huwa nabeba begi mgongoni (ila mda wa kwenda kazini na kurudi au nikienda field mikoani). kwenye begi hilo huwa kuna laptop, charge yake, external driver, flash disk, modem, diary,reading material na important document kufanyia kazi ukiwa home, N.K
Me begi langu ndo ofisi yangu, humo kuna dayari kwa ajili ya kumbu kumbu, kalamu, na bidhaa kama power bank, External Hard Disc, Memory Cards, Earphones n.k hapo nasaka mteja au napeleka oda kokote dar.
Ukitaka kuamini nicheki 0777883861 alafu niagize chochote kati ya hivyo uone nakuletea kokote ulipo na begi langu ambalo zamani nilikua nimejaza vyeti na cv baada ya kupata bachelor. Ila now days nimejiajiri kwa namna hii